Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Baadhi ya makada na viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) kutoka mikoa mbalimbali, ikiwamo Dar es Salaam wamejipanga leo Desemba 18, 2024 kwenda nyumbani kwa Mwenyekiti wa Taifa...
1 Reactions
9 Replies
587 Views
Ndugu zangu Watanzania, Jogoo 🐓 limeshawika Dodoma. Makada mbalimbali na wazee maarufu na viongozi mbalimbali mashuhuri wanaendelea kuunguruma na kuzungumza juu ya uimara , ushupavu, umadhubuti...
2 Reactions
10 Replies
384 Views
Watu wengi walifikiri patakuwepo ushindani kidogo wa kumpata Mgombea uRais kupitia CCM na hapo ndipo Mwenyekiti wa Chadema Mh Mbowe aliona atahitajika sana kusaidia Sasa alichofanya Mzee Kimbisa...
2 Reactions
6 Replies
411 Views
Wagombea wa nafasi za juu za uongozi wa Chadema, wanafanyiwa usaili leo Jumapili, Januari 19, 2025, ikiwa ni maandalizi ya kinyang'anyiro cha uchaguzi unaotarajiwa kufanyika keshokutwa Jumanne...
0 Reactions
0 Replies
244 Views
Wakuu, Akiulizwa na Odemba kwanini CHADEMA kwa sasa ikiitisha maandamano watu hawaendi, Odero amesema kuwa kinachofanyika CHADEMA kwa sasa sio maandamano ni matembezi ya amani. Akaongeza kwa...
12 Reactions
36 Replies
2K Views
Wakuu, Badamu batachuruzika safari hii! ===== Wajumbe wa Mkutano Mkuu CHADEMA kutoka Mkoa wa Iringa wakiongozwa na makatibu kutoka jimbo la Kilolo, Iringa mjini na wilaya ya Iringa pamoja na...
5 Reactions
13 Replies
835 Views
https://youtu.be/cI7hJHpYUOA?si=QZSStKHprjHvB6Rm Leo SIMIYU imeungana na mikioa mingine 17 katika kutoa tamko la kumuunga mkono Mhe Lissu hadharani, Hali inazidi kuwa ngumu kwa upande wa Freeman...
4 Reactions
28 Replies
1K Views
Habari Wakuu, Fuatilia moja kwa moja yanayojiri katika Mkutano Mkuu wa CCM Dodoma leo na kesho January 19-19, 2025. Nani kumrithi Kinana...
10 Reactions
291 Replies
12K Views
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360, Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi...
39 Reactions
195 Replies
8K Views
Nawauliza CCM Stephen Wassira Nini hajafanya Tanzania kuanzia akiwa mbunge kwa umri wa miaka 23 mpaka Leo ana miaka 80 Bado anakuwa Makamu Mwenyekiti wa CCM? Hizi ni zalau Vijana mlio kusanyika...
2 Reactions
30 Replies
1K Views
Nimekuwa nikifatilia uchaguzi wa chama cha mapinduzi (CCM), Na Mzee Wasira amefanikiwa kupita kuwa makamu mwenyekiti. Sina ubaya na mzee Wasira(80). Ila swali langu kuwa vijana wamekosa nini au...
16 Reactions
64 Replies
2K Views
Akiwa anawasilimia wana CCM na wageni waliofika kwenye mkutano mkuu, Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Ndg. Wassira amesema ataanza kushirika na maridhiano, na kwamba hakuna maridhiano na mtu mmoja bali...
4 Reactions
41 Replies
2K Views
Katika mazingira ambayo kila chombo cha serikali kikisapoti chama cha Mapinduzi katika Jamuhuri ya muungano wa Tanzania. 2025 itakuwa na mshangazo mkubwa sana katika taifa la Tanzania, kwani ndio...
7 Reactions
30 Replies
1K Views
Wakuu, Kama soka hairuhusiwi kujichanganya na mambo ya siasa na serikali, sasa wawakilishi wa Simba na Yanga wanafanya nini kwenye Mkutano Mkuu wa CCM? Wakikilishi wa Yanga Eng. Hersi na...
2 Reactions
34 Replies
2K Views
Polisi wa usalama barabarani Kitengo cha pikipiki (escort) wamevalishwa sare za CCM wakiwa sambamba na msafara wa Samia. Vilevile, pikipiki za Polisi nazo zimenakishiwa kwa rangi za CCM. Pia...
3 Reactions
18 Replies
819 Views
Wakuu, Akiongea hivi karibuni katika mdahalo maalum ulioandaliwa na Jamii Forums pamoja na Star TV, Benson Kigaila ambaye ni Naibu Katibu Mkuu CHADEMA amesema kuwa sio kwamba CHADEMA itasusia...
3 Reactions
10 Replies
548 Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi wa mtu anayefaa kupokea kijiti Cha Komredi Kinana kama makamu mwenyekiti mpya wa CCM Taifa. Kwanza, CCM inahitaji Mzee wa mafaili kama alivyokuwa Mzee Mangula. Kwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Wakuu, Tumeona CCM walivuohangaika na mkutano wao kuhakikisha unafana na kuwa talk of the town lakini bado kumedorora utafikiri hawajabeba wasanii wote Tanzania mpaka Kongo :BearLaugh...
3 Reactions
8 Replies
312 Views
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi CCM Ndugu Samia Suluhu Hassan atoa onyo kali kwa watia nia kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 walioanza kufanya kampeni za mapema kabla ya muda. Msajili wa vyana...
0 Reactions
9 Replies
451 Views
Nje ya box. Hii kwa wenye akili tu. Soma Paul Makonda: Gambo usitake umaarufu wa kijinga, uwe unahudhuria vikao vya maendeleo Mkoa wa Arusha Inaonekana hata CCM kuna moto unawaka chini kwa chini...
0 Reactions
1 Replies
269 Views
Back
Top Bottom