Kabla haijawekwa kwa AutoCad, toa changamoto yako hapa, nini kimekosewa, nini kipo sawa...wapi parekebishwe?
note;Fundi kanipa gharama yake ya kujenga msingi pekee kwa ukubwa huu wa nyumba ni...
Kama ilivo kwenye utangulizi, mdau anaomba kufahamu tofauti ya mbao za Buhindi na za Iringa manake wauza mbao ukiwaambia watoe tofauti wanakuwa waswahili tu hawasemi wazi wazi.... msaada kwenu...
Habari kwa wajuzi wa majengo,nyumba,apartment naomba kujua gharama za hii ramani kwa ujumla. Nature ya eneo lako ni tambarare, kumbuka makadirio ya KIASI CHA PESA TU.
PICHA NUMBER 1
PICHA...
Waheshimiwa, baada ya kukamilisha hatua ya kuchimbia bomba ukutani,
Sasa Fundi umeme amenipa mahitaji ya wiring kama ionekanavyo hapa chini.
Kwa nyumba ya vyumba vitatu, sebule, dinning room na...
Nina shida na jirani anajenga gorofa la sakafu 6, pamoja na underground parking.
Shida kubwa ni kwamba, hajafuata mwongozo wa kuacha nafasi ya kutosha kati ya jengo lake na ukuta...
Kazi yetu ni Kukupa kilichokuwa Bora Kuanzia Skimming, Rangi na Kufanya Decorations Kali ndani na nje Nyumba, Ofisi, Ukumbi, Clubs n.k Karibu Ofisini Kwetu Mianzini, Arusha, Tanzania au kama upo...
Chumba kimoja choo cha ndani sebule na jiko, aproximation gharama ikoje kwa wataalam
Nb. Sina family, hata hivyo ni nyumba ya kuanzia maisha tu, msaada kwenye gharama mpaka nyumba inakamilika
Asalaam Alaikum
Mabaharia wana msemo wao "one day yes", nasi, Abraar Bricks Nyumba kwa wote tunamshukuru Allah, wiki hii iliyopita tulikua na "Yes" double.
Yes zetu zote mbili zilikuwa ni...
Nimetoka nasoma habari chanzo BBC..." Michael Jordan" anahangaika kuuza jumba lake la kifahari lenye vyumba 9 na mabafu 19[emoji23]...mabafu mengi kuliko vyumba
Wajuvi mnisaidie haya mabafu yote...
Habari za kwako mpenzi msomaji na mwanachama wa Jamvi la hoja mchanganyiko. Mie ninahitaji kuanza kujenga kibanda changu na mimi, hebu naomba mnisaidie katika ya Nyumba hizi ipi ni nafuu katika...
Nipo maeneo ya Zanzibar nahitaji sana msaada kwa anaefahamu jinsi ya kukabiliana na hili tatizo la kuvimba na baadae kubanduka kwa rangi katika kuta za ndani ya nyumba
1. "Abraar Hollow Blocks".
Abraar Education Centre licha ya kutoa mafunzo ya kuunda bidhaa za ujenzi pia ni waundaji wa bidhaa za ujenzi za kipekee zente ubora wa hali ya juu kwa gharama nafuu...