Anyeong haseyooooooooooooooooooooooooooooooooooooooo! (Mambo ya Kim Un)
Imeaminika na inavumishwa sanaaa na wazambi wachache, watu wa mataifa kuwa pesa ndo kila kitu! Bila pesa sijui usijisumbue...
Habari ndugu zangu!
Nimebadilika sana, nahisi kutokuwa sawa kiroho!
Nipo mbali na nyumbani tangu 2021, yaani huwa tu naenda kusalimia na kurudi.
Nipo Dodoma kikazi na tangu nije huku nimeona...
Natumaini hamjambo! Poleni na misiba ya wapendwa wetu - Kariakoo.
Baada ya kukutana na maigizo mengi sana kutoka kwa watu (ndugu, mpenzi, marafiki na jamaa) niliyumba sana. Nilihisi dunia...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Fuatilia Jamii zote zenye maendeleo wanawake wanafanya Kazi za uzalishaji. Na ukiona mwanamke hafanyi Kazi za uzalishaji ujue anahisa katika kampuni za mumewe...
Ndugu zangu salaam sana
Katika harakati za dunia tunafahamu fika jukumu la mwanaume ni kutawala, kutunza na kuongoza kile kilicho mali yake ikiwemo mwanamke wake
Kupitia jukumu hili kubwa...
Upendo haupaswi kuumiza yeyote. Ikiwa unachotaka ni upendo unaodumu, unaweza kuupata hakika...
There’s nothing wrong with you. And there’s nothing wrong with the one who broke your heart...
Za maamko
Kuna watu mnataka kuwafungulia biashara wake zenu ila epuka hii kitu
Mfungulie biashara ila hakikisha hajui wapi marighafi unatolea yaani machimbo unakochukua mzigo wewe fanya...
Habari wakuu,
Kuna urafiki yangu toka mkoani kwetu, alifunga ndoa na binti jirani pale mkoani mwaka 2022. Kiufupi jamaa alikuwa anajimudu kiuchumi, Lakin gafla baada ya ndoa yao mambo yalienda...
Nilimuambia kama ukiondoka na huyo mtoto basi jua kuwa sitamhudumia kwa chochote. Mwanzo nilikua naongea kama utani kwani niliamini kuwa mke wangu hawezi kuondoka. Ni kweli nilishamfanyia mambo...
Wakuu wangu shikamooni,
Kitambo sijakuja humu lakini shule ilibana na nilikuwa nimechange life style kidogo
Nimemuacha yule mkurya wangu leo rasmi coz nahisi nina matatizo kila wakati...
Wakati fulani miaka ya 2000 nilicheza show mbovu sana kiasi cha kudharauliwa na demu. Demu akaniambia mbona tunapochati unakuwa na mbwembwe nyingi sana ila kumbe hauna maajabu. Kwa kweli...
Habari zenu.
Mwaka 2016 kulikuwa na couple humu zenye mbwembwe sana ila ghafla mwanzoni mwa 2019 zikaanza kufifia na mwaka 2020 zikapotea kabsa na sasa sioni watu wakiandikiana maneno mazuri...
Daaaaah, nime mwomba Mungu ingiliekati utuokoe tena.
Nilikuwa nimetulia sehem nasubiri foleniipungue nielekee home mida ya saa 3 hivi usiku. Akaja jamaa mmoja smart yuko poatu na begilake...
NImetoke kuvutiwa sana na ubebaji wa mimba kwa wanawake natamani vile vitumbo vinapo tangulia mbele najisikia furaha sana.
pia sichoki kuwaangalia wanawake wajawazito bilashaka wananipa furaha...
Salaam wakuu
Miaka michache iliyopita nilipitia mambo mengi kwenye ndoa ambayo nikiri kuwa hayakuwa mazuri kwa ukuaji wa watoto wetu kisaikolojia.
Watoto walishuhudia nikipigwa mara nyingi sana...
Wana JF Heri ya mwaka mpya.
Mimi ni baba wa miaka 40 form four leaver, sina ujuzi wala maarifa yoyote ya maisha. Tangu nimalize elimu ya sekondari, sijawahi kufanya kazi yoyote ya kuniingizia...
Habari zenu waungwana?
Mimi mdogo wenu leo naweka hili bandiko humu kuomba ushauri kwa maana akili na maamuzi yangu naona kama yanashindwana na matamanio ya mwili wangu.
Kiufupi kuna msichana...
WANAWAKE zaidi ya million 5 wamechanganyikiwa na jangili na muuaji hapa USA .Ndio mkaka mzuri lakini du hizo tabia zake sio mchezo .Ila tweeter tmz na Facebook Yaani WANAWAKE hoi hoi .hivi ni kwa...