Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Duniani kila mtu anapata wa kufanana naye na huu msemo kwangu mimi naendelea kuushikiria vizuri sana. Sasa leo tujifunze kitu kupitia simulizi nzuri sana ya wanandoa hawa wawili ambao wote ni...
2 Reactions
2 Replies
173 Views
Ma-mdogo Penny Shikamoo, samahani Nina sehemu nimeganda naomba unichomoe Money Penny: haya nambie mwanangu Mtoto: Ma-mdogo, me Nina Miaka 40, ninapenda Sana wanaume Umri mdogo lakini siwapati...
7 Reactions
229 Replies
15K Views
Kusema ukweli Bwana ninaekubali kushea na wanawake wengine ni YESU KRISTO Huyo ndio pekee nakubali tube wengi kwake Wewe je?
0 Reactions
8 Replies
394 Views
Shigongo ametoa surprise msibani kwa Grace Mapunda (a.k.a Tesa). Shigongo ametamka bila hofu kuwa Grace alikuwa mpenzi wangu (mchepuko) . Watu wote (wake kwa waume) msibani wakabaki wameduwaa...
7 Reactions
13 Replies
652 Views
Hii ni muhimu zaidi kwetu wenye vipato vya kawaida. Sio jambo la aibu hata kidogo wala sio urijali wala ujanja kwenda date bila kumpanga mapema kuhusana na bajeti. Ukishindwa kujipanga jiandae...
1 Reactions
8 Replies
279 Views
habari wadau. Naona threads za kuwalalamikia wanawake wanapenda pesa na mali zimekuwa nyingi sana. Ningependa vijana wote wa kiume wanaopenda kulalamika waisome na kuijua hii scientific Law ya...
3 Reactions
23 Replies
1K Views
Mwanaume kazi yake ni kuzalisha (kutoa mbegu). Hata ukiwa umegawa mbegu kwa wanawake 10 tofauti wewe kaa kimya tu. Usianze kumfungulia codes zote huyo mwanamke unayetaka kuishi ama unayeishi naye...
10 Reactions
24 Replies
700 Views
NI MAAMUZI MAGUMU LAKINI YAMETOKA MOYONI Ninawashukuru sana kwa michango yenu, nimefanyia kazi kila mchango na kuchukua maamuzi kadhaa kuboresha nilichopanga kufanya
95 Reactions
574 Replies
29K Views
Jamaa poa sana ni mtu ambaye anataka kuwaridhisha sana wengine ili apate kupendwa na watu wasimtenge, lakini je ni sahihi kwa mwanaume kuwa "mtu poa sana"? Leo acha nikupe kisa cha 'JJ' jamaa...
0 Reactions
4 Replies
321 Views
Sitazungumzia Mungu kanibariki kwa kiasi gani, kwa kifupi naweza kusema, I am blessed 🤗🤩 Mitihani ni mingi maishani lakini baada ya kufaulu mitihani hiyo, tunalipwa sawa na elimi zetu. nikutonye...
7 Reactions
8 Replies
899 Views
Wadau kuna kipindi nilikuja kulalamika hapa kwamba kuna dada mmoja mwenye mimatako mikubwa ofisini kwetu simwelew. nilisema likuwa anapenda kuja ofisin kwangu halafu anatoa gesi(anajamba...
17 Reactions
82 Replies
9K Views
Sitasahau kisa hiki, kipindi hicho nimemaliza shule ya msingi na kubaki mkulima tu kijijini kwetu, nikaanza kutembea na mtoto wa shule, hamadiii!! akapata mimba. Siku hiyo mida ya jioni naona...
6 Reactions
93 Replies
9K Views
Mimi binafsi na huu uchakataji wangu wote sijawahi kufanya kitendo kisicho na stara kama hicho ata mara moja, ingawa nilishapitia vikwazo na changamoto kadhaa kwa baadhi ya wanawake waliotaka...
59 Reactions
355 Replies
76K Views
Ndugu zangu kwa miaka ya sasa hivi ukihitaj mwanamke wa maisha(future) hakikisha inakupasa umshirikishe Mola wako. Kwasababu sikuhizi wanawake wengi wameharibika wengi wanafanywa kinyume na...
47 Reactions
920 Replies
118K Views
Habari zenu waungwana, Rafiki yangu anaomba ushauri, Kwa kifupi ilitokea akawa na mahusiano na mke wa mtu, kwa maelezo yake anasema Mara ya kwanza Kushiriki tendo mwanamke alinasa ujauzito. Baada...
8 Reactions
65 Replies
3K Views
1.usafi 2.nidham adabu 3.matumiz mazur ya pesa 4.jukumu lako la kwanza kumridhisha mume kwanza 5.upendo kwa ndugu wa mume 6.zawad kwa mume siku moja moja 7 kuacha kiherehere cha kimfuatilia mume...
12 Reactions
46 Replies
962 Views
Usemi huo nilikutana nao kijiweni, wazee wakipongeza uamzi wa dini kuwa na wake wanne, kwamba mwanamke akijua kuna mwanamke mwenzake basi ananyoka vizuuuuriiii, hutasikia habari za usawa katika...
4 Reactions
111 Replies
9K Views
ila nyie, kupenda ni kubaya asikwambie mtu. Hasahasa unamwonesha ishara zote, ukaribu na attention, lakini ndo kwanza walaa hana muda mchafu, unatamani ulifungukie ulisaidie, lakini wapi Shida...
49 Reactions
156 Replies
9K Views
Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha. Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu...
22 Reactions
61 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…