Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Umemtongoza mwanamke amekukataa, kutokana na sababu anazojua mwenyewe. Ukaamua kupotezea. Siku kadhaa mbeleni anakuja anakutafuta anakwambia kuwa ana shida ya kiasi cha fedha umsaidie!! Hii...
5 Reactions
61 Replies
12K Views
1.mpende kwa maneno mazur mkeo 2.mpe pesa sio lazima hela nying ni hata vijisent mpe tu elf 7 kum na nk bila maelekezo yaan yake kama unazo nying mpe tu hata nne tano milion au gar 3.kua msafi...
10 Reactions
56 Replies
986 Views
Ukisikia mama au dada anakwambia ngoja nitamtuma 'bodaboda wangu' basi ujue huyo Bodaboda wake ni bodaboda wake kweli kweli. Ninamjua mdada ambae anamtuma bodaboda wake kumtolea hela Kwa ATM...
76 Reactions
255 Replies
23K Views
Ndugu zangu mficha mauti kifo humuumbua wakuu kuna mtangazaji wa crown media anaitwa Iman Luvanga wakuu nampenda na kumpenda zaidi 🥰🥰🥰🥰 mfikishieni mlio karibu nae aiseee
5 Reactions
9 Replies
500 Views
Mitaani huku ndoa zinavinjika kila kukichaa, leo asubuhi nimekutana na magazeti mawili mmoja mke wa rafiki yangu na mwingine mke wa mjomba wangu wote wanataka kutundika daruga nimekosa cha...
26 Reactions
87 Replies
3K Views
Haka ka under twenty cjuw kanatakaje?
8 Reactions
31 Replies
964 Views
Ukiangali kwa makini kataa ndoa uwa wana hoja sisi tuliooa tunapitia mengi sana. Yule Mwanamke wa ndoto zako ambaye kuja nyumbani kwako hataki yupo kwa Mchizi anapika na kupakua, hata zile pesa...
14 Reactions
41 Replies
1K Views
Wakati mnakubaliana kunyanduana hususani kwa mwanaume Kuna masharti ambayo unampa mpenzi wako pindi mnapokutana chumba Cha Siri awe amezingatia ili kukidhi matamanio Yako, kwa misingi ya kuongeza...
0 Reactions
4 Replies
402 Views
Wakuu mmebarikiwa, Leo katika pitapita zangu mtaani, kuna mabinti walikiwa wamekaa kibarazani wanasukana, nilipita bila kuwasalimia maana walikuwa bize hivi. Sasa wakati narudi njia ileile...
46 Reactions
144 Replies
11K Views
Wakuu tujadiliane hili kidogo Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa...
4 Reactions
54 Replies
1K Views
Habari zenu wakuu, Nimemkumbuka kaka fulani tulikuwa marafiki sana tangu nikiwa secondary. Kwa miaka 10 alikuwa mtu wangu wa karibu sana, mshauri wangu kwenye kila Jambo. Kiasili Mimi ni...
63 Reactions
238 Replies
33K Views
Nimeshajiuliza sana lkn sipati jibu, huyu binti ni mhudumu wa bar, mzuri kishenzi...ila inasemekana ni HIV+.... Yani ukimgegeda leo, kesho yake lazima upate pesa, watu 9 hadi sasa wameshamgegeda...
3 Reactions
123 Replies
9K Views
Habarin za usiku huu Miaka/miez ya hiv karibuni tumeshuudia mauaji ya wanawake yaliyokisiri kutoka kwa wanaume zao ila kwa sasa nch imetulia je nini kimesababisha utulivu huu ili wahusika...
0 Reactions
7 Replies
202 Views
Yani nashindwa kabisa kuelewa, ni kwanini watoto wengi wa kike wanashobokea sana magari? Yani hata ajue sio lako, ili mradi kakuona tu unaendesha basi ukimgusia tu anajaa!!! Wengine kwao yapo...
3 Reactions
157 Replies
14K Views
Niko maeneo Yangu ya kujidai kusherehekea mara baada ya kutoka kupima na kuambiwa Sina Ngoma ni mzima wa Afya kabisa. Ili eneo flani hivi la Nyama za kuku choma hapa Dodoma. Nimeagiza kuku, na...
13 Reactions
37 Replies
5K Views
Habari zenu wana JF. Naomba kushare nanyi suala hili kuhusu dada yangu wa tumbo moja ambalo sikuwahi kulihisi, kulidhani wala kulijua kwa zaidi ya miaka 20. Kifupi mimi ni...
15 Reactions
319 Replies
69K Views
Kuanzia nioe kusema kweli sina mzuka sana na mademu wa huko nje, Maana hapa gheto kila muda huwa nachakata kiasi kwamba mbunye kwangu imekuwa kama maji kwenye ndoo Najichotea tu muda wote, Kuna...
7 Reactions
41 Replies
4K Views
Ni swali ninalojiulizaga mno na umri wangu huu wa miaka 30 kuelekea 31, hivi katika umri gani aibu huondoka kabisa? Kiasi kwamba unaweza kulala mpaka na colleague wako(mfanyakazi mwenzako). Pia...
5 Reactions
114 Replies
10K Views
Huwa nawaza, Mimi mke wangu mzuri lakini kuna wake wa jamaa zangu nao ni wakali sasa navyowatamani utadhani mke wangu havutii. Najiuliza je wakulungwa ambao hawafahamu kama mwanamke mzuri kaolewa...
6 Reactions
59 Replies
5K Views
Hii imemkuta jamaa yangu wa karibu. Iko hivi: Jamaa yangu anaishi na mkewe na wamebahatika kupata watoto watatu. Ndoa yao ni tulivu sana. Kifupi wanapendana na kuheshimiana (kwa mtazamo wangu...
17 Reactions
140 Replies
14K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…