Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

KATIBA Mpya

Mchakato wa utafutaji wa Katiba Mpya ya Tanzania (2010-2015) | Inahusisha Hatua zote, kuanzia Muswada, Rasimu hadi Katiba yenyewe
Threads
7.6K
Posts
193.8K
Threads
7.6K
Posts
193.8K

JF Prefixes:

This country needs lots of reforms and therefore we who are knowledgeable should help reform it. Following this, we have planned to violently demonstrate however death may face us but eventually...
1 Reactions
1 Replies
108 Views
Ni dhahili kuwa wote wawili wana makundi makubwa ndani ya CCM * Kundi la Makonda pekee halitoshi kuipa ushindi CCM; Lkn pia kundi la Gambo pekee halitoshi kuipa ushindi CCM. * Kundi lolote...
1 Reactions
0 Replies
79 Views
Kama kuna kijana asiye na fadhila aliyetoka Upinzani na anayeumaliza Upinzani huo huo uliyemkuzà na kumlea basi ni huyu Kafulila. Leo hoja kubwa kubwa za Upinzani kama ukuaji wa deni la...
1 Reactions
6 Replies
215 Views
Katiba ijayo inatakiwa isiwe na lugha za ulaghai, iamue na kuelekeza nani afanywe nini kama atavunja sheria za nchi na itamke wazi uelekeo wa uchumi wetu."Haya ni maelezo ya Mwasisi wa Chama cha...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Najiuliza na kukosa majibu Mh. Lowassa si mfanyabiashara,zaidi ya kuwa mbunge, nimejionea siku za hivi karibuni katika vyombo vya habari akichangia mambo mengi hasa katika miradi ya maendeleo na...
4 Reactions
451 Replies
55K Views
Hali ya usalama wa raia mkoa wa Geita ni mbaya. Kuna ajali za kutisha, mauaji ya Raia, albino, wizi, wahamiaji haramu. Pia vyombo vya habari mkoani Geita vimeshindwa hata kuriporti matukio...
3 Reactions
12 Replies
550 Views
Wakuu, Kama hivi haya ndo maandalizi ya Uchaguzi au nini? ====================================================== Serikali imetoa Sh209 milioni kwa vikundi 18 vya vijana ili kusaidia...
1 Reactions
0 Replies
75 Views
Mbunge wa Shinyanga Mjini, Patrobas Katambi, ambaye pia ni Naibu Waziri wa Kazi, Vijana, Ajira na Watu wenye Ulemavu, amewahimiza wakazi wa jimbo lake kumpigia kura Rais Samia Suluhu Hassan katika...
0 Reactions
5 Replies
171 Views
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (BAWACHA) taifa Sigrada Mligo amewataka watanzania kufanya mabadiliko kwa kuchagua madiwani toka vyama vya siasa tofauti...
0 Reactions
0 Replies
97 Views
Wakuu, Thubutuuu, toa wasanii, toa hizo buku kumi kumi na af sabasaba mnazohonga wananchi tuone kama mtapata watu kama si CCM vikongwe pekee?😂😂 Bila wasanii na hela hata wale wamama waliokuwa...
2 Reactions
11 Replies
467 Views
Serikali imezindua Kampeni ya Msaada wa Kisheria ya Mama Samia mkoani Pwani, ikiwa ni sehemu ya juhudi za kuhakikisha haki inapatikana kwa wananchi wote, hususan wale wenye changamoto za kisheria...
0 Reactions
1 Replies
93 Views
Nakumbuka Mwalimu Nyerere hakutaka kabisa kukopa kwa Mabwanyenye ila Gavana mstaafu Mtei akawa miongoni mwa washawishi wakubwa wa kutaka nchi ikope Ubeberuni Naambiwa ubao unasoma 100 Ahsanteni...
0 Reactions
2 Replies
91 Views
Kwa mwezi huuu tu nimeona post za RC wa Tabora akiamuru mtu afukuzwe kazi ama aondokee kwenye Mkoa wake. Vyema ningependekeza tu hekima ifwate kuwaondoa hawa watu; 2. Sidhani tunahitaji kumwona...
1 Reactions
1 Replies
115 Views
Mungu alipoona Taifa lake la Waarabu linaangamia kwa kukengeuka aliwateremshia Mtume Muhammad (SAW) kuwafindisha namna bora ya kuishi kwa kumpendeza Mungu. Akawaamrisha mema na kuwakataza mabaya...
27 Reactions
136 Replies
3K Views
Wakuu, Kwahiyo Mkutano Mkuu upo kama jiwe, limeshakauka haliwezi kufinywangwa? Wenzetu kwenye Mkutano Mkuu ni malaika hawawezi kukosea? Ikisemwa ndio imetoka hiyo?😂😂. Mpaka Makalla anatetemeka...
1 Reactions
3 Replies
255 Views
Wanachonifurahisha Paul Makonda na Mrisho Gambo ni kwamba Wao hawafanyi siasa za kinafiki Kila Kitu kinawekwa mbele ya pazia halafu July Wajumbe wataamua kwenye Kura za maoni Tofauti na Mbowe na...
1 Reactions
4 Replies
394 Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
  • Redirect
0 Reactions
Replies
Views
Waziri Kombo akutana na Wabunge wa Hungary Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Mhe. Balozi Mahmoud Thabit Kombo (Mb.), amekutana na kufanya mazungumzo na Wabunge wa Bunge...
0 Reactions
0 Replies
69 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…