Tayari kumeanza kuchangamka kwa mwenzetu
Habari picha inajieleza
Tumpe ushauri tu mana story inajieleza
Edited for more view:
Hapo issue iko hv. Mshikaji wangu kazaa na mtoto mmoja wa elf2. Yule...
Habari za muda huu waungwana wa humu jamvini.
Katika ulimwengu wa soka na wapenda soka kumezuka habari mbaya kwa upande wa mwalimu wa soka safi lenye kuvutia anajulikana kama GUARDIOLA.
NDOA...
Wanaume kuna muda maisha yetu tunayarisk sana kwa wanawake,,
Naweza kusema moja kati ya risk kubwa katika maisha yetu vijana ni kujikoki kuoa.
Ndoa saivi zinafilisi sana maisha yetu.
Kuoa wanawake wengi sio dhambi , dhambi inakuja pale mwanaume unaposhindwa kutimiza majukumu yako kwa kila mwanamke. Mifano ya watumishi wa Mungu kwenye biblia walioa wanawake wengi ipo mingi...
Barua ya Wazi kwa Binti Ambaye Hujaolewa
Mpendwa Binti,
Salamu za upendo kutoka kwa mtu anayejali ustawi wako wa kiakili, kihisia, na kijamii. Naandika barua hii si kwa kukufundisha, bali kwa...
Kichwa cha habari chahusika mimi ni mkazi wa Dar es Salaam pia ni mtetezi wa wanyonge wa kila namna especially wanawake.
Nimeamua kutua mzigo alionao binti mwenye jinsia mbili but inayofanya kazi...
Jinsi ya Kumfanya Mwanaume Akupatie Pesa Zake au Akuhonge Pesa Nyingi
Kabla ya kuingia kwenye somo hili, ni muhimu kufahamu kuwa uhusiano wa kweli unapaswa kujengwa kwenye msingi wa upendo...
Miaka kama miwili nyuma nilikuepo huko mererani, sikua huko kwa ajili ya kuchimba madini la hasha bali nilikuwa kwa mishe mishe zangu zingine,
Nilikuwa niko na binamu yangu wa kiume yaani mtoto...
Msaada wenu wakuu, nateketea ndani kwa ndani.
Binafsi breakup nilishashindwa kuizoea, huwa inaleta maumivu haijalishi ni breakup ya ngapi.
Nisiwachoshe sana acha niende moja kwa moja kwenye...
Movie nimeiangalia zaidi ya mara Tano bila kupelekea mbele
Mwanzo nilifikili titanic ndio movie ya kali mapenzi yenye mwisho mbaya
Ila baada ya kuangalia hii la la land wanawake wote wana tamaa...
Wakuu mnisikilize
Kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic...
Katika jamii ya kisasa, masuala ya afya ya ngono yamekuwa yakiangaziwa zaidi, na watu wanapaswa kuwa na uelewa wa kina kuhusu jinsi ya kulinda afya zao na kufanya maamuzi bora kuhusu washirika wao...
Habari za jioni.
Mimi ni mama mtu mzima nina watoto 4 kwa mume wangu wa ndoa kabisa.
Niende kwenye mada.
Miaka 10 iliyopita nilifumaniwa na mtoto wangu wa kiume (my first born). Sikuamini...
Habari Wakuu , Natumai Mko poa .
Moja Kwa Moja kwenye Mada . Kwenye Harakati za Maisha yetu ya kila Siku Unfortunately Jana Nikakutana na Ex Wangu . Actually Nilifurahi Kumuona coz Ukiachana...
Kijana endapo kama utaamua kuoa single mother na ukaamua kubeba majukumu ya ubaba kwa mtoto wake basi tambua kuwa mtoto hatothamini unavyojitoa kwake na kila utakachofanya ataona kuwa unayafanya...
Habari zenu wapendwa?
Naombeni msaada Mume wangu amekuwa pasua kichwa hapendi kula nyumbani, najua kupika nampikia vyakula vizuri lakini akija anakula tu kidogo anaacha wakati mwingine hali...
Hakuna sababu ya kuhangaika sijui kutumia mkuyati, sijui vumbi la Bongo kwa ajili ya kumridhisha mwanamke,anayetakiwa kuhangaika ni huyohuyo mwenye tatizo la kuchelewa kufika kunako.
Nilihangaika...
TUKIO LA 1:
Nakumbuka ilikua 2017 baada ya kumaliza form 6 nikaamua kwenda kumjulia hali dada yangu wa mbagara wakati narudi kuelekea home magomeni nikaona nipitie zakheim nikale matunda huwa...