Mimi kadogo2 kwa mara ya kwanza nimekuwa wa kwanza kumpenda mwanaume, haijawai tokea hata siku moja kumpenda mwanaume bila yeye kuniambia kuwa ananipenda ndipo na mimi nijifunze kumpenda…
Mkaka...
Wakati mwingine tunakutana na watu wakiwa wameumizwa sana na mahusiano ya nyuma
Tunalazimika kuzinyanyua nafsi na mioyo yao iliyojiinamia ndipo tuwapandikize upendo wetu
Huwezi kuupata upendo...
Sasa nimeelewa huu msemo unamaanisha nini.
Hitaji namba moja la mwanaume ni heshima na hitaji namba moja la mwanamke ni upendo.
Kumbe upendo na heshima ni vitu vinavotegemeana🤔
Ukweli ndio huo.
wWnawake wengi wana watu wao wanaoshiriki nao mapenzi bila kupewa hela ama zawadi yoyote.
Anaweza kuwa kwenye relationship na wewe na bado penzi lake likawa linapelekwa sehemu...
Habar za humu ..
Moja kwa moja bila kupoteza muda naomba kutoa mrejesho kuhusu mchumba wangu kuonekana na love bite shingoni..
Siku ile naandika hapa nilikua na hasira kali na isiyo elezeka...
Leo asubuhi nimefika ofisini nakuta my co worker analalamika, jana kapanda daladala ilikua imejaa kiasi, watu walikua wamesimama na nyuma yake alikuepo mwanaume,huyu kidume kila mara alikua...
Ujana una mambo mengi Nina story nyingi hasa ujana ukiwa unachemka
Ujana huu umenipa story za kusimuulia maishani, Nakumbuka ilikuwa mwaka 2010, nilikuwa nakaa kigamboni Dar as salaam sehem moja...
Holla people....
This is for Kash Kabush Dadiiiiii. ....
Am ready, you know am ready to love you... to love you, forever.... hey my lover man..... come and love me forever more.....
This...
Ooh Casanoovaaaa.....
Me and Romeo and Sarah and James......
Aahahahahahaa yaani hii wiki looh...!!
Ningekuwa nimeipuliza ningesema inanipelekesha kichwani Ila waaalaaahh...
Ni vile...
Habari za jioni mabibi na mabwana wa JF,
Leo nilikuwa kwenye mishe mishe zangu binafsi sikwenda kazini basi baada ya kumaliza shughuli zangu nikaingia Mandela Square Mall. Nikapata nilivyokuwa...
Kwako Mahabat wa Kasie....
Usipate taabu u Mahabt, uliyoyafanya sio mageni hapa Duani ehee! Mahalat!
Ikiwa kupendana babaa ,Wapo waliopendana kama watoto mapacha! Sweetie,
Ikiwa ni mapenzi ii...
ANDIKA hii, kuna wadada wanazaa na watu ili wapate kuhudumiwa kwa mgongo wa mtoto na wakiombwa mtoto wanamng'ang'ania hawataki kwasababu huduma itakata😀 na watapauka wanatafuta mwanaume mwenye...
Ilikuwa ni kama bahati. Kwanza haisi lilikuwa limejaa, hakukuwa na hata kipande kidogo cha siti. Pili, waliokuwa wamekosa nafasi wengi wao walikuwa ni mabinti na wakina mama wenye mbete ndembe...
Pole Baba angu mzuri na kazi, asante Mungu Baba kunirejeshea salama furaha hii ya moyo wangu akiwa salama. Nakupenda sana baba angu mzuri, nimefurahi sana kukuona ukiwa mwenye tabasamu 💕...
Wakati mwingine mioyo iliyoumizwa inakutana, inaponyana na inapendana. Yawezekana hao uwaonao leo wanapendana sana kuna mahala upendo wao ulipuuzwa mahala na waliumizwa
Kwasababu mapito yenye...
Hakikisha unapoalikwa usikusanye kijiji cha marafiki au ukaambatana na watoto zingatia mwaliko unakuhusu wewe tu sio marafiki zako
Hakikisha mnapokuwa mumeahiadiana na mtu kukutana unakuwa ontime...
Usioane na mbadala, eti utampenda mbele ya safari, kujifunza kumpenda mtu ukiwa naye ni changamoto sana kwasababu matarajio yako yasipokuwa vile utamanivyo huku ukiendelea kuzaa naye, kupoteza...
Ukiongea na mtu wa hisia zako, anayeutawala moyo wako lazima mwili usisimke, akili ihame yaani wa hisia zako hat sauti yake tu inakupa namna ya kuuhisi upendo na kuwaza mbali💞
Hakikisha...