Katibu wa siasa na uenezi wa CCM katika mkoa wa Dar es laam Ali Bananga amesema kuwa harakati zinazofanywa na chama cha Upinzani Chadema zinazoitwa no reform no election ni za kipuuzi, Bananga...
Wakuu,
CCM wananikumbusha mwaka jana ambapo Democrats walikuwa wanamtetea Biden kwamba hana shida yoyote na hali yake ya kiafya iko vizuri.
Walidanganya watu wee siku ya debate ikafika, Biden...
Mwenyekiti CHADEMA Kanda Kaskazini Wakili Welwel wakati akifungua kikao kazi kilichohutubiwa na Makamu Mwenyekiti wa Chama Taifa Kamanda John Heche kilichofanyika Siku ya jana Equator Hotel Arusha...
Hekaheka za uchaguzi mkuu zinaendelea kushika kasi huku vyama vya siasa vikiendelea na mchakato wa kuwapata wagombea wa nafasi ya urais.
Kwa upande wa NCCR Mageuzi, Mkuu wa Idara ya...
Mchungaji Peter Msigwa ameeleza kuwa Mweyekiti aliyemaliza muda wake Freeman Mbowe hakuwa na mpango wakuachia Madaraka ndani ya Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) mpaka alipofurumshwa na...
Maazimio ya Halmashauri Kuu
Halmashauri Kuu ya Chama cha ACT Wazalendo imekutana kwenye kikao chake cha kawaida jana tarehe 23 Februari 2025 katika Ukumbi wa Hakainde Hichilema uliopo katika...
Salaam
Kauli ya Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, inayoitaka vyombo vya dola kuwachukulia hatua watu wanaodaiwa kutaka kuzuia uchaguzi mkuu ni ya kutia...
Wanabodi.
Utambulisho.
Mimi ni mwandishi wa habari wa kujitegemea, yaani freelance journalist, hatutumwi na mtu yoyote au media yoyote. Sisi waandishi tuko wa aina nyingi na tunafanya kazi za...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi cha watanzania Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan Mama wa shoka, chuma cha Reli, shujaa wa Afrika, jasiri muongoza...
Ester Bulaya amesema kuwa yeye alifuata taratibu zote za kuwa mbunge wa viti maalum ndani ya chama chake. Pia ameeleza hakughushi nyaraka na kama amefanya hivyo basi alipaswa kushtakiwa mahakamani...
Hapo mwanzoni utendaji ulikuwa mgumu kutokana na kutumia majengo yenye ufinyu wa ofisi na kuchelewesha huduma kwa wananchi.
Hali imebadilika baada ya Rais Samia kuwajengea jengo jipya la...
Ester Bulaya wakati akiulizwa maswali kwenye kipindi cha Power breakfast ameeleza kuwa hajaona mahali ambapo chama chake (CHADEMA) kikimkataa na pia alipoulizwa kuhusu CCM ameeleza kuwa CCM...
Wanabodi,
Leo tena nimepata fursa kuwaletea zile makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" na issue iliyo mezani ni Sakata la wabunge 19 wa Chadema, Chadema imewatimua ikijua it's done with them...
Katibu wa chama cha Chadema mkoa wa Njombe Baraka kivambe, amesema hawako tayari kushiriki uchaguzi ikiwa hakuna mabadiliko kwa baadhi ya mambo ambayo wamekuwa wakiyalalamikia kwa muda mrefu...
Wanabodi
Kupitia kipindi changu kipya cha KMT, kinachorushwa hewani na kituo cha Television cha Channel Ten, kila siku za Jumapili saa 3:00 usiku na marudio siku za Jumatano Saa 9:30 alasiri...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Kaskazini, Samwel Welwel, amesisitiza kuwa chama hakitavumilia makundi yanayopinga uongozi uliopo madarakani.
Welwel amesisitiza...
Raisi Samia ni mwanasiasa lakini anapenda umashuhuri kama Trump. Mapungufu yanakuja pale ambapo
Uchawa unazidi
Uzalendo. Angetakiwa kupenda vilevile haki, kupenda kupigana na rushwa kama...
Ni vema Wananchi wakafahamishwa na Addo Shaibu wa ACT wazalendo bajeti ya Kikosi Kazi Cha Prof Mkandara ilikuwa shilingi ngapi na maazimio yalikuwa ni nini
Na J J Mnyika atueleze kilichojiri...
Ndugu zangu Watanzania,
Siweki neno wala kuongeza neno bali nawawekea barua ya Mwana CHADEMA kama ilivyo.👎
BARUA YA WAZI KWA MHESHIMIWA EX MAYOR WA UBUNGO NA MWENYEKITI WA CHADEMA KANDA YA...