Umoja wa Walimu Wasio na Ajira Tanzania (NETO) umetangaza kuwa uko tayari kukutana na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora, George Simbachawene, kwa ajili...
Je, Kikwete ametupa dongo kwenye familia ya Magufuli na Mkapa?
Akitetea hoja ya Wajumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM kuhusu kumpitisha Rais Samia awe Mgombea 2025, Rais mustaafu Kikwete amenukuliwa...
Ziara ya Rais Samia Lushoto - Tanga Februari 24, 2025
https://www.youtube.com/live/LNpz7Pc79wE?si=yn9bJoLvJnntvhA-
"Nimekuja kuangalia matumizi ya fedha mbalimbai zinazoletwa kuondoa shida za...
Habarini,
Ni wazi kabisa kwa wenye akili kujua vyama vya upinzani vilivyopo ni matawi ya ccm na viongozi wake ni mamluki wa ccm wanaojinufaisha na familia zao kwa kujificha kwenye upinzani kama...
Mwenyekiti wa Chadema Taifa, Tundu Lissu akiwa Kibamba akizungumzia urataibu wa kujiunga na Chama amesema kama Chama
Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa...
Home Business News "Japa"
Canada faces 8.1 million job openings until 2033, over 100 occupations at risk of shortages
by Chigozirim Enyinnia
1 day ago
Canada’s labour market is...
Najua kuna watu wengi pamoja na mimi binafsi tunamshangaa huyu Mama kubadilika sana kuanzia 2021. Sababu moja wapo inawezekana ikawa watu wake wa protokali ambao wanajiona sasa wenyewe ndiyo wana...
Naibu Waziri, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mhe. Zainab Katimba, amezitaka Mamlaka za Serikali za Mitaa nchini kuendelea kubuni miradi ya maendeleo...
Maridhiano ya Mbowe na Ikulu yana jambo ambalo wengi ulibeza Ila yamesaidia sana CCM kutawala kwa ujanja tena bila kufuata sheria na taratibu kadhaa Kama Katiba inavyotamka!
Na kuna swali “Je...
Wakuu,
Mwenyekiti wetu wa NETO Joseph Paulo Kaheza anadaiwa kukamatwa na police mkoani Geita.
Kupitia mtandao wa X taarifa zinasema kuwa kwa mjomba wa Joseph alifika katika kituo hicho cha...
Tangu Dr. NDUGULILE afariki ni miezi sasa, kigamboni haina mbunge wala hakuna uchaguzi mdogo, tatizo nini?
Soma Pia: Dkt. Faustine Ndugulile, aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni afariki Dunia
Tume...
Katika furaha yake ya Ushindi wa Upinzani huko Ujerumani Trump anesema ni Wakati Sasa Mikataba ya uwekezaji ikawa Wazi Kwa Wananchi kama yeye anavyotaka Wananchi wa Ukraine wawe wanaelewa kila...
Nini kimepelekea upinzani kutoaminika kabisa nchini, kukosa hamasa na kuonekana kana kwamba ni watu wa mipango ya kuomba omba kuchangiwa pesa za matumizi yao binafsi tu na sio kutumikia wananchi...
Sabato Njema!
Ukifuatilia kwa umakini utagundua machawa wengi na Waasisi wa uchawa ni kizazi cha Miaka 70's na 80's.
Sijajua nini kilitokea Miaka hiyo kuanzia ulaji wa chakula, mitindo ya...
Afrika ya mashariki inaundwa na nchi zifuatazo:;
Kenya
Tanzania
Uganda
Burundi
Sudan Kusini
Somalia
Kati ya nchi hizi za Afrika ya mashariki ipi unadhani inaongozwa kwa kufuata Sheria na Katiba...
👉Mbunge/Diwani amekaa madarakani miaka 15 mpaka 30 lakini suala la maji ni changamoto....Piga Chini Weka Mwingine
👉 Mbunge/Diwani amekaa miaka 15 mpaka 30 lakini Barabara za kutegemewa...
Mjumbe wa Kamati ya Utekelezaji Jumuiya ya Wazazi Chama Cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Mjini, Mhandisi James Jumbe Wiswa, amechangia mifuko 100 ya saruji kwa ajili ya ujenzi wa uzio katika Kituo...
Ni Video ikimuonyesha Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi CCM Mkoa wa Geita Manjale Magambo akikabidhiwa Fimbo ya ushindi pamoja na Kuku aina ya Jogoo na wazee maarufu Baada ya...
ADO SHAIBU: RAIS SAMIA AJITATHIMINI
Maazimio ya Halmashauri Kuu
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa...