Bukoba kuna warembo wazuri sana wenye misambwanda miguu ya bia na figa namba 8.
Wamegawanyika Watusi kwa hapa wanaitwa wanyarwanda pia wapo walio mix Wahaya na Watusi nakutoa watoto wakali.
Pia...
Mkuu wa Polisi wilaya ya Ludewa mkoani Njombe Selestin Luhende amewataka wanandoa kuacha kupekua simu za wenza wao ili kuepuka madhara yanayoweza kupatikana ikiwemo ugomvi unaoweza kuvunja ndoa...
Niende kwa ufupi, kuna hii avatar yenye shape la kwenda na mgongo mzuri.
Nimempenda huyu mwenye id
Nimeona nianze hapa ili wenye abc wanisaidie kabla sijaenda inbox,
Hii avatar inaitwa witnessj...
Wakuu kila mmoja najua kapitia au anapitia haya mambo unakuta tu hutarajii umeshika simu ya mpenzi wako
Mimi bwana ilikuwa jumamosi moja hivi natoka zangu masafa si unajua wengine sisi sio...
Huu ni ujumbe kwako “Boy child”. Ikiwa imetokea umekutana na binti mzuri akakuvutia na ukaweka jitihada zako kama kumtoa out,kumpatia zawadi na kumpatia offer mbili tatu kama kumlipia bills zake...
Kwa kiasi kikubwa umasikini unatoka na chain ya ufukara ambayo ipo kwenye familia au ukoo, kwa maana iyo umasikini wa mwanamke sio tatizo la boyfriend wake, ni tatizo lake binafsi na familia yake...
Habari wakuu, natumai mko poa wa afya.
Nina mke wangu nimeishi nae takribani miaka 8
Mwaka nyuma alipata kibarua ila huko kazini yupo na jamaa fulani hivi ila chakushangaza imefikia hadi hadi...
Dunia iko kasi sana aisee,
wiki 1 nyuma nimetumiwa msg facebook na demu wangu ambae tuliachana mwaka 2017.
Sikujibu, baada ya siku 2 akaandika namba yake, kibinaadamu nikaona nimcheki asije sema...
Nimekaa nikatafakari. Sisi wanaume ambao harakati zetu za kupata mkate wa kila siku zinahusisha kusafiri safiri, tunachapiwa sana wake zetu.
Nimesoma nyuzi nyingi sana hapa JF vijana wakieleza...
Hapo vip!
Kiukweli kuna madhara makubwa mtoto wa kiume kulelewa na mama tu.
Madhara.
1.Hana msimamo kama mwanaume.
2.Anaamini ushauri wa mwanamke kuliko wa mwanaume.
3.Sio mtu wa kuaminika kama...
Aisee! Huwa naichunia simu ya mke wangu kwa kuogopa BP na pia namuamini maana ana kautulivu kimuonekano na maisha tulioishi hajawahi kuniletea mazombie mpaka yanitishe na kuhisi sio mwaminifu...
Habari za saizi wakuu,
Mi nikijana Nina umri miaka 24 nakumbuka wakati mdogo kipindi hicho nyumbani tulikua tunakaa na mother,mzee,(kazi zake zilikua za kusafiri safiri)broo1 na mtoto wa broo...
Huyu dada atakuwa na matatizo ya akili si bure leo kwa mara nyingine ananambia eti ye kaangalia wote anaona mimi ndo tunaweza oana umri wake miaka 33 choka mbaya wewe miaka 34 uje uolewe na mimi...
Kama ilivyo kawaida ya wengi kurudi nyumbani na kujumuika na familia pamoja na ndugu wengine mwisho wa mwaka nami nilifanya ivyo maana miangaiko ya kimaisha ilininyima nafasi ya kurudi nyumbani...
Asubuh imeanza kwa ngurumo na mvua za hapa na pale. Hali ya hewa ni ya uvuguvugu anga linaonekana kuwa na mawazo sana.maana halijielew kama liruhusu mvua inyeshe au jua liwake.basi ili mradi ni...
nangalieni sana dada zangu kuna wanaume "kantangaze" usiombe aku gegede..atamwambia kila mtu "aaargh huyo mi tayari, wa baridi kama nini" au "yule mtoto nimemla jana tu mtamu sana asikwambie mtu...