Tukosema Tanzania kuna maigizo ya upinzani mtuelewe
Tukisema CHADEMA ni kampuni ya watu flani wachache msibishane na sisi
Ushauri wangu kwa wanachadema kuliko kuendelea kuteseka na kuumia...
Wakuu,
Tumemaliza Uchaguzi wa Serikali za Mitaa November, 2024 na sasa tunaelekea kwenye Uchaguzi Mkuu Oktoba 2025.
Tumeona hamasa zikifanywa na watu mbalimbali juu ya ushiriki wa wanawake...
Kaka , toka hapo Baraza Kuu. Nenda Makao Makuu ya Chama , kuna malalamiko ya watu wengi wanaweza kukosa vitambulisho !
Mod hii ipo account yake ya twitter katembeeleni.
Swali. Kama Lissu...
Mara baada ya Twaha Mwaipaya aliyekuwa mgombea wa nafasi ya mjumbe wa kamati kuu Chadema na aliyekuwa mwenezi wa Bavicha katika uongozi uliopita kuenguliwa katika kinyang'anyiro hiko wanachedema...
Wakuu,
Mambo yanakuwa matamu huko, Hilda ameweka bandiko kupitia account ya X kuwa mpaka CHADEMA yanatokea mambo ya hovyo ambayo kila wakati wanayapinga wakifanya CCM. Katika orodha hii...
HONGERA NCHIMBI RAIS AJAYE 2030.
Bashir Yakub, WAKILI
Asubuhi ya leo baada ya tafakuri ya usiku mzima wajumbe ndio sasa wanajua kuwa ule mkutano wala haukulenga kumpata makamu mwenyekiti...
===
Wana jamii forum hii ndio habari kuu mpya toka mkutano Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Taifa kuwa Mhe Dkt Emmanuel Nchimbi ndio Mgombea mwezi wa CCM katika Uchaguzi Mkuu Ujao Oct 2025...
Wakati wowote kuanzia sasa Mhe Freeman Mbowe kutoa tamko rasmi la ama atagombea Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa ama laa.
Mtakumbuka Mhe Freeman Mbowe ameitumikia nafasi hii kwa zaidi ya...
Ukisikia mambo yamezidi kunoga ndiyo hii sasa.
Tunasubiri final nani kuwa bingwa wa mchezo huu mkubwa na wa kihistoria hapa Tanzania.
=========================
Mwenyekiti alifanya kikao na Watu...
Mbowe analaumu Lissu kugombea Uenyekiti huku akilalamikia kumsaidia Lissu wakati tukijua yeye ni alimsaidia Lissu ili kufanikisha biashara zake za kisiasa.
Sasa kama walikubaliana abaki na...
Lissu ameendelea kumkalia kooni Freeman Mbowe, safari hii ameiambia BBC anataka kumuokoa Mbowe asitoke kwenye chama kwa aibu kama Mugabe.
---
Chama hakiwezi kuokolewa na mtu aliyekiongoza kwa...
"Mwenyekiti aliyeenda gerezani sio aliyetoka gerezani miezi nane baadaye, alikuwa tofauti, anaimba maridhiano"
Makamu Mwenyekiti wa chama cha upinzani nchini Tanzania Chadema na Mgombea wa...
Hapo Juu ni Email: vikao vingi vimefanyia Makao Makuu kati ya Chama na mwekezaji wa Chadema TV, Project ikaanza, Tukafunga mifumo Kanda zote. Gafla Chama Cha Mbowe kikaacha hii Project sababu eti...
Mgombea makini wa nafasi ya Uenyekiti wa CHADEMA ngazi ya Taifa Mhe.Tundu Lissu amekiri hadharani kuwa CHADEMA chini ya Mbowe haina uwezo tena wa kuvitia hata Mwanachama kichaa.
Soma alichosema...
Wakili wa Mahakama kuu ya Tanzania Mhe Jebra Kambole amewaonya wanachadema wanaotaka Freeman Mbowe aendelee na Uenyekiti kwa miaka mingine 25 ijayo waache hayo mawazo.
Wakili Jebra Kambole...
====
Swali moja la msingi kwa WAJUMBE wa CHADEMA ni hili ,
Ikiwa utapewa pesa , usafiri , pombe na chakula wakati huu lakini hukuletewa pesa wakati wa uchaguzi wa serikali za Mitaa , Kijiji na...
Freeman Mbowe amekodi kampuni binafsi ya ulinzi kulinda uchaguzi wa CDM.
Amefanya hivi bila idhini ya Kamati Kuu.
Hakutaka uamuzi huo uhojiwe.
Maswali: kampuni imepatikanaje. Ni ya nani...
Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA Bara. Benson Kigaila akitoa ufafanuzi wa taarifa za baadhi ya wajumbe wa Mkutano Mkuu wa Chama hicho unaotarajiwa kufanyika kesho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.