Tundu Lissu anasema siyo Kweli kwamba Mbowe ndio amemuonya kisiasa Kwa sababu 1995 wote Wawili waligombea Ubunge majimboni mwao Lisu akiwa NCCR Mageuzi na Mbowe akiwa Chadema
Lissu anasema YEYE...
Tundu Lissu amesema Dr. Slaa ndiye alimleta Edward Lowassa CHADEMA ndiye aliyeanzanisha hilo wazo, ndiye aliyeongoza timu zote za majadiliano za CHADEMA kujadiliana na timu ya Lowassa.
Soma Pia...
Mdahalo wa wagombea uenyekiti Chadema Taifa utakuwa leo Ijumaa 17/01/2025 kuanzia saa 3:30 Usiku, katika Ukumbi wa Rwegechura Hall katika ofisi za TANGANYIKA LAW SOCIETY (TLS) Mikocheni Mtaa wa...
Tundu Lisu amesema hataomyeshwa cha mtema Kuni na Mbowe kwa sababu anaenda Kushinda KITI chake
Namba majimboni na mikoani ziko upande wetu
Soma Pia: Mdahalo wa Wagombea Uenyekiti CHADEMA Taifa...
Uchaguzi wa Baraza la Wanawake wa CHADEMA (BAWACHA) kwa nafasi ya Mwenyekiti unatarajiwa kurudiwa baada ya wagombea wote kushindwa kufikia asilimia 50 ya kura zilizopigwa.
Kulingana na kanuni za...
Wakuu!
Lissu Amesema yeye akipata madaraka, atachunguza kiini cha rushwa ndani ya chama.
Aidha ameongeza kuwa akiwa Mwenyekiti wa CHADEMA amesema kwa sababu rushwa ni tatizo wataunda \ tume ya...
Wanajukwaa!
Leo Lissu amefunguka mengi sana moja wapo ni hili
Tundu Lissu amesema atamlindia heshima yake Freemana Mbowe na atakuwa miongoni mwa wazee wa chama watakaokuwa wanasimamia uchaguzi...
“ Maendeleo hayana Chama “ by John Pombe Magufuli.
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe, picha yake ni miongoni mwa picha zilizopo katika mabango ya CCM hapa Dodoma.
Hakika Mbowe anapendwa mpaka...
Mambo yamezidi kuchangamka!
Ni mwendo wa kupigana ngumi tu, yani hadi sasa hile ni tukio la tatu au la nne la vurugu kutoka katika uchaguzi wa BAWACHA
==========
Wakati uchaguzi wa baraza la...
Heshima kwenu wanajamvi,
Baada ya uchaguzi mkuu wa Mwenyekiti Mheshimiwa Lissu atakuwa mwanachama wa kawaida kabisa.
Kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA Lissu atatakuwa kuhudhuria vikao vya Tawi na...
"Tukutane kwenye Medani Kuu Live na Chief Edwin Odemba kujadiliana juu ya 'Uongozi Wetu na Hatma ya CHADEMA 2025 & Beyond'! Katika kuelekea 'Fainali' ya tarehe 21 Januari, 'Mdahalo wa Wenyeviti'...
Wakuu,
Akiwa kwenye mdahalo siku ya leo, Lissu ametoboa siri kwanini CHADEMA huwa hawasimamishi mgombea wa Urais kwenye Uchaguzi wa Zanzibar.
Lissu amesema kuwa CHADEMA hawasimamishi mgombea...
Wakuu,
Safari hii CCM imedoda, Watanzania wako bize na mkutano wa CHADEMA.
Mlianza na kiki ya mabasi ambayo tunajua ni upigaji, watanzania wamechamba kizungu halafu wamerudi kwenye jambo la...
Wakuu,
Hawa watu hata matambara ya kudekia hatoshi kuelezea upumbavu huu wanafanya na hizo poda zilizojaa kwenye vichwa vyao, maana matambara yanasaidia kufanya usafi vizuri na kuhakikisha sehemu...
Wakuu,
Lissu amesema ikitokea ameshindwa nafasi ya uenyekiti CHADEMA hapo Januari, atabaki kuwa mwanachama wa kawaida CHADEMA, hatoenda kokote, watabanana humo humo.
Pia soma: Pre GE2025 -...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Wilaya ya Mpwapwa mkoani Didoma, ametoa tahadhari kwa wagombea wa nafasi ya Uenyekiti wa chama hicho kuacha kulalamika pindi mmoja wao...
Kesi ya aliyekuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na Mwanasiasa mkongwe, Dkt. Wilbroad Slaa (76) ataendelea kusalia kukaa Mahabusu kwa kukosa dhamana baada ya hii leo...
Wakuu
Kama muonavyo picha
Mwanasiasa mkongwe, Wilbroad Slaa (76) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, kujibu shtaka moja la kusambaza taarifa za uongo katika mtandao wa X (zamani...
Wakuu,
Wakiwa kwenye vikao wanatabasamu na kucheza pamoja, wakitoka hapo ni spana kwa kwenda mbele! Ni huzuni! :PepeHands: :KEKLaugh:
"Taarifa kwamba sikusema nilichozungumza na Rais ni umbea...
===
Freeman Mbowe anasema baada ya Uchaguzi kumalizika watawarudia wale wote waliokuwa wanatoa upotoshaji kwenye vyombo vya habari na Mitandao ya kijamii.
Huenda mambo yakawa mabaya zaidi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.