Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

MABINTI WA SIKU HIZI Katika enzi za sasa, mwenendo wa mabinti wa siku hizi unaibua maswali mengi, hasa kuhusu matarajio yao katika mahusiano na maisha kwa ujumla. Imeonekana wazi kuwa baadhi yao...
20 Reactions
54 Replies
3K Views
Mungu ameumba jinsia mbili tofauti, ya kike na ya kiume. Hizi jinsia mbili hazifanani maumbile yake ya siri yaani vile via vya uzazi. Katika hilo kuna mtoaji na kuna mpokeaji. Huwezi kubadili huo...
33 Reactions
149 Replies
31K Views
Wakati mimi namlipia ada ya chuo, kuna mwingine alikuwa anamsaidia kujenga kwao. Kumbuka, nilishajitambulisha kwa mama yake, ambaye alikuwa anajua kila kitu – kwamba binti yake hana kazi yoyote...
12 Reactions
53 Replies
2K Views
Hello wakuu, Nimeona nishare sababu niko katika hali mbaya. Mawazo mabaya ya kujidhuru yananijia kichwani. Sijawahi kupenda kama nilivyompenda yeye. Kila kitu kilikuwa vizuri, ghafla akakata...
49 Reactions
482 Replies
11K Views
UKIWA NA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA BILA HEKIMA UTAPOTEZWA UELEKEO UKIPATA PESA MACHAGUO YANAONGEZEKA HII NDIO SABABU YA KESI NYINGI ZA KUSEMA KABADILIKA BAADA YA KUPATA PESA. Wengi wanashauri...
2 Reactions
8 Replies
345 Views
Asalaam wana JF! Leo sikuwa na ratiba ya kwenda popote, nikasema wacha niadhimishe 9 Dec hapa hapa nyumbani, mpaka pale nilipopigiwa simu na Mwenyekiti wangu mpya wa mtaa aliyechaguliwa kwa kura...
39 Reactions
121 Replies
5K Views
Wakuu, Ukienda Zanzibar jambo kubwa litakalokuacha kinywa wazi ni hili la wanawake hawaruhusiwi kwenda sokoni isipokuwa ni wanaume tu ndio wanaoenda sokoni kununua mahitaji kama...
0 Reactions
113 Replies
15K Views
.............
54 Reactions
372 Replies
23K Views
Wadau hapa juzi kati niliingia tamaa nikamtawanya housegirl wetu hapa home. Sasa toka nianze kumpatia dozi ya dushelele leo asubuhi nikiwa ofisini kanitumia sms eti jana usiku amesikia wakati...
13 Reactions
325 Replies
64K Views
Wanandoa na mliowahi kuishi na wanawake naombeni ushauri kidogo, huwa napenda sana kujifunza mawili matatu kabla, ili niweze kufahamu walau kwa uchache jambo ambalo nakwenda kulifanya, wenda isiwe...
2 Reactions
8 Replies
358 Views
.............
9 Reactions
216 Replies
16K Views
............
3 Reactions
106 Replies
12K Views
Huwa naona kama ndoto kubwa zaidi waliyo nayo wanawake wengi wa bongo ni kuolewa. Hata wamama wengi unakuta kwa mfano wakiwa wanawaelekeza mabinti wao wanawaambia kauli kama hujui kupika/kufanya...
6 Reactions
44 Replies
1K Views
.................
64 Reactions
476 Replies
33K Views
,............................
0 Reactions
31 Replies
3K Views
...................
0 Reactions
26 Replies
2K Views
Ni kijana aliejaaliwa kuwa na familia yake mke mzuri na watoto wawili, miaka kadhaa imepita alikua kwenye mahusiano na binti mmoja walipendana ila bahati mbaya uhusiano uliisha hawakuweza kuoana...
74 Reactions
199 Replies
21K Views
Amani iwe kwenu, Napenda kushare hili, tabia ya sisi kina dada kushindwa kutambua na kuthamini nafasi za mawifi zetu kwa makusudi, kwa kujitoa ufahamu au kutokujua kwa bahati mbaya, hadi...
11 Reactions
161 Replies
15K Views
Iko hivi mimi nilikuwa na msichana na tulipanga malengo tuoane kabisa huku Kenya sasa tatizo huyuu demu tarehe 05 mwezi wa 12 alipata kazi huko nchi za kiarabu yaan alienda Madina sasa huko...
2 Reactions
33 Replies
486 Views
Huyu jamaa ana ndoa, ila pia ana mtoto mmoja aliyempata kabla hajaoa sijui nini kilitokea hadi hakumuoa huyo mama mtoto ila kwa umbea naweza kufatilia teh, mama mtoto alishaendelea na maisha yake...
4 Reactions
223 Replies
17K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…