Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Naomba nisisitize hili kwa mara nyingine tena. Ndoa lengo lake kuu ni uroda. Zama hizo (mwaka 47) watu walikuwa na maadili ya kufa mtu kiasi kwamba ambaye hajaingia kwenye ndoa ilikuwa...
9 Reactions
48 Replies
3K Views
Nilipokuwa na miaka 19 nilikuwa natamani sana urafiki wa kimapenzi na shangazi yangu (Dada wa Baba). Shangazi yangu ni mwanamke mzuri sana. yaani saana Alikuwa na miaka 36 wakati huo. ndugu zangu...
5 Reactions
106 Replies
8K Views
Nimesikia na kusoma visa vingi vya wanaume kutanguliza picha au kuonesha uume kama kianzio cha kumvutia mwanamke. Je, ni kweli kuwa hii ni njia sahihi ambayo inamfanya mwanamke kupata ushawishi...
6 Reactions
137 Replies
12K Views
Baada ya kupiga hesabu ya kumiliki mwanamke nje ya ndoa nimeona kuna gharama kubwa sana zinazosababisha hela kupotea. Pesa ambazo ningezifanyia mambo ya msingi sana. Sasa Toka January nikaamua...
7 Reactions
54 Replies
3K Views
Matumaini yangu wote ni wazima humu (Mungu ni mwema) hii mada itawalenga moja kwa moja Wasichana/Wanawake ila pia Mwanaume ukisoma utajifunza kitu Asilimia kubwa ya wanawake wakitongozwa huwa...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Habari za leo wanajamvi? Jana jioni nimekutana na kioja mtaani kuna dada mmoja yuko single amerudi nyumbani saa 6 usiku (anakaa kwa wazazi) wakagoma kumfungulia geti (alikuwa na gari yake) na...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
Wengi tungependa kuishi na kulelewa na wazazi wetu waliotuzaa lakini maisha yana changamoto nyingi. Kuna wanaozaliwa na wazazi wanapoteza maisha, wengine ni matokeo ya kubakwa, wengine ni mimba...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Nilikuwa na mchumba wangu ambaye nilimpenda sana. Tulidumu kwenye mahusiano kwa miaka 4. Ujasiri wa kumpenda ulikua mkubwa sababu nilimjua tu baada ya yeye kumaliza kidato cha nne. Mtoto alikua na...
91 Reactions
93 Replies
13K Views
Huu mji una mademu wazuri kiasi si sana Mademu wakali either wanaasili ya Musoma au Kagera ambayo ni mikoa jirani. Mademu wa Mwanza wako vizuri katika kugawa namba ya simu ila cha ajabu hawajui...
11 Reactions
38 Replies
7K Views
Wakuu, juzi kati nimekutana na hali ya utofauti ambayo sijawahi ku,experience katika swala zima la kutongoza. Iko hivi...Mtaani kwangu kuna manzi ambaye tulijuana nae miaka mitatu nyuma wakati huo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Ukiona mwanamke ana degree maana yake ni kwamba mwanamke huyo ni mvumilivu na amevumilia mambo mengi sana. Kapambana na umande wa shule ya msingi kapambana kuanzia form one hadi form six na...
12 Reactions
146 Replies
13K Views
Naamini kwa kuwa wana JF ni ma great thinkers watanisaidia kwa hili, Yamenikuta mimi to be open. Hivi unawezaje kumudu hii hali??Unakuta jamani unaempenda hakupendi kama wewe unavyompenda(yaani...
6 Reactions
69 Replies
13K Views
1. Wako radhi wa-share mwanaume mwenye mafanikio kuliko kushikamana na a 'loser' ambae yuko faithful kwake 2. Many do not marry for love. 3. Yule mwanamke unaemuona ni 'innocent and a nice girl'...
6 Reactions
31 Replies
4K Views
Hapo vip!! Katika karesearch changu niliyofanya, nimegundua wanawake wengi ambao nwachawi na washirikina dhidi ya waume zao au watu wengine ni wanawake ambao hawajasoma. Ukiwa mwanaume umesoma...
5 Reactions
65 Replies
9K Views
Hello guys Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia...
9 Reactions
135 Replies
10K Views
Jamani,nina washikaji zangu kama wanne hivi hapa mjini,wote ni tellers Nmb,fnb na crdb ebana hawa jamaa wanatafuna warembo hapa town mpaka me nawaonea wivu..yani hawajaoa ila kila siku wana...
0 Reactions
62 Replies
8K Views
Kila mwanamke ili atulie kabisa,anaitaji wanaume wa aina tatu. 1.Anaeujaza moyo wake,yaani hata akinywa maji anamuona mwanaume anaempenda yaani wanaita true love wake 2 .Mwanaume muhongaji...
8 Reactions
77 Replies
11K Views
Hapa mtaani kuna dada mmoja wa kidosi anasumbua sana huyu dada ni mzuri ameolewa na jamaa mmoja mtu mzima mambo safi sana. Kitaa masela wote wanamkubali sana si kitoto na jambo zuri hana majidai...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Shalom, Sina mengi zaidi kichwa Cha habari kinajieleza, mamlaka husika ikiwemo wizara yenye dhamana ipate kulitizama hili swala. Vilaza wengi wanaodanga na machangu, waliofeli kwenye Ndoa...
10 Reactions
16 Replies
705 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…