Habari njema itawaamsha waliolala kwa kukosa MATUMAINI waliokata tamaa kujaa Furaha walioshindwa kutembea KURUKARUKA wasio ona KUONA walio na KIU kuuona mto walio na machozi KUFUTWA
Kesho NYATI...
Ukumbi wa Mlimani City jijini Dar es Salaam leo Jumatatu Januari 20, 2025 ulilipuka kwa shangwe kutoka kwa wajumbe wa mkutano wa Baraza Kuu la Chadema unaoendelea baada ya Katibu Mkuu wa chama...
Wasiwasi ndio akili. Chadema leo wamekuja hadharani na kutamka kwamba Lissu hafai kuwa mwenyekiti wa chama chao. Chadema wanasema Lissu lazima awe chini ya mtu Yaani mwenyekiti.
Kwa mazingira...
Mpo salama!
Ni hakika Kesho Lisu anashinda.
Ubatizo wa Utakaso "Baptism of purification" ndio Jambo pekee ambalo Lisu itampasa aanze nalo.
Hakuna haja ya kugombana, kuvunja Chama. Mshindi...
Ukifuatilia siasa za upinzani za nchi hii utaona NCCR Mageuzi ilianza kama chama mahiri cha upinzani Tanzania kikapotea katika ramani kisha CUF ikafuatia kama chama kikuu cha upinzani nacho...
https://www.youtube.com/live/z2jNbADMJ_A?si=47oGOnBf4YbVgAA_
BAWACHA wanafanya Uchaguzi wao wa kuwachagua Viongozi wao wa Baraza kwa mwaka 2024-2029.
Usiondoke Jf kwa habari motomoto
Ni wazi kwamba Tundu Lisu ni mwenyekiti Mpya wa CHADEMA. Wakati huo Mbowe anakwenda kuwa mjumbe na mshauri wa chama.
Mabaraza yote yamesimama na Lisu siyo kwa bahati mbaya, wamesukwa kufanya...
Wakuu kesho ndio kesho..
Je serikali itakubali chadema ionekane?
Je Media zitakubali kutangaza ikibidi 'live"
Kama walivyofanya kwa CCM?
Binafsi naona matangazo yakikatwa katikati
Uchaguzi wa kumpata Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa kesho una maana kubwa sana kwa Taifa letu.
Ni siku ambayo Historia ya siasa za upinzani Tanzania inakwenda kuandikwa.
CHADEMA wanakwenda kuamua ama...
ENGUA style ya Mbowe ni ya kikatili mno haina maelezo, wajumbe wanaenguliwa bila sababu maalum, Tulizoea kusikia watu kuenguliwa kwa makosa kwenye ya kuandika barua ila hii ni next level, unapigwa...
1. Hongereni CCM kwa Mkutano Mkuu Maalum hapa Dodoma.
2. Yanayofuata yote ni kukamilisha mechi za kwenye ratiba tu a.k.a stand up comedy.
**Sasa naelewa kwann Wasanii wote walialikwa Dodoma
Habari wadau!
Kama kumbukumbu zangu ziko sawa, sheria ya uchaguzi ilifanyiwa mabadiliko enzi za Mwendazake lengo ni kudhibiti watu kuhamia vyama vingine uchaguzi unapokaribia.
Kwa kumbukumbu...
Uko Dar? au mikoani? Unafanya nini? Mpaka Bozi Boziana yuko Dodoma!
Ni mkutano mkuu wa chama kongwe kuliko vyote Afrika. Ni mkutano ambao unaenda kupanga sera za nchi kwa ajili ya vizazi vingi...
Wakuu,
Mpina hapa alipigwa na kitu kizito, hakuamini alichokuwa anakisikia :BearLaugh: :BearLaugh:.
Kama vile alitaka awe anaota, hajaelewa kabisa kuhusu mama ake Lucas Mwashambwa kupitishwa...
Wakuu,
Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Tanzania Bara na 'mgombea' wa nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho Taifa Tundu Lissu amewashukia wale wote wanaodai kuwa...
Watanzania wana maumivu mengi na hasira kubwa dhidi ya CCM, chama ambacho kimekuwa kama syndicate ya kuwaumiza watanzania walio wengi na kuzineemesha familia chache kupitia kodi za hao wengi...
Watanzania siasa siyo nyepesi kama mnavyodhani, lissu hawezi kushinda uenyekiti hata mbowe akimpigia kura Lissu, ila baada ya miaka mitano mnyika atakuwa Mwenyekiti na Lissu atakuwa amesajili...
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri Kivuli wa Ofisi ya Waziri Mkuu Bunge, Sera, Vijana, Kazi na Ajira kutoka ACT Wazalendo, ametangaza nia ya kugombea ubunge wa Jimbo la Kigoma Kusini katika uchaguzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.