Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nimekula tunda wakati mbaya wa hatari ya kupata mimba, nikaamua kutumia P2 Cha ajabu binti kawahi kuingia tena kwenye hedhi sasa si elewi, maana hata mwezi haujaisha Wazoefu mnaofahamu haya...
6 Reactions
30 Replies
1K Views
:hug:JAMANI NAOMBENI KWA WANAOJUA BAADHI YA SIFA ZA KABILA LA WAJALUO MNISAIDIE JAMANI MANA NATAMANI KUWAFAHAMU SANA HAWA WATU HASA WANAUME? ASANTENI SANA
1 Reactions
29 Replies
30K Views
Kumekucha wana Baraza....... Hili halihitaji maelezo mengi kwani limekuwa tatizo sugu kwenye vyumba vya wanandoa mpaka baadhi ya wanaume (mabwege) wameanza kuona ni jambo la kawaida...... Ngoja...
23 Reactions
106 Replies
2K Views
Kila kitu kinaanza kwa kuamua kama mimi nilivyoamua kuacha kufanya ngono zembe kwa kuogopa radhi za mwenyezimungu na kuamua kumrudia mungu kisawasawa na kuacha kupiga nyeto huu mwaka sasa...
10 Reactions
20 Replies
752 Views
Salaam kwa wafuatiliaji wa jukwaa la MMU. Ukiwa umetulia unasoma huu uzi basi jaribu kuweka akilini mambo machache muhimu wewe kijana wa kiume au kike unayetafuta mwenza sahihi na upo kwenye...
5 Reactions
21 Replies
752 Views
Kama kawa mama enu nimerudi na stori ingine tena Leo natoka zangu kazini, nikapigiwa simu na shogangu tukutane mikocheni plaza ana stress za mapenzi Nikaenda kumsikiliza vizuri tu, lalamiko lake...
4 Reactions
66 Replies
2K Views
Nilichokiona Ni kuwa wanawake wengi Wana kauli za kukera na Ni wepesi kusahau, Kuna kauli ukimtamkia mume wako Katu hatasahau na Ana kuvutia kasj tu akupige tukio!
8 Reactions
29 Replies
940 Views
Dear ladies.... Either you give a man multiple chances or you give multiple men a chance....the choice is yours. Uzi tayari.
2 Reactions
4 Replies
268 Views
1. Unapokutana na msichana, usifikirie ngono kwanza; usiombe ngono. Hata kama una una mihemko kiasi gani, jifanye kuwa wewe ni mtawa kwa muda. acha kuonja kila msichana anayekuja kwa sababu kila...
5 Reactions
13 Replies
1K Views
Be brave enough to give love another shot. Photo: pixdeluxe | canva Dating after divorce is nerve-wracking, but you know what? You deserve to find happiness. Ending a marriage can bring to light...
2 Reactions
6 Replies
719 Views
Ushauri wenu wakina Kijana wangu wakiume Umri miaka 8 kwa muda mrefu sana takribani miaka 4 uume wa kijana wangu umri miaka 8 simuoni uume ukisimama asubuh anapoamka. Ama nikimuamsha usiku wa...
12 Reactions
40 Replies
2K Views
Nawapa salamu wanaJF, Leo nawapa story flani jinsi nilivopata tunda kwa kutumia akili ndogo tu with zero money cost. Kuna Binti mmoja anaitwa Angel ni binti anafanya kazi katika pharmacy. Huyu...
16 Reactions
54 Replies
5K Views
Kilikuwa kinapenda kula vijisenti vyangu ila mzigo kinabana. Kwenye maslahi kuna majukumu. Vyangu kale bure vya kwake agome kutoa why? Nimekalamba block kasinizoee kabisa.
8 Reactions
35 Replies
1K Views
Mimi ni mwanamke, umri wangu ni miaka 25, ila sijaolewa na bado sijazaa. Mwaka Jana nilikuwa na mpenzi, tulipendana sana, ila mimi nilimpenda sana kwa sababu alikuwa ananikimbiza kwenye mechi...
7 Reactions
223 Replies
19K Views
Habari zenu; Kama hujawahi juiliza basi jiulize Je nani alimtoa mke wako bikra?Kama ni wewe je umegundua tofauti gani katika nyumba yako?na kama sio wewe je umeona tofauti gani? Ni ukweli...
15 Reactions
200 Replies
31K Views
Kuna msemo huwa una tumiwa na mabaharia kuwa "Ukianza kuwaelewa wanawake wanachohitaji kwenye maisha yao Basi ujue unakaribia kufa" Ni Mara kibao nimekutana na Matajiri wengi wakilia sana kisa...
17 Reactions
336 Replies
23K Views
  • Poll Poll
Habari zenu, leo ningependa kufanya utafiti mdogo tu juu ya wanawake walio olewa wakiwa bikra katika miaka mitano (5) ilopita. sample space yangu itakua ni hii JF jukwaa la MMU. kura zote...
1 Reactions
90 Replies
9K Views
1. Usimsomeshe, hiyo ni kazi ya mzazi wake 2. Usimuanzishie biashara, bali anzisha biashara na umwajiri 3. Usifanye uhalifu au deal yoyote illegal ili umridhishe mwanamke kwa kibunda 4...
46 Reactions
85 Replies
3K Views
The woman I adore doesn't seem to notice me, while the one I can't seem to care for, feels deeply for me. It's like a twisted game of chance. I've tried so hard to force my feelings, to love...
1 Reactions
3 Replies
282 Views
Katika maisha yangu niliishi nje ya ulimwengu wa zinaa. Hakika sikuwa mzinifu hata pale nilivyopata vishawishi vikali vya uzinifu nilivikwepa kwa jitihada kubwa sana. Sikuwa na rekodi yoyote...
34 Reactions
68 Replies
18K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…