Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) - Bara, Ndg. Stephen Wasira akiwa kwenye mazungumzo na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mstaafu, Mhe. Frederick Tluway Sumaye, Ofisi...
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Taifa, Ally Hapi, amesema kuwa CCM ndicho chama pekee chenye uwezo wa kusikiliza na kutatua kero za wananchi, huku akidai kuwa vyama...
Waziri Kivuli wa Sera, Bunge, Vijana, Kazi na Ajira, Ndolezo Petro wa ACT Wazalendo ametoa tamko kuhusu taarifa za kukamatwa kwa kiongozi mwingine wa NETO.
Pia soma ~ Baada ya Mwenyekiti, Katibu...
Baadhi ya wananchi vijana wameungana na madiwani wa Arusha Mjini kumtaka Paul Makonda ambaye kwa sasa ni mkuu wa Mkoa wa Arusha kuchukua hatua ya kugombe nafasi ya Ubunge katika jimbo la Arusha...
Heshima sana wana jamvi.
Tume inayojiita tume huru imetangaza mchakato wa kugawa majimbo ya uchaguzi.
Vigezo vikuu ni idadi ya watu na ukubwa wa eneo.
Majimbo ya mijini idadi ya watu itakuwa...
Rais Samia akifungua shule ya wasichana Tanga Februari 25, 2025.
https://www.youtube.com/live/J2zo4vUF2HA?si=CYaVU5CnldQZy8kG
Rais Samia amependekeza Shule mpya ya Sekondari ya Wasichana Kilindi...
Kurejeshwa kwa Kailima kuwa Mkurugenzi wa NEC akichukua nafasi ya Dr. Mahera, ni sawa na kejeli na dharau kubwa sana kwa Watanzania, Jambo hili ni sawa na matusi ya nguoni kwa Watanzania.
Huyu...
Kwa miaka mingi wavuvi wa Pwani ya Afrika mashariki walitelekezwa na baadhi yao ilibidi wajiunge na biashara haramu ya kuvua kwa kutumia mabomu au kusafirisha "Sukari"
Leo hii umewatambua na...
Mwanzoni kabisa, January Makamba alimkosea Magufuli halafu akamsamehe. Hakuishia hapo. Japo hatujui kosa alilofanya na lini alilifanya hadi akapigwa 'kikofi' na mama. Je mnatafsiri vipi...
Jana, Februari 25, 2025, tukio la kusikitisha lilitokea wilayani Mbeya ambapo waandishi wa habari wa kujitegemea walifariki papo hapo baada ya gari la serikali walilokuwa wakisafiria kugongana uso...
Wakuu,
Hivi karibuni kama mmefatilia kwenye matukio haya ya kupotea/kutekwa na watu wasiyojulikana mtagundua kuna kitu, kuna pattern inatengezwa kuisafisha serikali na vyombo vya ulinzi, kwa...
Deogratias Mahinyila upo ktk Tanzania hii?
Sijaona ahadi zako za uchaguzi za kumtoa Mbowe?
Kila kijana ulimuahidi utampa wakili wake .
Jee huyu katibu wa chadema mwanza vipi?
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan akizindua Boti za Kisasa za Uvuvi 35 na kuweka Jiwe la Msingi Ujenzi wa Daraja la Mto Pangani na Barabara ya Bagamoyo, leo tarehe...
Sikuwahi kuamini kwamba Tanzania bado kuna Nyumba za udongo lakini huku Tanga unakutana nazo nyingi tu
Handeni na Korogwe walau Matajiri wa kichagga wamechangamsha
Huu mkoa uliathiriwa na siasa...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Said Mtanda amekana kuhusika na tukio la ukamataji viongozi na wanachama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Mwanza leo wakielekea ofisini kwake...
Uchaguzi ni keshokutwa tu Lakini sizioni Kabisa zile amsha Amsha kama enzi za akina MwanaDiwani , TandaleOne na CHABURUMA na yule Lizaboni
Changamkeni bhana 😄
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) Mhe. Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele akitangaza kuanza kwa mchakato wa kuchunguza na kugawa au kubadili majina ya majimbo ya uchaguzi ambapo Tume itapokea...
Bado sijajua Kwanini Wanaccm wa Arusha Mjini wamekuwa Wajinga kiasi cha kutia aibu namna hii, Yaani Diwani mzima baada ya"kununuliwa"anamwaga chozi hadharani kumlilia mtu mgeni na ambaye tayari...
Combination ya Makonda na Sabaya kwenye serikali ya awamu wa tano ilikuwa ya kuotea mbali na shida za wananchi zilitatuliwa papo kwa papo field.
Sasa baada ya Makonda kurudi kama katibu mwenezi...