Ndugu zangu wa Jamii,
Natafuta fundi ujenzi mzuri na mwaminifu. Awe na experience ya kutosha kujenga kwa kufata ramani ya nyumba. Eneo ni kibaha karibu na halmashaur.
Asanteni sana
Usafi wa nguo hufanyika kila mara na hii inategemea ukubwa wa familia au wingi wa wakazi. Kuna wanaofua kila siku, kila baada ya siku au mara moja kwa wiki. Wengine Hufua kwa mashine na...
Habari nyingi sana hamjambo wakuu?
Mimi bana mipango yangu nataka nianze ujenzi mwakani nina shakuhuku sana ya kukaa kwenye miliki yangu ndio furaha yangu ya badae...
Nikimaliza kulipa ADA za...
Habarini wadau wa jukwaa la ujenzi na makazi, happy new year.
Leo katika kuperuzi kwangu katika mtandao wa facebook nimekutana na mtu anatangaza anatengeneza tofali za kupachika (interlock block)...
Habari Wana JF,
Natafuta Kiwanja Dar es salaam Cha bei poa Chini ya Mil 4
Vigezo;
Eneo liwe lina upatikanaji wa maji na umeme
Pasiwe mbali sana na Mji(Ndani ya dar es salaam)
Eneo la kutosha...
Tukiona vijana wanajinyima starehe, anasa, matumizi holela tunafurahi sana.
Leo ni siku ya vijana kufunguka: Ni changamoto gani ulikutana nayo au unakutana nayo wakati unajenga nyumba yako...
Hello quick thinkers na valuators wa JF, nina budget ya Tsh 25 millions. Kiwanja kipo tayari na eneo la ujenzi ni mkoa wa Mara.
Je hiyo budget inaweza kufinance ujenzi wa awali, kupaua na...
Kama kufungua biashara ya duka la dawa ni lazima udhaminiwe na dakitari inakuwaje shughuli za kihandisi zinafanyika bila kuhusisha wahandisi.
Kufungua gereji, ujenzi wa majengo ya gharama, sehemu...
Habari nyingi wakuu.
Tumeanza mwaka na mipango mipya.
Sina maneno mengi sana ila naomba msaada wa kujua gharama za hii nyumba tu maana ndio nataka nianze baada ya kumaliza tarehe 17 Inshaallah...
Nimeangalia nchi nyingi katika ujenzi wanatumia Interlocking blocks. Je, kwa nini sioni ujenzi huu Tanzania?
Kuna mtu anaweza kutujulisha ni unaweza kusaidia kupunguza gharama za ujenzi kwa kiasi...
Habari zenu wadau.
Nauliza zile bomba zinazowekwa katika nyumba sehemu za ngazi au kingo kwenye balcony na sehemu kama hizo zinaizwa wapi na bei yake ikoje?
Bomba hizi hujengewa kwa ajili ya...
Habari zenu wana JamiiForums,
Napenda kuwa fahamisha kuhusu nyumba Aina ya contemporary ( nyumba za bati za kuficha). Nyumba hizi huwa na muonekano mzuri sana kama utapata mtaalam mzuri wa...