Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wakuu, Hivi wawakilishi wa mabalozi wa kichina wanafanya nini kwenye mkutano wa mkuu wa CHADEMA? Tunaweza kuelewa kwanini kuna mabalozi wa Marekani, Uingereza na Sweden kwenye Uchaguzi wa...
11 Reactions
67 Replies
3K Views
Bwana Yericko anasema Leo watamuonesha Tundu Lisu kwamba wao Huwa hawanunuliwi na matusi aliyowatukana na kuwapaka watayakomesha Leo Kwa kumchagua Mbowe Kwa ushindi wa zaidi ya asilimia 90%...
6 Reactions
53 Replies
2K Views
Wewe una watu wengi sana nyuma yako, kaa vizuri Na kikwete, kinana, samia, husein, wasira, Rostam I'li uweze kutimiza ndoto zako 2030.
5 Reactions
124 Replies
5K Views
Wakuu, kama mnavyojua, Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimefanya chaguzi mbalimbali kuanzia ngazi ya Kanda hadi Taifa. Jambo moja lililonivutia kufikiria kwa kina ni ushiriki mdogo wa...
1 Reactions
7 Replies
232 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Ukombozi wa Umma (CHAUMA) Mkoa wa Morogoro Ismail Rashidi Ismail amesema licha ya chama hicho kushindwa kufanya vizuri katika uchaguzi wa serikali za mitaa, lakini bado...
1 Reactions
9 Replies
444 Views
Pili Said Mohamed, ni Diwani wa Wadi ya Mahonda, Wilaya ya Kaskazini ‘B’ Unguja, simulizi yake katika harakati za uongozi inaonesha historia ya kipekee katika safari za Wanawake wengi wenye ndoto...
1 Reactions
0 Replies
151 Views
Wakuu, 1. Atupele Fredy Mwakibete - Mbunge wa Busokelo Chama: CCM Uchaguzi (2020): Alipata kura 79,950 (alishinda kwa wingi) Elimu: Shule ya Msingi: Gerezani (1994-2000) Sekondari: Azania...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Inasikitisha sana kuona chombo kikuu cha habari hapa nchini, kikifanya ubaguzi kwa walipa kodi ambao kimsingi ndiyo chanzo cha uwepo wa chombo hicho. Uchaguzi wa CHADEMA, soma Tundu Lissu ashinda...
3 Reactions
31 Replies
1K Views
Wakuu, Lissu amepiga hotuba moja safi sana, Mbowe karudi kule kule kuanza kuanza kuongelea historia ya chama, mara kusifia wafanyabiashara (wanaompa hela za kuhonga wajumbe :BearLaugh...
3 Reactions
16 Replies
2K Views
Ni jambo lisilo la kawaida kutokea katika zama hizi, ambapo huko Mbeya Vijijini, Serikali ya kijiji cha Mashese kata ya Ilungu imegharamia bima za afya kwa zaidi ya wananchi 1,500 kwa shilingi...
5 Reactions
14 Replies
684 Views
Wataalamu wa siasa wanasema "Politics is all about numbers and influence" Taifa limeshuhudia matamko ya Viongozi wa CHADEMA kutoka katika kila Kona ya nchi wakisema wao watasimama na Lissu, HOJA...
21 Reactions
111 Replies
3K Views
Wakuu, Hilda amehoji imekuaje loe Polisi wanajifanya kujali sana usalama wao wakati wakiwa na matukio yao polisi huwafanyia vurugu na kuwataabisha? "Hapa Mlimani city kuna gari za Polisi 16...
3 Reactions
39 Replies
1K Views
Wakuu Tundu Lissu "Ninajua kuwa Mbowe ndiye aliyemtuma Wenje agombee nafasi ya Makamu Mwenyekiti nikasema sasa nitagombea nafasi ya huyo aliyekutuma" Pia, Soma: Ezekia Wenje: Siwezi kununa...
35 Reactions
165 Replies
7K Views
Baadhi ya Wanachama wa CHADEMA wahoji ulinzi wa Polisi kwenye Mkutano wao wa Uchaguzi huu ikiwa hawajawahi kufanya hivyo kwenye chaguzi zao zilizopita.
2 Reactions
4 Replies
613 Views
Kama ilivyo utamaduni wetu ni kupiga kura na kuzilinda. Kesho wajumbe watafanya kazi ya kupiga kura. Baada ya hapo kazi ya kuzilinda kura tutaifanya sisi wananchi pamoja na wanachama kwa ajili...
4 Reactions
7 Replies
344 Views
Mgombea Uenyekiti wa Chadema, Tundu Lissu, amekuwa wa kwanza kuwasili katika ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaa, ambapo leo Januari 21, 2025 unafanyika uchaguzi wa kuwapata viongozi wa juu wa...
3 Reactions
44 Replies
2K Views
Wakuu, Kama unafuatilia kwa ukaribu Uchaguzi unaoendelea sasa hivi hapo Mlimani City utagundua kuwa kwa nje kuna mkusanyiko wa makada tofauti tofauti wanaojitambulisha kama Team Lissu na Team...
0 Reactions
8 Replies
450 Views
Katika uhalisa ndani ya taifa letu chama tawala ndio chama chenye nguvu kuliko vyama vingine ambapo Mgawanyiko huu wa sehemu mbili yani dhaifu na nguvu unaweza kuondoa demokrasia, usawa na haki...
0 Reactions
4 Replies
178 Views
Wakuu, Kama mnavyojua leo ndo ile siku ya Uchaguzi wa Nafasi ya Uenyekiti ndani ya CHADEMA na saa chache kabla ya Uchaguzi huo kuanza Jeshi La Polisi limetoa msimamo wake Akizungumza na Samuel...
1 Reactions
6 Replies
363 Views
Wandugu Habarini... Kama mada tajwa hapo juu, naomba kufahamu sera za ACT Wazalendo na namna ya kujiunga na chama hicho. Nimewiwa kufanya hivyo kutokana na ndoto yangu usiku wa kuamkia leo...
0 Reactions
2 Replies
116 Views
Back
Top Bottom