Jukwaa la Ujenzi na Makazi

An opportunity for everyone involved with the construction industry including designers, contractors, clients, suppliers and site workers

JF Prefixes:

Fenicha, urembo vitu na nyenzo mbalimbali.. Kwa wapenzi wa asili na wana mazingira
17 Reactions
2K Replies
8K Views
Tanzania Kwa ujumla Makazi yake mengi ni holela na hayajafuata mipango Miji yaani squatters ambapo asilimia 67% ya majengo/Makazi yote Nchini ni Uswahilini yaani Slums. Pamoja na hali hiyo mbaya...
5 Reactions
63 Replies
2K Views
Hi Great Thinkers. NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya...
0 Reactions
9 Replies
230 Views
TUNATOA HUDUMA ZA ujenzi wa namna yoyote kama ilivyo kwenye tangazo. Pia tunatengeneza garden za KISASA kwa gharama nafuu Sana. Piga namba 0714693107 au 0764068964 Tukuhudumie
0 Reactions
0 Replies
86 Views
WAGONJWA 6,847 WATIBIWA HOSPITALI YA WILAYA HANDENI Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mhe. Mohamed Mchengerwa amesema wagonjwa wapatao 6,846 wamepata huduma za...
0 Reactions
1 Replies
62 Views
Hivi vigoda/stuli ni very special. Hakuna msumari hata mmoja uliotumika na bei yake ni kichaa.. Na wengi huvitumia kama urembo na si matumizi halisi ya kukalia.. Hivi havipigwi polishi bali...
5 Reactions
61 Replies
374 Views
NAOMBA Risiti hii imfikie Waziri wa Nishati na Madini Popote alipo. MANAGER TANESCO DAR ES SALAAM, MANAGER TANESCO CHANIKA. MIMI ni mteja Ambaye nimelipia kupata huduma ya umeme toka Mwezi wa...
0 Reactions
1 Replies
95 Views
Wakuu naomba kujua sebule yenye vipimo hivo inaingia tiles box ngapi? Na nahitaji tiles ambazo ni affordable kwa mlala hoi lakin imara urembo SIO kipaumbele, vilevile gharama za ujenzi zote pamoja...
1 Reactions
22 Replies
856 Views
Great thinkers. Mwenyeji au anaeyelewa usalama na hatari zilizopo hapo atujuze. Bongo hii pamejaa makanjanja wengi sana. Ili kuepuka kupigwa kwenye ununuzi wa aridhi tufumbueni macho...
0 Reactions
7 Replies
185 Views
Nimekua nikiangalia ramani nyingi sana za nyumba zinazoandaliwa na professionals wetu wengi kwa industry lakini bado nagundua kuna shida,, 1. Ramani zinaandaliwa pasipo kuzingatia proper...
2 Reactions
2 Replies
191 Views
Waziri Mhagama Akagua Ujenzi wa Hospitali ya Halmashauri ya Wilaya ya Handeni Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagama Februari 22, 2025 amefanya ziara ya kukagua miundombinu pamoja na huduma...
0 Reactions
5 Replies
136 Views
Habari za jioni wakuu. Kati ya mbao , MDF na marine board ni ipi material imara kwenye kutengeneza kabati? Nimeenda kwa mafundi nataka wqnitengeneze kabati ila kila mmoja ana material tofauti...
1 Reactions
14 Replies
249 Views
Wanaosema kujenga ni kuzika pesa utawakuta wanatoa mifano ya kina Bakhresa, Mo Dewji hivi kwa akili yako kuna tajiri hana nyumba? Hivi unasemaje kujenga ni kuzika pesa wakati bei ya nyumba...
39 Reactions
274 Replies
29K Views
Habari wana JF Ni kosa gani ulilifanya kipindi unajenga na ungependa wengine wajifunze ili lisitokee kwao?
35 Reactions
1K Replies
173K Views
  • Redirect
Habari, Nina shida na ndugu Mshana Jr. Ewe Mshana Jr nmekutafuta PM Lakini naona umeifunga. Samahani sana ukiona uzi huu naomba unitext please. Shukran.
0 Reactions
Replies
Views
Salaam.... Ni vijana wengi sana wamepanga lakini wanakaa vijistoo yaani wanashindwa kupanga vyumba vya hadhi yao au nyumba nzima. Kwa mimi binafsi yangu napendekeza kijana atoke kukaa kwenye...
8 Reactions
11 Replies
2K Views
Kama mada inavojieleza, kijana anaeanza kujipata jijini Arusha, ni mitaa gani rafiki kuanzia maisha na kujenga kabisa Urafiki ninaoongelea namaanisha upatikanaji wa viwanja, huduma za kijamii, na...
4 Reactions
47 Replies
879 Views
TUENDELEE KUKUMBUSHANA - UJENZI WA SEKONDARI MPYA VIJIJINI MWETU Jimbo la Musoma Vijijini lenye jumla ya Kata 21 lina: *Sekondari 26 za Kata/Serikali *Sekondari 2 za Madhehebu ya Dini I -...
0 Reactions
1 Replies
89 Views
TANROADS YAPOKEA TUZO YA KIMATAIFA KUTOKANA NA MCHANGO WAKE WA KUBORESHA USALAMA WA BARABARA (SAFER ROAD) Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega kwa niaba ya Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa...
0 Reactions
3 Replies
103 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…