Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

Makundi ya Kigaidi huwezi kuyamaliza kama hujadhoofisha nguvu ya mfadhili wao Wengi tumeona vita vya Israel na makundi yaliyokuwa yakiisumbua nchi hiyo IDF hakuwa akipiga wanamgambo tu wa...
3 Reactions
7 Replies
221 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan leo Jumanne Februari 25, 2025 ,amezindua rasmi Jengo la Halmashauri ya Mji wa Handeni huku akisisitiza uwajibikaji kwa...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Wakuu, Makamba na Ummy washamaliza kutumikia vifungo vyao, sasa hivi wapo vizuri na mama. Rais Samia kaonesha leo ni mtu wa visasi sana, ukionesha kitabia cha kumchallenge tu unafinywa fastaaa...
1 Reactions
29 Replies
1K Views
  • Redirect
Mbunge wa Arusha Mrisho Gambo Anapenda SIASA ila Siasa hazimpendi Ni Sawa tu na Raila Odinga wa Kenya
1 Reactions
Replies
Views
Kwa sasa, ni wazi kabisa kwamba Mheshimiwa Paul Makonda hana mpinzani wa kweli kwa ushawishi alionao hapa Arusha Mjini. The undeniable truth is that the regional commissioner of Arusha possesses...
0 Reactions
1 Replies
238 Views
Mkuu wa Wilaya ya Nzega Naitwapwaki Tukai ameliagiza Jeshi la polisi kumkamata na kumuweka ndani Abraham Lwakajunguti ambaye ni mkuu wa chuo cha mmDadini Lusu kilichopo wilayani Nzega kwa madai ya...
6 Reactions
106 Replies
5K Views
Ndugu zangu Watanzania, Jeshi letu la Polisi Nchini limetoa ufafanuzi wa kina juu ya video mjongeo iliyokuwa ikisambaa mitandaoni ikionyesha dereva bodaboda au mtu mwenye pikipiki akikamatwa na...
5 Reactions
326 Replies
5K Views
Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza. Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa...
13 Reactions
97 Replies
3K Views
Nimefatilia hawa jamaa wanajiita NETO nimejifunza mambo yafuatayo. These guys are very smart and visionary. Kuna hoja tatu nimeziona. - Kuondoa swala la walimu kujitolea. - Suala la...
3 Reactions
19 Replies
667 Views
Wasomi wengi nchi hii elimu haijawasaidia, wapo baadhi na mimi binafsi wanyooshea mikono. Makundi mawili elimu imewasaidia, 1. Walioamua kukaa pembeni na kufanya siasa. Ni katika kundi hilihili...
0 Reactions
0 Replies
73 Views
Wale wote ambao wametosheka na maendeleo ndani ya majimbo yao ya kiuchaguzi wanaweza kuchagua wapiga porojo wenye ubishi mkali, wapenda sifa za maongezi, wasioweza kufanya lolote ndani ya majimbo...
1 Reactions
1 Replies
73 Views
Wakuu, Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam limewakamata watuhumiwa 26 kwa tuhuma za biashara haramu ya upatu mtandaoni bila kibali cha BoT, wakiwemo wafanyakazi wa Kampuni ya Leo...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Miaka ya 2010 nikamaliza degree yangu ya pili baada ya ile ya awali kutonipa manufaa. Kwa kuwa nilisoma nikiwa na cheki namba haikunipa shida kuhamia wizara nyingine kama mtaalam wa nilichokwenda...
3 Reactions
11 Replies
351 Views
Mzee Kavana, aliyekuwa Captain Kavana mwaka 1964 na aliyechagulia na askari wa Tanganyika Rifles walioasi ili awe kiongozi wao badala ya wazungu, amefariki jana 9/8/2024. Captain Kavana wakati...
19 Reactions
137 Replies
10K Views
Katibu Mkuu wa BAVICHA amenukuliwa akisema CCM inawafanya watanzania ni maskani lakini wao wakifaidika sana. Maneno hayo yanafanya nijiulize sana juu ya uelewa wa vijana hao wa CHADEMA na mambo...
0 Reactions
1 Replies
79 Views
Wanabodi, Kama kawa kila nipatapo fursa, huja na makala zangu elimishi za Kwa Maslahi ya Taifa. Naangalia mijadala mbalimbali ndani ya Bunge , naliona kama Bunge limedorora fulani hivi, limepoza...
3 Reactions
17 Replies
672 Views
Tanzania Kupitia TRA inaenda Kuwapita Wakenya kwenye Makusanyo ya Kodi mwaka 2027 kwani Bado Shilingi Trilioni 3 Kuwafikia. Hapo kabla Kenya ilikuwa imewekwa Gap la zaidi ya Trilioni 7 lakini...
10 Reactions
164 Replies
2K Views
Uhimilivu wa Deni la nje kulinganisha na Pato la Taifa umefikia Asilimia 35.4% Kati ya 40% , hivo kubakisha 4.6% tu kufikia Ukomo Elekezi !! Kile kiswahili Cha kwamba, Deni letu linahimilika...
7 Reactions
35 Replies
1K Views
Aliyekuwa Mbunge wa Nkasi Kaskazini (2010-2020), Ally Mohamed Keissy, amefafanua sababu zilizopelekea msukumo wake wa kutaka kubadili Katiba ili Magufuli awe Rais kwa miaka 15.
0 Reactions
4 Replies
195 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…