Joto la kisiasa linaloendelea kupanda kila uchwao miongoni mwa kambi hasimu za wagombea uenyekiti wa chadema taifa, huenda likaishia kuwasha moto wa ghasia na fujo kutokana na kujipiga kifua kwa...
Kuanzia jana nimekuwa mtu mwenye furaha sana baada ya Mama Dr Samia kumaliza biashara mapema sana kuhusu urais wa Tanzania kwenye huu mwaka wa uchaguzi. Mama kawamaliza kisiasa wapinzani wa nje na...
Andiko langu litakua fupi sana, ni imani yangu hamjambo wana JF.
Husika na somo tajwa hapo juu chama cha Chauma ndani ya siku chache kinaweza kwenda kuwa chama kikuu cha upinzani .
Hii itaenda...
Wakuu
Mgombea wa nafasi ya uenyekiti wa Baraza la Wazee Chadema (Bazecha), John Mwambigija maarufu ‘Mzee wa upako’ akiomba kura kwa wajumbe huku miongoni mwa sera yake ni kuwapeleka wajumbe wa...
Kuna nini ndani ya kuhitaji kuishi ziada kwa Dk Mpango?
Seems ameona akiwa ndani ya mfumo maisha yake yapo hatarini-kwanini yawe?!
Na kwa nini Rais Samia alijihami na kusema hitaji la Dk Mpango...
Makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wameendelea kutoa maoni juu ya hali ya sasa ndani ya chama hicho kuelekea uchaguzi wa uongozi hasa ule wa nafasi ya uenyekiti...
Viongozi na wanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) Wilaya ya Itilima mkoani Simiyu, wametishia kujitoa unachama wa chama hicho endepo Mwenyekiti wa Chadema Taifa atachaguliwa...
Toa vitambulisho kwa Wajumbe , Wajumbe wengi mpaka sasa hawajapata vitambulisho. Hii haikubaliki. - Godblless Lema
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia...
Nimefanikiwa kuusoma unaoitwa Waraka wa Mabadiliko 2013 uliotayarishwa na Samson Mwigamba, aliyekuwa mwenyekiti wa CHADEMA mkoa wa Arusha, na kuhaririwa na Kitila Mkumbo, aliyekuwa Mjumbe wa...
Akizungumza leo Januari 20, 2025 katika ufunguzi wa Kikao cha Baraza Kuu Mbowe amesema “kila mmoja wetu katika ukumbi huu waliofika Dar Es Salaam na watakaoendelea kuja Dar Es Salaam wote tuje...
Mwaka wa uchaguzi ndio huoo, lakini umepooa kama uji wa mgonjwa? Hakuna zile amsha amsha tulizo zizowea kama kipindi kile cha mwaka 2015 ambapo vijana wa 4u Movement waliungana na vijana wa M4C...
Nilipopata tetesi hizi za Rais wa Yanga kuwa mwaka 2025 atakwenda kugombea ubunge Jimbo la Kongwa nilibisha na sababu iliyonifanya nibishe ni sijawai kumuona Enjinia Hersi Said akijiusisha na...
Katika vikao vya Baraza Kuu vinavyoendelea leo hii, tayari mambo kadhaa yameanza kutolewa maamuzi.
La kwanza ni hili la kuidhisha mtanange wa Wagombea wa Juu wa uongozi wa Chama hicho.
Taarifa...
Wakiwa katika Mkutano Mkuu Maalum wa CCM msanii maarufu Baba Levo akiwa na mfanyabiashara mkubwa Tanzania Fred Vunjabei Babalevo amemtaka mfanyabiashara huyo kuacha uoga kutaka kugombea kiti cha...
Naona wafuasi wengi wa TAL wamekuwa wakipost kuashiria kuwa huenda wakajiunga na CHAUMA kwa mzee wa Ubwabwa Hashim Rungwe. Ingawa TAL mwenyewe alishasema kuondoka CHADEMA labda wamtimue.
Je...
Utaratibu wa kawaida wa chama kile ni mgombea wa urais ni kujaza fomu ya kuomba apate ridhaa ya kukiwakilisha chama kwa kuzunguka mikoani kutafuta wadhamini ili athibitishwe kuwa mgombea wa urais...
Wengi wanaweza kukataa au kukubali, lakini huyu kijana ameonesha uwezo tangu akiwa mkuu wa wilaya Kinondoni, mkuu wa mkoa Dar, mwenezi wa chama cha mapinduzi na sasa mkuu wa mkoa Arusha. Uwezo...
Katika ukurasa wake wa X Lema ameandika hivi, "LEADERSHIP IS A BEHAVIOR NOT A TITLE."
Swali: Kwanini anahangaika Lissu na Heche ili wawe viongozi kwani hawana Title?
Pia, Soma: Godbless Lema...
Kikao cha Baraza Kuu la CHADEMA 2025 kinafanyika muda katika makao makuu ya chama yaliyopo Mikocheni, ambapo viongozi wakuu, Freeman Mbowe na Tundu Lissu, wakutana uso kwa uso. Huu ni mkutano...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.