Kenya Social Discussions

The heartbeat of Kenyan social life online. Discuss everything from relationships and lifestyle trends to sports, entertainment, and celebrity news, alongside meaningful conversations on the social issues that matter to us.
Genzs want Fred Obachi Machoka to retire from Citizen ndio wapate kazi. Fred has worked in the media for 50 years ,he's now 72 years old. What they don't know is that Fred is experienced, he has a...
0 Reactions
0 Replies
131 Views
Kuna wimbo ambao umekuwa ukipigwa kwenye baa na klabu jijini Nairobi siku hizi: “Malebo.” DJ akiupiga tu, vibe linabadilika na Gen Z wanaingia mode yake! Lakini kuna ambalo huenda wengi hawajui...
0 Reactions
0 Replies
248 Views
A video circulating online(recorded by rider's helmet camera) shows two women walking between two matatus in Nairobi before the vehicles move dangerously close to each other, leaving her with very...
0 Reactions
0 Replies
112 Views
When Uniformed brigadier from KDF meets the IGP in Uniform, who should salute the other? If a KDF Brigadier and the Inspector-General of the National Police Service (IG) meet while both are in...
0 Reactions
0 Replies
162 Views
Baada ya kususia mazoezi kwa takriban wiki moja kutokana na madai ya kutolipwa posho zao, Timu ya Taifa Harambee Stars hatimaye imewasili Nyayo Stadium kuanza maandalizi ya kufuzu AFCON 2027 dhidi...
0 Reactions
0 Replies
136 Views
Joseph Boinnet, former Inspector-General of Police, the man who brought blue! On March 11, 2015, after Samuel Arachi held the fort during the interim, Boinnet walked into Vigilance House with a...
0 Reactions
0 Replies
172 Views
Didmus Barasa was dismissed from the KDF after he forged a senior officer's signature and official stamp to authorize loans. Barasa had multiple scandals, including being AWOL while serving as a...
0 Reactions
0 Replies
114 Views
Oya nyie,wangapi wanamjua samaki huyu? Common carp! Kwa mujibu wa madai ya baadhi ya wavuvi, samaki huyu alitoka nchini Australia na kufika Ziwa Naivasha wakati wa mvua za El Niño mnamo mwaka wa...
0 Reactions
0 Replies
81 Views
Mzozo kati ya majirani umeibua mjadala kuhusu haki, mipaka na namna tunavyoshughulikia migogoro katika maeneo tunayoishi. Mwanamke mmoja amesimulia jinsi alivyokasirishwa baada ya jirani yake...
0 Reactions
0 Replies
55 Views
Kwa wale ambao huenda hawafahamu, “disco matanga” ni mikusanyiko ya usiku inayofanyika wakati wa msiba, ambapo waombolezaji na jamii hukusanyika kumuenzi marehemu kupitia muziki, dansi, burudani...
0 Reactions
0 Replies
39 Views
Hayajapita majuma matatu tangu Mwenyekiti wa zamani wa Mamlaka ya kudhibiti matumizi ya pombe na dawa za kulevya( NACADA) John Mututho, kutoa madai mazito kuwa vodka zinazouzwa nchini Kenya...
0 Reactions
0 Replies
76 Views
Video yaibua mjadala kuhusu namna baadhi ya waumini wanavyotoa sadaka kanisani, huku kikapu cha sadaka kikionekana kuwa na kiasi kidogo cha fedha. Mhubiri anaonekana kuzungumzia changamoto...
0 Reactions
0 Replies
60 Views
Sharon Otieno's last two children have a present father who is a secondary school teacher. Before she got involved with Obado, he provided for her and all the three children. Apparently he is also...
0 Reactions
0 Replies
53 Views
Kwa nini D.I.G alienda U.S.I.U ikiwa alitaka shahada ya uzamivu (Ph.D.) ya njia ya mkato? Alikuwa na chaguzi nyingi rahisi. Katika maeneo kama vile chuo kikuu fulani kilichopewa jina la mlima...
0 Reactions
0 Replies
47 Views
James Ikonya, a 54-year-old senior nurse attached to Maralal County Referral Hospital, had been in a romantic relationship with the mother of a 15-year-old girl. What began as a relationship...
0 Reactions
0 Replies
98 Views
The Jomo Kenyatta University of Agriculture & Technology has now put it in writing: Didmus Wekesa Barasa, the MP for Kimilili, was never their student. Ref: JKU/2/66/049, dated 14th September...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Chief of Defense Forces General Charles Kahariri will preside over the cadet passout at Kenya Millitary Academy in Lanet Nakuru. This is how it was in the 1960s, until African leaders became...
0 Reactions
0 Replies
138 Views
Upepo wa siasa za mtaani ulichangamama katikati ya jiji wakati wananchi walipoamua kufanya "uchaguzi wa mtaani" kwa njia ya ucheshi na mzaha. Boxi la kadibodi na vikapu viwili vya plastiki kimoja...
0 Reactions
0 Replies
106 Views
Mwimbaji wa Kenya Nikita Kering’ ameshinda tuzo ya Best Female East Africa katika African Muzik Magazine Awards (AFRIMMA) 2026 iliyofanyika Dallas, Texas, Marekani. Ushindi huo unamfanya kuwa...
0 Reactions
0 Replies
96 Views
Mercy Kanini kutoka Juja, Kiambu County, amejifungua watoto watano kwa njia ya kawaida katika Hospitali ya Thika Level Five, katika tukio adimu kuwahi kurekodiwa nchini Kenya. Kanini alieleza kuwa...
0 Reactions
0 Replies
79 Views
Back
Top Bottom