Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naitaji mwanamke awe na Umri wa 35- 42 Nataka nimpe kazi ya kumlea mwanangu. Mtoto wangu ana Umri wa miaka 7. Ni wakike. Mshahara tutajadiliana mara Baada ya kuonana. Tuwasiliane NOTE: Hakikisha...
6 Reactions
17 Replies
635 Views
Wanasema “ usifunge ndoa asubuhi mana hujui nani utakutana nae jioni” hatimae kwangu jioni imefika na nimekutana na mrembo alieumbwa kwa ajiri yangu. She is beautiful, hot, real hot. Ni anaendana...
35 Reactions
180 Replies
6K Views
Salaam wanajamvi! Wa baadu! Wilaya ya Liwale, Lindi ni miongoni mwa wilaya zinazonufaika na huduma ya miaka mitatu ya Shirika la Madaktari Wasio na Mipaka (MSF). Liwale kwa sasa imekuwa Jamii...
5 Reactions
30 Replies
833 Views
Rafiki:Ni mtu unayemwamini katika maisha ya kila siku.Kuna tofauti kubwa kati ya RAFIKI na NDUGU. 👉Una nafasi na uamuzi wa kuchagua RAFIKI utakaye mwamini na yeye kukuamini katika maisha ya kila...
5 Reactions
4 Replies
350 Views
Watu wa ukumbi huu, habari zenu. Nimeoa na sasa nina watoto 2 alhamdullah, nampenda sana mke wangu lakini kuna jambo hili linaendelea kila uchao nahisi moyoni nimeanza kulichukia chukia. Kuna...
13 Reactions
221 Replies
21K Views
Habarini, Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa...
9 Reactions
7 Replies
613 Views
Kama mjuavyo sisi wanaume mara nyingi ni kuamka asubuhi na mapema na kuondoka, na kurudi ni usiku, muda ambao Mimi nashinda nyumbani ni Jumamosi na Jumapili. Usiku wa kuamkia Jana alhamis mtoto...
38 Reactions
315 Replies
9K Views
Amani ya Mungu iwe nanyi wapendwa, naomba ushauri. Ni mume niliempenda nilemuheshimu na kumfanyia kila kitu anachostahili mwanaume kufanyiwa kumfariji wakati wa magumu na kuwa nae wakati wa...
8 Reactions
231 Replies
31K Views
1. Money 2. Inches Vitu tajwa hapo juu ndo mwanamke anavihitaji. Mwonekano mzuri, u-handsome, kunukia, ucheshi, wema nk ni kama vikorombwezo tu. Ila msingi uko kwenye hayo mambo mawili...
8 Reactions
27 Replies
1K Views
Mke wangu kila dakika ananiambia ananipenda mpaka nakasirika. Wataalamu kuna haja gani ya kila mara kumwambia mtu haya maneno. Mbaya zaidi ananilazimisha na mimi kila mara nimwambie maneno haya...
23 Reactions
116 Replies
4K Views
Ukiwa mzinzi, utaandelea kuwa masikini. Uzinzi haupatani na HELA. Uzinzi unaua FOCUS. Kuna jamaa mmoja nilienda kumtembelea huyu jamaa mzinzi sana ila ameishia kuishi kwa madeni ya hapa na pale...
49 Reactions
139 Replies
4K Views
Kama kchwa cha habari hapo juu, WAKUU hii ipo mitaa karibu yote katika majiji makubwa na miji midogo hadi mikoani yani unakuta demu mkali kikweli kweli lakini ni MALAYA hatari yani AFISA MTOA...
5 Reactions
26 Replies
870 Views
Ebana wanawake wa Kimakonde ni habari ya Dunia, Niko nae ndani yapata wiki sasa yaani ni kazi kazi, nimesahau shida zangu zote. Yukoje? Ni maji ya kunde, kitunguu cha malolo wazaganza na chuchu...
5 Reactions
14 Replies
613 Views
Hivi TORONTO BAR ipo wapi Dodoma na Totoz zipo au Hamna?
2 Reactions
5 Replies
285 Views
Jamani wakuu nina mpenzi wangu, nimetoka kumpigia simu muda huu nimekuta inatumika, ninahisi wivu umenijaa sana nikatamani kumuambia alikuwa anaongea na nani ila nikapotezea, hebu naombeni mbinu...
3 Reactions
73 Replies
7K Views
HAKUNA BADIDILIKO LISILO NA SABABU NYUMA YAKE, HIYO NI TAA NYEKUNDU KAKUWASHIA. Kwenye mahusiano kuna mabadiliko mapya na kuna yale yaliyokuwepo ila sababu tu ya mazingira ya wakati huo...
2 Reactions
3 Replies
412 Views
Habari ya muda huu! Baada ya salamu. Naomba msaada wa kimawazo kwenu ndugu zangu wana JF. Kwakweli nimepata mtihani wa KUTONGOZWA ni mke wa jamaa yangu mmoja hivi. Yule dada namfahamu, lakini...
22 Reactions
95 Replies
8K Views
Imekuwa ikisikika kwamba baadhi ya wanandoa huwakataza wenza wao kwenda kuwapeleka watoto kwa wazazi wenza endapo waliwahi kupata mtoto/watoto kabla ya mahusiano mapya yaliyozaa ndoa.Mfano unaishi...
5 Reactions
20 Replies
776 Views
Salaam, Kupitia mada hii tutashare sababu mbali mbali zilizotutenga mbali na tuliowapenda sana. 1: ALINIDANGANYA BIKRA Huyu mrembo alinisubirisha sana, alinambia hajawahi anaogopa hivo kama...
21 Reactions
98 Replies
3K Views
Mimi nilimuuliza kama ananipenda kweli akaniambia yeye hana chuki na mtu.
37 Reactions
94 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…