Kiongozi mkuu wa Serikali ya watu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania anayeiwakilisha serikali ya watu wa Tanzania akipokea tuzo ya Bingwa wa vichekesho (Champion of comedy).Hongera serikali...
Sijaona maono yoyote ya maana kutoka kwa Mwenyekiti mpya wa chadema ambayo yanaweza kubadili nchi zaidi ya kuwazia madaraka ya kiserikali tu.
Sijasikia mipango madhubuti kwenye sekta mbalimbali...
Katibu Mwenezi wa Baraza la Wanawake CHADEMA (BAWACHA) Taifa Sigrada Mligo akiwa kwenye mkutano wa hadhara eneo la soko kuu Makete mjini ameonya wanaowanyanyasa wanachama wa CHADEMA wilayani...
Mzee wasira ni lazima aelewe kwenye No election no reform hakuna mdahalo bali utekelezaji. Chaguzi za 2019, 2020 na 2024 zime maliza mdahalo na maswali yeyote ya kwamba chaguzi kwa sasa zinaweza...
https://youtu.be/5Y7PcWedUNE?si=nXAlvjXG1G6V-4Mu
KWANINI NO REFORMS, NO ELECTION?
Ni kwa sababu:
1. Kwa utaratibu wa kisheria, kikanuni, kikatiba na wa kiserikali, uchaguzi salama usioambatana...
https://youtu.be/ANA3rytxn0Q?si=6caBpBCIieREJQl7
➡Ukimtazama na kumsikiliza vizuri Ansbert Ngurumo ktk video hii unaweza kudhani ni mtu neutral, anayejaribu kushauri pande mbili ili kurekebisha...
Chama cha ACT Wazalendo kimesema kipo tayari kuunganisha nguvu na vyama vingine vya siasa pamoja na taasisi mbalimbali ili kuhakikisha vinapambania uwepo wa uchaguzi huru na haki mwaka huu...
Nyimbo nyingi za CCM zinasisimua sana, zinaondoa uchovu na msongo wa mawazo ukiziskiliza vizuri, na kwakweli ukiziskiliza kwa makini unapata pumzi yenye matumaini na mwangaza mpya kabisa wa...
Wakuu,
Makubwa haya! Wameenda kumnong'oneza sikioni au?
====
Mwenyekiti wa UVCCM Mkoa qa Songwe Bi Fatuma Mnahwate amesema ameongea na Wenyeviti wa Vijana wa Vyama vyote Vya Upinzani nchini...
Hapo zamani wakazi wa halmashauri ya wilaya ya Handeni na vijiji vyake walilazimika kwenda Tanga mjini hospitali ya Bombo au kwenda Muhimbili Daresalaam kwaajili ya huduma za kibingwa, lakini kwa...
Wakati wa Mbowe vijana wengi walivuma, hoja zao kuipinga CCM katika mitandao ya kijamii ikiwavutia wengi sana hata wanaCCM wenyewe.
Wakisimama juu ya majukwaa vijana wengi wakivutiwa.
Hivi sasa...
Utangulizi
Katika kipindi hiki cha kuelekea uchaguzi mkuu wa mwaka 2025, kumekuwapo na maswali mengi kuhusu kutoonekana kwa Patrick Boisafi, Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Kilimanjaro.
Ni muda mrefu...
No reforms, no elections’ yawaweka Chadema njiapanda.
Kampeni inayoratibiwa na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) ya ‘No reforms, no elections’ ikimaanisha “Bila mabadiliko, hakuna...
Ndiyo, ibada ya sanamu imekatazwa katika Biblia. Hii ni kwa sababu Mungu anataka kuwaabudiwe peke yake, bila ya kuwepo kwa kitu chochote kingine kinachochukuliwa kama kitu cha kuabudiwa.
Kwa...
Hakuna kada inayodharaulika kama ya ualimu, polisi na jwtz. Hawa wote wapo kwa ajiri ya kuiweka ccm madarakani kwa njia yoyote.
Hebu imagine mwezi mzima mwalimu au askari anapata mil 1 ambbayo mi...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora na Mbunge wa Jimbo la Kibakwe, Mhe.George Simbachawene ametoa wito kwa Watanzania wenye sifa za kujiandikisha...
Ni wakati wa kuwakataa viongozi wa ccm kwa miaka 63 ya uhuru watanzania wametufanya kuwa wajinga huku wao na familia zao wakiishi maisha mazuri na yenye amani.
Viongozi wa ccm wamefikia hatua ya...