Medical supplies company, located at Dar es Salaam is looking for:
1/ (experienced) sales representatives,, minimum required sales experience is one year in pharmaceutical or medical supplies...
Wale mungu aliwowabariki wameweka 3D epoxy materials kwenye nyumba zao, unakuta lounge kubwa, rangi ndani nzuri, nyumba ndefu, bodi inang'aa taa za kwenye bodi unakuta wameweka zile nyeupe...
Naomba kuuliza: Unaweza kutumia mfumo wa sora ya wat 100 kwenye nyumba ambayo imekonekitiwa na njia zilezile za umeme? Maana sehemu nilipo umeme bado hauja fika nimenunua solar.
Naomba kufahamu...
Wakuu habarini za muda huu, samahanini kwa usumbufu ila naomba kujua nyumba hii kwa wastani inaweza kuchukua bati ngapi za msauzi maana nimesimama kutokana na kutokujua idadi kamili. Nyumba ipo...
Habari wana jamvi,
Naombeni kuuliza au kupata ufafanuzi kwa wanaofahamu haya mambo au waliopitia hizi heka heka za serikali na mifumo ya sheria zetu za Tanzania.
Hivi inakuwa mtu unakiwanja...
Habari zenu wakuu, nilitaka kuanza ujenzi ila kwa awamu, sasa nimemuuliza mchora ramani (kuna ramani nataka kuichukua kutoka kwake) vyumba ni vitatu (master included) nikamuuliza msingi wake...
Habarini za saa hizi wana JF,
Nina mawazo ya kujenga shambani kwangu lakini ni kighorofa cha floor moja tu ambapo juu nitaweka Master bedroom, ofisi na balcon tu kwa ajili yangu na mke wangu ila...
Nipo mitaa ya Osterbay kwa mbali naona mjengo wa Mo Dewji kwa mbali tena naona mjengo wa Paul Makonda kwa pembeni yangu naona mjengo wa makamu wa Rais nikapita Bongoyo road nikakutana na mjengo...
Wakuu habari,
Niko Morogoro natafuta mabati ambayo ni transparent pamoja na kofia na gata zake.
Mwenye kujua Morogoro yanapatikana wapi au Dar anijuze.
Nina mteja wangu ambao anauza nyumba za ghorofa na jengo la flat (building with appartments)
Ameshapata wanunuaji wawili kwa ajili ya mradi.
Alikubaliana nao kuhusu bei.
Mteja wangu anataka...
Habari wanajamvi, nashukuru Mungu nimeweza kufika hatua ya linta katika Ujenzi wa Nyumba yangu ya makazi.
Ila leo nimejarbu kuanza kushusha hesabu ya UPAUAJI gharama zmekuwa kubwa sana
Bati za...
Wakuu salaam,
Unawezaje kuuandaa mchanga wa bahari kwa namna rahisi ukafaa kwa ajili ya ujenzi? ili kupunguza adha za mchanga wa mtoni ambao gharama yake ipo juu, wakati mchanga wa bahari upo...
Binafsi si shabiki wa madirisha yanayotamba siku hizi, aluminiamu na pvc. Sababu kubwa ni kutokuwa na uimara wa kutosha na pia hata yakifunguliwa yanachukua sehemu kubwa ya dirisha na hivyo kuzuia...