Kinachofurahisha mijini ni kuwa nyumba za nyasi na matope zinapotea au kumalizika kabisa. Kila mjengaji hujitahidi kutumia matofali ya saruji, madirisha yanayoingiza hewa.
Tatizo ni kuwa...
Build to rent ni mikopo kwa wajasiliamali wa kupangisha nyumba. Hitaji la nyumba mijini ni kubwa sana. Chumba chenye ceiling board, ndani ya nyumba yenye umeme na maji kinafika 70-90,000 mjini...
Naomba kuelimishwa hapa, ni nini kinafanya nyumba kuonekana ndefu?
Nimepata utata Sana, baada ya kulinganisha nyumba mbili ambazo zimejengwa kwa kozi 11 hadi lenta lakini moja inaonekana ndefu na...
Habari Wana ujenzi! Natumaini mko salama.
Nimekuwa nikipita katika baadhi ya mikoa kadhaa ambayo Ina Miamba mikubwa ya Mawe mfano Mwanza, singida, Dodoma etc na kushudia wakiitumia Miamba hio...
Nimeanzisha ujenzi vyumba vya wapangaj nyumba ipo L, fundi wangu kanishaur kama nondo ni bei nitumie wire kufunga lenta ya msingi ...je kwa watalaam ninnaweza tumia wire kwa msingi alafu lenta ya...
Siku ya jana hiki kitu kili-pop out kwenye akili yangu nikaona ni zooooooom kwa ukaribu zaidi kudhibitisha ukweli wa hiki kitu.
Nili-google picha za nyumba za makazi za wenzetu kwa kweli sikuona...
Habari ya mihangaiko ya hapa na pale wakuu.. poleni na kadha ya kupanda bei kwa vitu nchini unaochangiwa na kupanda kwa bei za mafuta..
niende moja kwa moja kwenye point naomba msaada wa kujuaa...
Habari wa JF
Poleni na majukumu
Naomba kujuzwa kwa yeyote anayefahamu,hivi mtu binafsi anaweza kumiliki hizi nyumba za biashara kama frame kutoka NHC na kupangishia wengine kama mmiliki moja kwa...
Habari wakuu,
Je, milioni tatu naweza kupata kibanda cha kuishi nimechoka kupanga, huwa nalipa 100k kwa mwezi naona kama nikipata kibanda cha kuishi nitapunguza matumizi?
Poleni na majukumu wana JF ni imani yangu Mungu anaendelea kutupigania.
Naomba kujua umuhimu wa Valley kwenye Nyumba, pia nitashukuru kama naweza kupata picha ya Nyumba yenye Valley.
Nawatakia...
Mwanaume akifikisha miaka 45 hadi 50 hapo kibongo bongo walio wengi ndo angalau huwa yuko vizur kimaisha na hii ni kutokana na changamoto za maisha tunazokutana nazo kwenye maisha katika kujipanga...
Mafundi na wazoefu wa ujenzi,
Naomba mnisaidie mwongozo juu ya kutumia milunda kwenye suala zima la kupaua,
Ubora au Udhaifu wake upoje ikilinganshwa na kutumia mbao?