Habari, fundi wa madirisha ya grill (flat bar) anahitajika; madirisha yako 25, kazi ni kutengeneza na kupachika ndani ya siku saba. Malipo baada ya kupachika. Bajeti yangu kwa kila dirisha ni sh...
Habarini,
Nina kiproject kidogo cha kujenga nyumba ya kujihifadhi familia ikiwa na kitu cha kufanyika mkoani Dar Es Salaam.
Ni vyumba viwili upande wa kiume na upande wa kike tu, upande wa kike...
Habari za wakati huu ndugu zangu.
Naombeni kujua MCHANGANUO WA GHARAMA za ujenzi wa nyumba ya chumba kimoja master na sebule kiwanja tayari Ninacho tofali Ninazotarajia kitumia Ni za cement...
Habari zenu wanajamvi!
Kama mada inavyojieleza hapo juu. Nimehamia kwenye nyumba yangu maeneo ya Chanika. Sijapiga tiles bado chini nina rough floor (nilikimbia changamoto ya kodi nyumba za watu...
Nimeyaona mengi Sana, Dkt. Slaa alijengewa nyumba na CHADEMA alipohama Chama hicho wakachukua nyumba yao huku walimpa bure, Tuntemeke Sanga wa Njombe alijengewa nyumba na Mwl. Nyerere alipoanza...
Wakuu,
Nimefanya utafiti usio rasmi.
Ndani ya Tanzania yetu. Nyumba nyingI Sana zinajengwa zikiwa na sehemu ya dinning room.
Cha kushangaza, nyumba nyingi Sana Dinning room zimegeuzwa eneo la...
Habari za mda huu, Wana jamvi wenzangu
Kama uzi unavyojielezea, kuna watu wengi wanatamani kumiliki mjengo mjini lakini hawajui, waanzie wapi, wapitie wapi, wafanye Nini, watililike vipi hatua...
Toka zamani tumekuwa tukiona umeme wa majumbani ukifungwa single phase na viwandani ukifungwa wa three phase. Lakini siku hizi hata majumbani watu wanafunga umeme wa three phase tofauti na zamani...
Habari, Wana ndugu Leo nilikuwa napitia jukwaa hili, na kusoma baadhi ya thread zinahusiana na Ujenzi Kama niliutaja hapo juu, Ila wadau walipokuwa wanachanganua gharama ni hatari yaani inatisha...
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 22.5 million, kiwanja kipo tayari na mazingira ya ujenzi ni mkoa wa Mara.
Je, kwa budget hiyo katika ujenzi wa mwanzo, fence hadi...
Kwa kifupi natamani kujua ujenzi wa nyumba ya ghorofa moja una milolongo ipi ambayo ni tofauti na ujenzi wa nyumba ya kawaida. Je,kuna mambo ya kisheria ya kuzingatia?
Sent from my VF-795 using...
Mipango ya muda mrefu inahusu kufanya uwekezaji mkubwa. Tunaongelea nyumba zaidi ya 100 za kupangisha. Hii ni biashara watakayorithi watoto wako na wajukuu wako. Katika mipango hii nunua...
Hbr,
Msaada wa kufahamu initial costs za kujenga uzio wa seng'enge (Yaani chain link fabric) kwenye kiwanja. Kiwanja kina 35×40. Je, Zinakuwaga na urefu gani hizo seng'enge na pia zinauzwaje, Na...
wakuu habarini...naomba msaada wa kujua garama ya kumlipa fundi ili anijengee nyumba kama hiyo pichani.
Vyumba viwili vidogo vidogo 3*3. Sebule yenye dining, choo kiwanja kipo, tofali 6500 za...
Ndugu mwana Jukwaa hili, ninajaribu kujenga picha kichwani ya kamjengo hata nikikajenga miaka mitatu ijayo.
Picha niliyonayo kichwani inaendana na ramani hii niliyojaribu kuchora hapa, japo...