Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Wanabodi, Mpaka sasa, nafikiri kwamba wengi tutakuwa tumeisha uzoea mwaka 2025. Mwaka ambao kama watanzania, tutatekeleza haki yetu ya kikatiba ya kuchagua viongozi wetu. Wafuasi wa vyama vya...
0 Reactions
2 Replies
88 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Hussein Ali Mwinyi amesema jamii ina Wàjibu wa Kujifunza Umuhimu wa Amani kupitia Mambo yanayojiri katika Nchi zilizokosa Amani...
1 Reactions
1 Replies
91 Views
Mimi binafsi najua kwamba afya zetu ni muhimu sana ! Tunavyokuwa watu wazima ni lazima tubadilike bila hivyo magojwa yanaongezeka sana. Mimi binafsi napata shida sana kupungua na kwasababu hiyo...
2 Reactions
9 Replies
264 Views
Mahakama ya Wilaya ya Kigoma imebatilisha matokeo ya uchaguzi wa Serikali za Mitaa katika Mtaa wa Geza Ulole, Manispaa ya Kigoma Ujiji, mkoani Kigoma, na kuamuru uchaguzi huo urudiwe baada ya...
1 Reactions
8 Replies
632 Views
Leo nimeshtushwa sana, kama vile Mheshimiwa Dk. Nchimbi hakusikika alipowaonya watu kuhusu kampeni. Madiwani hawa wanapaswa kuonywa, na ikiwezekana, kunyimwa posho kwa muda kutokana na kwenda...
1 Reactions
7 Replies
219 Views
Najiuliza hili swali mara nyingi. Angekuwepo je wananchi wangemkubalia astaafu baada ya kumaliza mihula yake miwili? Je, yeye mwenyewe angekuwa tayari kustaafu na kurudi Chato huku akimtazama...
2 Reactions
30 Replies
675 Views
Nataka tu kumjulisha Shehe Ponda kuwa Serikali ina Itifaki zake inazozizingatia Wakati Wote inapopokea mialiko katika Shughuli mbalimbaki Shehe Ponda anadhani ni lazima Mgeni rasmi kukaa kwenye...
2 Reactions
44 Replies
1K Views
Mmoja ya wananchi wa Wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga amejitokeza kwenye Mkutano wa hadhara unaofanyika katika viwanja vya Chuo cha Ualimu Korogwe, ambako Rais Samia Suluhu Hassan anatazamiwa...
2 Reactions
10 Replies
323 Views
Watu wengi wanaamini Wenyeji wa Mbeya Mjini ni Wanyakyusa na Wasafwa kwao ni Mbeya Vijijini Lakini ukweli ni Kuwa Mbeya Mjini na Vijijini kote ni Kwa Wasafwa ila inasemekana Wasafwa ni Watu...
0 Reactions
3 Replies
150 Views
Diwani wa Kata ya Themi wilaya ya Arusha mjini Mkoani Arusha Petro Lobora wakati wa kikao cha Baraza la madiwani bajet ya halmashauri kwa mwaka 2025-2026 alisimama na kuzungumza kwa niaba ya...
4 Reactions
10 Replies
488 Views
Nimesikitishwa sana kuona uvaaji wa Askari wetu wa uhifadhi wanaofanya operesheni ya kuua fisi huko mkoani Simiyu. Inakuwaje nchi iliyofikisha Watalii Milioni 5 mwaka huu ambao wameingiza fedha...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Good evening jamiiforums. Ndugu zangu, leo nilienda kumtembelea dada yangu mmoja (mtoto wa mama mkubwa) ameolewa eneo la Pugu huku Dar. Sasa wakati tupo tunakula mezani ule muda wa mchana, mtoto...
2 Reactions
45 Replies
4K Views
Wakuu, Wakati CHADEMA ikikoleza moto wa ajenda ya No Reforms No Elections, Serikali ya Tanzania imetoa kanuni za Uchaguzi ambazo zitatumika kwenye uchaguzi wa mwaka huu...
0 Reactions
3 Replies
211 Views
Hii nimeona kuanzia kwa Magufuli mpaka kwa Samia. Hawa viongozi hawana nasaba zozote za kupigania uhuru ama kuwa kwenye line ya wapigania uhuru kwenye taifa hili. Viongozi Hawa hawakuwahi kupiga...
2 Reactions
2 Replies
116 Views
Wakuu, Gavana wa Benki kuu ya Tanzania (BOT) Emmanuel Tutuba akiwa anazungumza kwenye mahojiano maalum na mwandishi wa BBC Florian Kaijage amekiri kuwa deni la taifa hilo linazidi kukua ila bado...
6 Reactions
104 Replies
2K Views
Wanabodi Mimi ni story teller, from time to time, nitakuwa nafanya short sessions za News analysis ambazo zitaitwa "PPR News Analysis". Nichukue fursa hii kuelimisha kidogo hii news analysis ni...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
  • Redirect
Hata hivyo, movement hiyo haramu ya kuhubiri na kuchochea chuki na migawanyiko miongoni mwa waTanzania, itasaidia sana na kuvipa fursa na nafasi muhimu, vyombo vya ulinzi na usalama, pamoja na...
1 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Uenda ujio wa Trump ukaleta msukumo kwa mataifa yote tajiri kuacha kutukopesha na kutupatia maendeleo tuone kama hatusongi mbele.
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
Kwa mara ya kwanza waandishi wa habari hawajaukiza swali ktk mkutano wa CHADEMA. Lema leo aliwaita waandishi wa habari ,lon cha ajabu hakuna alichowaambia badala yake kawaaambia kutakua na event...
0 Reactions
Replies
Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…