Wakuu kunakipindi unafika unampenda mtu na mnaweka malengo ya kuwa pamoja kuna dada mmoja nilikutana nae na nilimpenda kweli tuliweka malengo mengi na tulipitia mengi pamoja ila tuliachana na...
Wanawake wanachukua muda kupenda.
Hivyo ni muhimu kwa kila muda unaopata pamoja naye uongeze mvuto wake kwako. Aone kwamba we ndo ‘wa kipekee’. Aone kwamba kwenye maisha yake yanahitaji awe na...
Nina mwaka wa nane wa ndoa na hakika nimekuwa ni mvumilivu Sana na mwaminifu Sana kwa ndoa yetu.
Nimezaliwa na kukulia kwenye familia ya Kikristo yenye msimamo mkali wa kiimani, hivyo Basi...
Co-worker ni mtu mnaefanya nae kazi
Ni kwamba nina informer/ mpelelezi ambae ni rafiki yangu wanafanya kazi sehemu moja na wife.
Recently kuna jamaa kaletwa hapo kutoka mkoa mwengine na wamekuwa...
Nawashukuru kwa mawazo yenu nyote, nimepata maamuzi mazuri ya kuchukua. Nimegundua humu jf kuna watu hawana busara. Mtu akileta wazo unatukana kwanini!?
Habari wakuu,
Tangu umejiunga JF naamini umesoma mada nyingi zinazohusu mapenzi na mahusiano kutoka kwa wadau mbali mbali hapa JF.
Kuna mambo umejifunza ambayo unatamani kila mtu ayajue
Kwa...
Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
Najua huwezi kuamini kua mimi sijakuchukulia mkeo na kwa taarifa yako sikujua kua alikua nimkeo.
Siku ya kwanza nilipokutana nae nimkuta anauza mihogo kando kando ya barabara huku kijasho...
habari ya weekend ndugu zangu wana Jf, mnaojiandaa na maandamano maandalizi mema
niko hapa naomba kujua vitu kadhaa kwenye kuanzisha mahusiano
kwenu wanaume kipi bora
kumuambia ukweli...
Habari wakuu,
Husika na kichwa cha habari,
Niende moja kwa moja kwa mada, visasi baina ya wanandoa chanzo cha mauaji ya wanandoa.
Kumekuwa na visa mbalimbali baina ya wanandoa kutoana uhai na...
Mimi ni kijana wenu mtanzania halisi ila kwa sasa nipo huku Malindi,Kenya kujitafuta.
Sasa, kinachonileta kwenu ni hivi: Kuna mwanamke (maana ni mwanamke ako na 35 years) tulikutana kwa app...
For so long time nimekuwa well off kwenye mchezo wa kikubwa ila kuna jambo lilikuwa linaninyima raha sana.
Mimi ni mwembamba mrefu, kama Kagame, ingawa Kagame amenizidi kimo na wembamba...
Sasa hii biashara imehamia mitandaoni ukiingia Telegram kuna mpka madalali wa wa kuunganisha madem kama unahitaji mkoa wowote ule unaunganishwa mabint wadogo kabisa wanajihusisha na hii biashara...
Ndoa yangu ina miaka 12 mimi na mume wangu hatuna shida, kabla ya mume wangu kuna mwanaume nilikua naye, alikua ni mume wa mtu, nilibeba mimba yake nilipomuambia akaikataa,
Kwakuwa kupindi hicho...
Mwenzenu nina ""aleji"" ya kuombwa hela
1. Ukiniomba hela basi ujue sura yako inabadilika kutoka Kuwa Beyonce kwenda Masudi sura mbaya..!!!!
2. Ukiniomba hela basi ujue hilo tako lako loteee...
Katika umri wa miaka 30 ndipo maisha ya mwanaume yanaanza kujibu au kuonyesha muelekeo. Hapa ndipo huwa tunagundua wapi tulikosea wapi tulipatia.
Kwa mabroo, wakina baba na wazee ambao mpo 30+...
Habari wadau wangu wa nguvu mlioko humu. Leo naomba kuwajulisha siri hii chungu kumeza!
SINA MAANA Kwamba Masikini wote ni Malaya HAPANA!
Hapa namaanisha Umalaya na Umasikini ni mapacha...