Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Vijana wengi siku hizi hutafuta mabinti weñye kazi au kujishughulisha na mambo ya kiuchumi.
Mabinti wasio na kazi wamejikuta katika hali ngumu sana. Tena binti...
Wengine nimewapiga block,
Wengine nimewapotezea sipokei simu zao,wengine nawqoiga kiswahili.
Hakuna niliyemuambia kuwa sina.na hakyna niliyenpa hata mia
Mwanaume usiseme sina.utakuwa John Cena...
Hellow wakuu.
Member kama mimi queenkami ambaye sijuani na yeyote wa JF nje ya JF ikitokea nikafariki hamtakaa mfahamu sababu sina mtu katika maisha yangu halisi anayejua kuwa mm ni member huku...
Habari wanajamii forums,hope mko poa
Nilikuwa tu nawakumbusha wanaume wenzangu hili jambo hili la muhimu.Ukishaingia tu kwenye ndoa jiandae kupata tendo la ndoa kwa ratiba na kutokana na mood ya...
Mwanaume huwa anataka vitu vichache muhimu kutoka kwa mwanamke.
Anataka heshima, ambayo ina maana kwamba anatumai anaona thamani yake na kuthamini kile anachofanya.
Hatarajii wakubaliane kwa kila...
Wasalam wakuu.
Bila kupoteza muda twende kwenye mada, wanawake hivi kwanini husichague mtu mmoja especially baba wa mtoto ndo awe anakuja home na sio kila mwanaume unamleta kwako kisa...
Mimi ni binti wa miaka 27, niko kwenye mahusiano na huyu mwanaume huu ni mwaka wa tatu. Mwaka jana mwishoni mwanaume wangu aliniambia kuwa mama yake anaumwa, hivyo ananiomba niende kumsaidia...
Jamani milioni 3 ni pesa ndefu. Sasa inawezaje kuisha kwa malezi ya mwezi mmoja tu ya mtoto mchanga? Mshahara wa house girl, maziwa ya formula na pampas tu ndiyo vinamaliza milioni 3?
Au kuna...
Habari,
Moja kwa moja kwenye mada. Hii imekaaje wakuu mume na mke kusali dini tofauti wakati bado wako pamoja ndoani?.
Kwa maana kuna majirani zangu hapa mmoja mke anasali Katoliki yeye Mwislam...
Nilikua Na mahusiano Na Mwana Mama moja lakini baada ya kubeba ujauzito alikimbia akambambikiza mwanamume mwingine. Sasa hivi Mtoto ni mkubwa yupo cheke chea naomba mnishauri kwani mimi nahitaji...
Habari ndugu mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28 nishawahi kuwa na mahusiano na wanawake wawili tu mpaka kufikia huu umri lakini kuna changamoto napitia naona inakuwa ngumu sana kucopy...
YAMENIKUTA; nilipata pesa na kutaka kuwa mwanaume ndani ya ndoa yangu!
Maisha haya acha tu, hivi kwanini kuna mambo yanatokea halafu ndiyo mtu unakuja kujutia baadaye. Nilinunuliwa Kitabu na...
Wakati bado hamjaoana yani wenyewe ile wanaita 'mnachunguzana' huku mara moja moja mnakutana uwanja nyutro kufanya yenu, hapo mkikutana lazima kiwake sana mta.ti.ana kutwa kucha hadi m.b0..0...
Jamani bikira maana yake ni mwanamke ama mwanaume ambae hamjui mtu yaani hajawai kufanya ngono yoyote wala kupitisha chochote kwenye uchi wake kwa lengo la kujihusisha na ngono
Bikira huwa...
1. Put your kids in
schools you can afford
because expensive
schools don't
guarantee good
results. Just ensure
they attend a good
affordable school
2. Rent apartments you
can pay for...
Kaka nilikutana na huyu mwanamke akiwa amepigika nikamzoa Hadi Akawa mtu katika watu, alikuwa anatembeza soksi na nguo za nd0ani mtaa Kwa mtaa amepauka miguu ndara zimekatika.
Nilimpa Msaada...
Haiishii hapo tu unakuta hata akikupa haleti ushirikiano!, kaa ukijua anakuona wewe kama sanamu la matope!.
wewe ndo umekuwa mtumwa wakuiomba!, ndugu haupo kwenye mahusiano ila upo kwenye husiano...
Kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu.
Nilikuwa na mchepuko wangu huko Mneya. Mara nyingi nilipokuwa nikitoka Dar na kwenda Mbeya nilikuwa napunguza gundi pale kwake.
Ni Binti mzuri...
Daktari mahiri wa saikolojia wa kipindi kizuri, kitamu na kinachoelimisha cha Malumbano ya Hoja cha kila Jumapili asubuhi Radio One Charity Xavery, ametoa mtego mzuri kwetu wanaume wa kujua kama...