Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

NB: Haihusishi walemavu ambao inabidi wavitumie vyoo vya kukalia. Kiukweli linapokuja suala la kwenda haja, choo cha kuchuchumaa ni kizuri zadi kuliko cha kukaa.. 1. mkao wa Mchuchuma ndio pozi...
13 Reactions
28 Replies
4K Views
Size: 9m x 10m Fence : 20m x 20m Kiwanja tambarare Self room 1 Bedroom 1 Dining Sitting room Kitchen Public toilet Paving blocks nje Karibuni wakuu.
4 Reactions
21 Replies
3K Views
Habari wakuu, aliyewahi kununua mabati ya dragon vipi yapo vizuri? Nataka niende huko
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Wakuu... ninaomba kupata makisio ya GAHARAMA ZA UFUNDI wa nyumba ninayotarajia kujenga... Lengo ni ili niweze kujua namna ya kujiandaa kwa kumlipa fundi kwa kujua makisio ya gharama kwa uzoefu...
3 Reactions
8 Replies
4K Views
Mbunge wa vitu maalum Mkoa wa Mbeya Suma Ikenda Fyandomo, ameshtukia mchezo unaofanywa na wataalamu katika ujenzi wa stendi ya mabasi katika Mamlaka ya mji mdogo wa Tukuyu Mkoani Mbeya, kwa...
0 Reactions
0 Replies
538 Views
Dkt. Dugange Atoa Agizo, Kituo cha Afya Ulembwe Kikamilike Ifikapo Disemba 30, 2023 NAIBU Waziri Ofisi ya Rais-TAMISEMI, Dkt. Festo Dugange amemuagiza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya...
0 Reactions
0 Replies
469 Views
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo (SMZ) Mhe. Tabia Maulid Mwita amesema ukarabati unaoendelea kufanyika katika uwanja wa amani una lengo la kuimarisha na kuufanya kuwa wa kisasa na...
1 Reactions
0 Replies
623 Views
Kati ya kiungio cha bati na bati kuna nafasi (bati hazijashikana) kama inavyoonekana japo haivuji. Mwenye uwezo wa kusolvu hilo changamoto bila kutoa bati anipm. Nipo Mwanza
2 Reactions
11 Replies
798 Views
Nipo najenga nyumbn huko mwakan mungu akinipa uzima nimejarbu kujenga kwenye karatasi na lengo ni kuihamia ikiwa na ukamilifu atleast 75/89% let go guys BREAK DOWN (NYUMBA YA ROOM 3+ MASTER...
2 Reactions
33 Replies
3K Views
House 10m x 9.3m Fence 20m x 20m 1 master room 1 bedroom 1 public toilet dining room kitchen living room simple garden HINTS ■aluminium windows ■normal tyres, no...
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Binafsi kero za mwenye nyumba zilisababisha kujenga nyumba yangu na kuhamia faster ilikuwa 2015. Unalipa kodi mara umeme umekatwa wakati kwake upo, mara kuchota maji mwisho saa 4 asubuhi...
16 Reactions
34 Replies
4K Views
Habari za usiku huu wana wa JF, Nimekuja kuomba ushauri maana nimewaza peke angu bila kupata majibu. Nimejenga kajumba kangu wa style hii ya sasa la bati la kuficha ila sasa kiukweli nakosa...
2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakazi na wenyeji wa Mwanza nisaidieni, Kati ya fumagira wilayani Nyamagana na Nyang'holongo wilayani Misungwi panafaa kununua kiwanja na kuweka makazi ya kudumu. Nimetoka Mwanza mda mrefu mji...
2 Reactions
3 Replies
848 Views
Update: Leo nimeanza kunyayua nadhani kesho kutwa ntamaliza kozi 10 nisubire kufunga mkanda na kumalizia 3. Mwaka huu mwezi wa tatu kwa kipato changu nikaamua kujipiga piga na mimi nianze...
15 Reactions
77 Replies
7K Views
Hii kitu kwa saivi imefanywa kama ni kitu ya lazima kwenye ujenzi wa nyumba. Mi sioni kama ni kitu chenye umuhimu kiviile, zaidi naona ni kuongezeana gharama tu bila sababu ya msingi. Nipe...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mimi ni fundi ujenzi (majengo) katika wilaya X ninajenga na kufanya kazi za serikali kwa njia ya force account lakini ikifika swala la malipo ninazungushwa sana mara taarifa zinakuja eti...
0 Reactions
3 Replies
497 Views
(fungu la 24 - 30) UTANGULIZI Mwongozo huu wa umiliki kwa ajili ya raia wa Tanzania unatokana na fungu la 24 - 30 la sheria ya ardhi Na. 4 ya mwaka 1999. Aidha, ardhi inayoombewa milki...
0 Reactions
0 Replies
481 Views
Guys nimewekeza katika gym nataka kuifanya ya kisasa, natafuta sehemu wanauza bidhaa tajwa hapo juu.
0 Reactions
3 Replies
715 Views
Wakuu naomba Makadirio ya gharama ya plaster na ufundi nyumba hii ina vyumba vitatu kimoja self, public toilet, sebule, dining na jiko.
3 Reactions
23 Replies
11K Views
Katika muktadha wa ardhi na mali isiyohamishika, hati ya umiliki wa ardhi inaweza batilishwa au kubadilishwa mwenendo kwa mujibu wa sheria na mazingira fulani. Hata hivyo, mchakato huu unaweza...
0 Reactions
4 Replies
867 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…