The heartbeat of Kenyan social life online. Discuss everything from relationships and lifestyle trends to sports, entertainment, and celebrity news, alongside meaningful conversations on the social issues that matter to us.
Kuna mtindo ambayo inatrend sana swala la kina dada kujilipia mahari ,
Swali ni kama dada unaeza msadia mpenzi wako kulipa mahari
Na wewe
Kaka unaeza kubali mpenzi wako kukulipia ama kukusaidia...
Let’s be real hii tabia ya mtu mmoja kubeba financial burden yote in the name of “love” is outdated!
Kama ni partnership, why not act like one? Bills, rent, groceries 50/50 sio option, ni...
Watu wengi wanaamini kuoga kila siku ni lazima for hygiene… but what if it’s actually doing more harm than good?
Dermatologists wanasema excessive bathing especially with harsh soaps hu-strip...
Kenya bado kuna mjadala mkubwa kuhusu gays na lesbians. Watu wengine wanasema love is love na kila mtu ana haki ya kuishi maisha yake bila ubaguzi, while others believe it goes against culture...
Mwili wa mwanamke mwenye umri wa miaka 43, Flowrence Nyagah, umepatikana ndani ya nyumba yake ghorofa ya pili, eneo la Lumumba Drive, Kasarani Nairobi.
Police wanasema alipatikana March 1, 2026...
Familia moja huko Tongaren Constituency, Bungoma County iko kwa maombolezo baada ya kijana wa miaka 24 kudaiwa kuuawa na ndugu yake wa miaka 21 following a dispute over gumboots.
The deceased...
Ukipata job Kenya, mshahara si yako peke yako.
Before ujipange, kuna rent ya nyumbani, school fees ya siblings wako wadogo, hospital bill ya mzazi.
Supporting family ni culture yetu na ni love...
On the eve of Valentine’s Day, a 3rd year student alichomwa na girlfriend wake kwa hot water after she suspected him of talking to his ex.
Msichana huyo amekimbia na KSh 318,000, akiacha...
Kile kilikuwa damsite hatari Mathare, sasa kimegeuzwa kuwa children’s park ya bure, mahali salama ambapo watoto wanaweza kucheza, kujiexpress na kuwa watoto tu.
This transformation was led by a...
Some say talking to children about sex corrupts them.
Others say silence puts them at risk. When is the right time to start sexual and reproductive health education?
Who should do it parents...
In many Kenyan homes, once a child afike age, the message changes fast: “Utasoma hadi lini?” “Kazi iko wapi?” “Saizi wewe ni mtu mzima.”
Yet the reality outside the house is different...
Arsenal wameathirika baada ya 2-2 draw dhidi ya Wolverhampton Wanderers jana.
What it means: Arsenal walipoteza points mbili muhimu badala ya 3 points, wamepata 1 tu. Hii imefanya EPL title race...
There was panic in Mathare 4B, Nairobi Kenya, this morning at around 7:30 a.m. after a lorry lost control and overturned, narrowly missing a school-going child, according to eye witnesses...
Leo ni siku ya kipekee sana.
Wakristo wameanza kipindi cha Lent, wakati huohuo Waislamu wameanza Ramadan.
Coincidentally, both faiths are entering a sacred season of fasting, prayer...
In many homes, depression is called laziness and anxiety is called weakness.
Mental health struggles are real especially among the youth.
Are African families ready to talk about mental health...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.