Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari wana jf, husika na kichwa cha habari hapo juu. Binafsi nasikia uchungu kweli, kuna mdada mmoja nimempenda kweli sasa nilimwelekeza nikaona kama kakubali lakini roho ilikataa kabisa sijui...
5 Reactions
23 Replies
628 Views
Bila shaka mtakubaliana na mimi kuwa hali ya hewa kuanzia mwezi wa Mei hadi huu Julai ni muafaka kwa watu kujamiiana na hivyo kuifanya miezi hiyo kuwa kama ndio breading season, especially kwa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Je, nisahihi kumuambia mkeo mshahara wako au kumuonyesha salary slip yako? Na je, mliowaambia wake zenu hali ikoje walichukuliaje baada ya kujua kiasi unachopata?
14 Reactions
125 Replies
2K Views
Kwema? Jamani hatimaye leo nimefunga ndoa na aliyekuwa mpenzi wangu wa zamani Adelina Jackson Kimambo pale kanisa la St. Joseph misouri Lutheran church. Namshukuru jalali kiukweli ndugu...
22 Reactions
157 Replies
9K Views
Hivi unaweza kudate na mpenzi aliye bize wiki nzima? Yani yuko bize kuanzia asubuhi mpaka usiku, hata umtext hajibu. Utapiga na kuacha missed calls hata kumi simu haipokelewi. Hata kusema yeye...
35 Reactions
521 Replies
47K Views
Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Wanaume wengi huoa Mwanamke anayempenda kwelikweli. Yàani ukiona Mwanaume amekuoa ujue huyo Mwanamke anampenda Sana. Kwa Mwanaume unaweza kugusa kîla kitu kwèñye...
3 Reactions
6 Replies
667 Views
INTRODUCTION. YANGA Bingwaaaa Nyie Hamuogopi?? BODY:- Wanawake unajua nyie ni dada zetu, mama zetu, Shangazi zetu, rafiki zetu, N. K naomba niwaulize swali hili 1. KWANI LAZIMA KUOLEWA NA...
7 Reactions
34 Replies
2K Views
Ni maarufu Sana huko TikTok na YouTube, Yuko na mwenzie mwingine aisee wanachonganisha mahusiano ya watu alafu wakiona msala umezidi Wanasepa hii ni sawa kweli?? Unakuta wanajinadi kabisa Leo...
4 Reactions
9 Replies
432 Views
Katika nyakati hizi, kuna sababu nyingi za kutokuoa kuliko kuoa. Namaanisha wale wazee wa "Kataa Ndoa" have milion reasons ku defend maamuzi yao. Nyakati zimefika ambapo ndoa kwa wanawake siyo...
22 Reactions
50 Replies
3K Views
ni roho ya msamaha imeongezeka kwa wanadamu au alternative girlfriends na boyfriends imeshindwa kufanya kazi ipasavyo? je, ni ahueni kwa single mothers na single fathers kwamba sasa wanarudiwa...
11 Reactions
46 Replies
1K Views
Huyu demu wangu ni mkimnya sana na muda mwingi hana time na mimi yupo busy na huyo kaka yake , wanaongea kimahaba sometime wakipigiana simu na wanajizima data kweli kweli Pia ;:- Sina uhakika...
19 Reactions
94 Replies
5K Views
Aisee haya maisha hata hayana maana sijui na mke wangu anawatafutaga ma ex zake iv [emoji24][emoji24] Kuna binti kitambo kdg alikuwa nesi nikaenda akanitibu tukawa na mazoea kias chake Mimi...
11 Reactions
48 Replies
6K Views
Tunaambiwa mengi na tuwapendao ila lipo neno moja ambalo limewahi kugusa moyo kiasi kwamba si rahisi kusahau! TIRIRIKENI
1 Reactions
567 Replies
95K Views
Wapendwa habari zenu, I hope everybody enjoyed the weekend. Nimekuwa nikijiuliza hili swali bila kupata majibu, naomba mnisaidie. kwa mfano uko kwenye mahusiano na mtu wako halafu ikatokea unataka...
3 Reactions
65 Replies
12K Views
Mi huwa linanichanganya hili neno la kudate, maana yake hasa ni nini? na je, watanzania huwa tunalitumia kama ipasavyo?
2 Reactions
39 Replies
14K Views
Utamsikia mtu anasema "nina ki-date" au "they are dating" au "I'm not dating anyone". Ikumbukwe "date" kama ilivyo ni mojawapo ya mifumo ya mahusiano ambayo ni migeni katika jamii yetu. Je kudate...
0 Reactions
28 Replies
10K Views
Wote tunafamilia tumetokea na wengi tumeunda familia zetu , swali wewe ipi familia yenye kipaumbele kwako inapotokea mgongano wa mambo, hili nauliza kisa rafiki yangu anadai yupo tayari kuvunja...
1 Reactions
8 Replies
310 Views
Kumvuta au kumfunga mpenzi kwa kutumia mshumaa Chukua mshumaa mweupe chagua unaowahi kuisha haraka uwe mnene kiasi. Tandika kitambaa cheupe weka kitu chochote kinachomhusu huyo mwanamke au mtu...
6 Reactions
46 Replies
2K Views
Its been Ten years since you left me, i real miss you uliniambia every thing that happens has a meaning just follow the sound of God maana ndo tegemeo lako pekee duniani. Pia, ulisema sio kila...
5 Reactions
16 Replies
660 Views
1. Baada ya kupata mtoto Hana interest na sex kabisa. Hii ni tofauti na kipindi cha uchumba.. kama niliomba mzigo mara kumi, basi nimepewa mbili. Siku akiomba yeye sijawah kataa. Na anapoomba yy...
31 Reactions
142 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…