Makala hii nimeiandaa ili kukuelimisha elimu ya kawaida na muhimu kuhusu mabati,ikiwemo maneno yanayotumika kwenye bati, hivyo sitaingia kwa kina sana kuhusu namna bati linavyoundwa.Lengo ni...
Miezi kadhaa nyuma niliomba ushari kuhusu ujenzi. Leo narudi tena kwenu. Wazoefu na wajuzi mnisaidie.
Nitatumia tofali za kuchoma na ntajengea tope mpaka lenta ambapo ntamalizia kwa cement...
Habari wakuu,
Kwa nyumba yenye ukubwa wa 13m kwa 12m (urefu na upana), ili iwe na mwonekano mzuri, urefu wa paa (king post height) unatakiwa uweje kwa kipimo cha futi?
Wana JamiiForums,
Naomba ushauri wa hili jambo langu nimejiokoteza kwenye shughuli zangu nikajipatia sh 4million nikaona nianze ujenzi.
Kiwanja ninacho ambacho ni mita 15 Kwa mita 10 nataka...
SERIKALI ITAENDELEA KUJENGA BARABARA KUU LA MUSOMA VIJIJINI KWA KIWANGO CHA LAMI: WAZIRI BASHUNGWA ASISITIZIA UAMUZI HUO WA SERIKALI
Jana, Jumanne, tarehe 10.10.2023, Waziri ya Ujenzi, Mhe Waziri...
Mama mmoja kutoka Kenya, ameonekana kuwavutia watu wengi nchini humo baada ya kuja na design ya kujenga nyumba yake ya kuishi juu ya nyumba ya wapangaji wake (landlord amekalia tenants).
Mama...
Maeneo ya mradi wa NSSF ukivuka kama unaelekea Kimbiji nimeona maeneo tulivu sana, wenyeji karibuni tupeane mchongo wa viwanja vya bei nafuu jamani pesa ipo mfuko wa shati.
Watu wa Ramani walikua kila nikiuliza gharama za kunichorea Ramani ya Nyumba Kawaida tu wanasema laki 7 mara laki 9 sijui unapewa Ramani na nini gani mbwembwe kibao aiseee nilibembeleza kinoma...
Nyumba ina vyumba vitatu vya kulala, public toilet, dining, sebure na stoo . Ina urefu wa 10.6m na upana wa 9m, vyumba vyote vinaukubwa wa 9 sqm. Naomba mchanganua wake, gypsum powder zitahitajika...
Hivi ukijenga Mbezi, Kigamboni au Huko Bunju ndani unapata huduma za jamii bure?
Mbona watu wanauziwa ardhi kwa bei kubwa sana?
Pesa ya Kiwanja tu unapata Nyumba nzuri tu Mbagala, Chanika na...
Naombeni ramani simple nzuri ya kisasa. Roof ya kawaida ya bati (sivutiwi na contemporary roof).
*Master room
*Sebule/sitting room (kubwa)
*Self bedroom
*Jiko
*Study room
N.B: Ni kwaajili ya...
Mimi siyo mzee wa miaka hiyo, ila wazee watakuja kuthibitisha hili.
Kuna mitaa ipo katikati ya mji huku napoishi nyumba zimechoka ila zimepangika na barabara zinaonekana zikiwa zimenyooka.
Siku...
Naishi kwenye kijiji kilicho makao makuu ya kata sehemu ambapo kuna mji mdogo unaokua kwa kasi.
Kuna mwingiliano wa watu wa wastani lakini wakazi ni watu mchanganyiko.
Hapa kuna sherehe za mara...
Habari wakuu, Samahani naomba kujua makadirio ya ujenzi wa nyumba hii ya kuishi, Natarajia kuanza ujenzi mwishoni mwa mwaka huu.
Eneo la uwanja ni Sqm 700
Kiwanja kipo Mbeya Mjini.
WANANCHI WILAYANI MOMBA WAIPONGEZA TARURA KWA UJENZI WA BARABARA YA IKANA – IYENDWA-NAMCHIKA.
Na Mwandishi wetu - Momba
Wanachi wa Wilaya ya Momba wameeleza kufurahishwa kwao na ujenzi wa...
Ndugu wanajamvi, habari za majukumu?
Kuna mchoro wa ramani ya nyumba ya jirani yangu nimeupenda sana. Vipi nikihamishia huo mchoro site kwangu haitaleta noma?
Salamu wakuu, katika maisha wengi tuna pitia au tume pitia mengi, na hasa ukija katika swala la upangaji.
👉Hapa ndo huwa kuna vilio au malalamiko mengi, kutoka pande zote. - Iwe mwenye nyumba au...