Unakuta ndugu zako kabisa wa kuzaliwa nao, achilia mbali hao wa upande wa baba au mama mnakuwa hamna maelewano mazuri; kupeana fursa hakuna, wakati mwingine ata kujuliana hali mpaka mtafutane...
Wakuu, haya maisha yanafunzo.
Niliwahi kuwa na mahusiano na binti mmoja tukapata mtoto mmoja, maisha yakatuchanganya, tukaachana, Kila mtu akaendelea na Maisha yake!
Mtoto aliniachia mawasiliano...
Salamu wakuu.
Asee leo nina mzuka wa kutoa stori ya wrong number.
Asee katika miaka yangu ya ujana sina kazi ila najishughurisha tu na mitikasi ya mtaani, sasa sku moja nimechil geto nikasema...
Mahusiano ni mchezo wa kutafutana ambapo kwa washiriki wa mchezo huo wengi hawajui nani wanamtafuta ndio maana unakuta hawa leo wanapendana ila kesho wanaaachana kwa sababu kuwa hawaendani sasa...
Kama mada ilivyo...
Huyu binti alimtumia mume wangu sms akamwambia I mess you. Awali niliipuzia kwamba anawasiliana na wanaume wake na lugha yake ya kukosea I miss you atakuwa amemess kweli...
Wanaume tumeumbwa mateso, Moja ya mateso ni kumfikisha mwanamke kileleni na usipomfikisha haijarishi hisia na anawaza nini lawama ni kwa mwanaume.
Unaoa mwanamke kashakuwa na wanaume zaidi ya 10...
Nadhan moja majukumu ya wazazi yanayoendelea kupotea ni wazazi kuwatafutia watotot wao wachumba wa kuoa au kuwaoa, binafsi nadhan utaratibu huu urudishwe tena upewe nguvu zaidi hasa kwa watoto wa...
Mitaani huku tunapoishi mtakuwa mashahidi kuna pindi inatokea unaelewana na jinsia tofauti ya yako KIURAFIKI tu..
Kwa mfano kuna mmama mkubwa anauzwa grocery na wewe ni mteja ukifika mnatia stori...
Inakuwaje Wanajukwaa
Mimi Fene ni jamii ya watu fulani wakimya kidogo kwa wasionifamu (wenyew wanadai hivyo) japo mwenyew naona nipo normal tu
Ssa Kuna baadhi ya traits nilizo nazo, mwenyew...
Civilization ni kiashiria kizuri cha intelligence wenzetu wametupiga gap katika vitu vingi Moja wapo ni hili la self contained room japo hata sisi kwa Sasa tumeamua kwenda nao sambamba ila...
Tayari uhusiano huu umezalisha watoto watano.
Wakuu tupeane maujanja ya namna ya kutoka kwenye mahusiano haya na matokeo yake (yote mazuri na mabaya) ya kuachana huko.
**Sitaki ushauri wa...
Yani huyu wakuja kabla hajaja mimi na mama yake tulikuwa tunaishi vizuri
Kidume nilikuwa nalala mapajani, nafanyiwa scrub mwili mzima na kukumbatiwa muda mote
Lakini ghafla toka huyu jamaa...
Sina haja ya salamu ila nataka tu kuwakumbusha ndugu zangu wa kiume ukiona unatumia nguvu kubwa ya kifedha kuendesha mahusiano jua tu huyo mwanamke hakupendi.
Mahusiano sio magumu wala sio ghali...
Wanabodi, najua humu kuna wajuzi wengi sana kwa heshima ya JamiiForums. Kuna jamaa yangu (si Mngoni) lakini alikuwa na demu wa Kingoni tena daktari kitaaluma lakini akiwa amevuka kidogo umri wa...
Alinifumania lile fumanizi ambalo halina kupinga! Yaani, fumanizi la 100 percentage...
Zikapita siku mbili hanitafuti, nami nikawa kimya na mawazo sijui naanzia wapi kujitetea. Nikaona isiwe...
Huwa najiuliza mimi, au ndo kutokujua au ni ushamba ,sijui kibeseni mimi.
Naonaga watu wengi ili kuonyesha kwamba anampenda mke au mpenzi wake, utaona wengine wanabusiana. Wako wanaowabusu...