The heartbeat of Kenyan social life online. Discuss everything from relationships and lifestyle trends to sports, entertainment, and celebrity news, alongside meaningful conversations on the social issues that matter to us.
Mhubiri Dishon Mirugi amejikuta tena katikati ya mjadala mtandaoni baada ya mfanyabiashara Idah Arunga kuchapisha ujumbe anaodai unaonyesha pastor huyo akijaribu kuanzisha uhusiano wa kimapenzi...
Kwa miaka mingi wakazi wa Baringo walimfahamu kama Father Sandro. Leo, Sandro Ferretto, 55, raia wa Italia na aliyekuwa padre wa Kanisa Katoliki, ameanza ukurasa mwingine wa maisha akiwa mume...
Inaripotiwa kuwa nyota maarufu wa muziki wa Ohangla na Rhumba, Prince Indah, alikosa fursa ya kukutana na gwiji wa muziki kutoka Kongo, Fally Ipupa, wakati wa ziara ya hivi karibuni ya msanii huyo...
The President emphasized on order and regulation not hostility. His point is that business activities in Kenya must follow proper guidelines and the rule of law.
...so what exactly is wrong with...
MPs seek to give KDF greater influence over foreign military cooperation agreements
Parliament is considering changes that would give the Kenya Defence Forces a stronger role in determining...
Kitendo cha Naibu Inspekta Jenerali (DIG) Eliud Lagat kupanda gari aina ya Land Rover ya Rais pamoja na Rais Ruto huko Kiganjo kilikuwa na ujumbe mzito.
Katika ngazi ya Ikulu, kuwa karibu na...
From forcing a Bill through Parliament despite a unified voice of dissent, to threatening, killing and abducting citizens; from calling us terrorists to issuing orders to shoot us in the legs, you...
Video ya Pasta Ng’ang’a akiwa mbele ya waumini imezua mjadala mitandaoni baada ya kuonekana akiwaomba kila mshiriki kuchangia KSh1,000 kwa ajili ya kugharamia tiketi yake ya ndege.
Katika video...
Not a popular Opinion.
Eating meat is not bad. But if you are eating meat almost every day just so your neighbour can smell it and see that you have “made it,” then you need to rethink your...
Mnamo Juni mwaka jana, maafisa 51 wa Kitengo cha General Service Unit (GSU) walihitimu baada ya kukamilisha mpango wa mafunzo wa Usalama wa Stadia ulioendeshwa na Shirikisho la Soka la Kenya...
Tangazo la IEBC kwamba shahada si sharti kwa wagombea katika uchaguzi ujao ni kiwango cha chini kabisa cha kudunisha mambo.
Hatua hii inaakisi jinsi ambavyo, kama taifa, tunazidi kupunguza...
Matumizi ya nguvu kupita kiasi yaliyoshuhudiwa jana dhidi ya mashabiki na wanahabari wenye amani hayakubaliki kabisa.
Wafuasi waliokuwa wakiniliwaza tu matokeo ya mechi iliyowavunja moyo...
“A Japanese idol concert in Kenya.” Video moja tu yenye maneno hayo imegeuka kuwa gumzo mtandaoni, ikionyesha umati wa Wakenya ukiimba, kuruka na kushangilia kwa nguvu wakati msanii wa Japan...
Mwanamume kutoka Kisii, Jones Bogonko Onchonga, amekamatwa baada ya kudaiwa kujifanya kuwa kasisi wa Kanisa Katoliki katika Kaunti ya Turkana.
Kulingana na Kanisa Katoliki la Jimbo la Lodwar...
Nani ako na colours za Kenya? 🎨👀
Hilo ndilo swali lililotawala mitandao baada ya missing colours mystery kuchukua mkondo mpya, huku brands kubwa nchini zikianza kuripoti kwamba rangi...
Kuna kijana aligraduate ako huko Tiktok sasa ni Doc ..sidhani kuna duka hajaingia ama mat thika na nairobi akisema aambiwe congratulations.
Anatembea na gown ,speaker na vibes.
Owe unto you...
Chuo Kikuu cha Egerton kimeanzisha mfumo wa mtandaoni kwa ajili ya wazazi, unaowawezesha wazazi, walezi na wadhamini kufuatilia maendeleo ya kitaaluma ya wanafunzi.
Kupitia mfumo huo, wazazi...
Mazungumzo hayo ya WhatsApp uliyodhani yalikuwa "gumzo tu" yanaweza kuwa ushahidi mahakamani.
Tuseme mtu anakubali kwa maandishi: "Ndiyo, nilikopa pesa. Nitakulipa mwezi ujao." Ujumbe huo...
In law, he who asserts must generally prove.
If you allege that someone owes you money, committed fraud, breached a contract, owns your property, or caused you damage, you cannot expect the court...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.