Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanawake zangu wote ambao nimewahi kuishi nao lazima kuna siku nilikunywa kamnyweso kakanikwangua utumbo niliporudi home ile njaa ikanipelekea kulamba sufuria zima la mboga.basi ile stori mpaka...
3 Reactions
6 Replies
326 Views
Wapwa natumaini ni wazima wa afya na pia poleni na majukumu ya kulijenga. Mi kijana wenu katika harakati nimekutana binti mmoja nimetokea ku fall in love tunapendana sana kuhusu kumuhudumia na...
17 Reactions
138 Replies
3K Views
Habar wakuu, Huyu mwanamke amejiajiri Ni fundi cherehani, ana miaka 27 hajaolewa na anaishi mwenyewe na mtoto wake mmoja wa kike. Tulikutana vipi? Kwenye fremu wanakoshonea nguo na wanawake...
33 Reactions
236 Replies
22K Views
Ushauri kwa vijana kuhusu ndoa ni muhimu, kwani ndoa ni hatua kubwa inayohitaji maandalizi ya kiakili, kihisia, na kifedha. Hapa kuna mambo muhimu ya kuzingatia: 1. Kujitambua na Kujitayarisha...
3 Reactions
3 Replies
540 Views
Ninampenzi wangu ambaye soon tunafunga ndoa, Kuna x wake anamsumbua sana akitaka warudiane nifanyeje?
5 Reactions
169 Replies
14K Views
kwema wakuu. sema kweli hivi vitoto vinavutia sana ila ukianza mchakato wa kuvitongoza unaweza kata tamaa. Heri mishangazi ukiropoka tu mikeka inatiki.. kwaheri vitoto vya afmbili tutaonana tena...
1 Reactions
20 Replies
1K Views
I'm still hurting I can't do anything, my heart is hurting so much this was the man I love so much I never betrayed him but he behaved I wish I had the ability to reach him and tell him that I...
20 Reactions
168 Replies
3K Views
I have never found the right words to tell or describe how I feel about you. I love you. I hope you know that my love for you grows with each breath in the depth of my heart. I love you always. I...
15 Reactions
93 Replies
3K Views
INSPIRED BY THIS PHOTO Nikiangalia huyo kijana ( IBWE ) ni Kama Mimi tuu kuanzia muonekano, body,utanashati, umri na kila kitu hatujapishana Sana labda kazi TU Binafsi nimechoka kuwa na...
48 Reactions
221 Replies
9K Views
Naishi Dodoma ila kwa sasa nipo Dar Ukonga KMKM ambapo nimejenga makazi yangu ya kupangisha. Kama mna kumbukumbu nzuri nilileta uzi humu majuzi nikiomba ushauri wa namna ya kudeal na mpangaji...
34 Reactions
185 Replies
12K Views
Huyu ni mpangaji mwenzangu, ameolewa nami nina mke, kwa siku kadhaa mke wangu ambae nampenda sana yuko likizo hivo kila nikurudi au napokuwa nafanyafanya vishughuli vya hapa nyumbani huchukua nguo...
3 Reactions
38 Replies
10K Views
UKIFANIKIWA NDIO UTAJUA WATU NI VIGEU GEU, WALIOKUKIMBIA NDIO WANAKUKIMBILIA Kama uliwahi kuachwa kwa dharau na maneno makali hata usiumize kichwa sana kujiona hufai , siku UKIFANIKIWA kiuchumi...
1 Reactions
15 Replies
503 Views
Kama ilivyoandikwa Mwanamke au mwanaume wa ndoto yako Bado yupo? Ana exist Ha- exist Unae? Huna? Anafananaje? Au ushakata tamaa?
2 Reactions
8 Replies
476 Views
Weekend Imekuwa ndefu Nipo arusha Land Rover festival kuna wakenya wamekuja hapa wana kero zao Mkenya mmoja analalamika kwa wakenya wenzake kuwa Hatompa tena mwanamke yeyote kichwa kwenye...
1 Reactions
34 Replies
2K Views
Habarini ndugu zangu, Siku nyingi Sana sijaanzisha Uzi humu Nina swali ambali nimeuliza Artificial intelligence wengi na pia marafiki zangu wengi wa kiume na wa kike...nimepata majibu tofauti...
1 Reactions
33 Replies
3K Views
Kwanini mnapenda MISHANGAZI vijana?
8 Reactions
61 Replies
2K Views
Wakuu habari za humu ndani. Mpaka sasa najiuliza why she don't care. Wakuu nipo na mahusiano lakini hata simwelewi huyu mwenzangu mpaka sasa. Yupo careless an usipomtafuta sahau kutafutwa. Hana...
16 Reactions
281 Replies
15K Views
Nimemulika mwizi!!! Fakeni kabisa Miaka yote nasikia mume anauma mume anauma nikawa nasema wanaume hawa walivyo wengi anauma nini bwana?? Leo yamenikuta. Kama mwezi umepita nilikuwa nahisi...
69 Reactions
449 Replies
12K Views
Wanawake wengi mjini ni wachafu kupindukia na sisi Wanaume tunawaona jinsi mnavyohangaika kujichafua ili tuwapende,mi nataka Muke tu kuwa sisi Wanaume tunaakili hatuwezi kuvutiwa na uchafu Bali...
15 Reactions
89 Replies
8K Views
Leo nimekuja kuangalia maendeleo ya binti yangu anayesoma katika huu mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kutoka hapo imebidi niingie kiwanja kimoja hapa angalau kujiliwaza na kupunguza uchovu wa safari...
5 Reactions
42 Replies
1K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…