Natumai mu wazima wa afya,kwanza namshukuru Mungu kwa uzima na afya,namshukuru pia kwa kunipatia vlad, wengi mlinibeza na kutoa maneno makali lakini nashukuru pia kwa mlioniunga mkono juu ya...
Baba yangu mdogo Jana aliniita na kunieleza jinsi anavyoumia kwa kile mdogo wetu amekifanya kwa kutuleteaa mwanaume wa kislamu amuoe wakati sisi ni wakristo.
Mzee anasema hivi wanaume wameisha...
Nimekuja Leo Arusha Kwa mambo yangu binafsi mara ya mwisho kuja hapa Arusha ilikua 2010 ! Nmezoea maisha ya dar Yani, maisha ambayo kupata mwanamke ni rahisi sana, kama nmewachoka makoloni yangu...
Dada zetu sijuhi lini mwalimu wao atakuwa anaona!
Yani akipigiwa simu na Meneja wa benki amtembelee ofisini kesho yake analiwa kilaini.
Kuna jamaa yangu jirani hapa anawamega hatari.
Watoto...
Ndugu Jamaa na Marafiki.
Nasikitika kutoa taarifa juu ya madhira aliyokutana nayo dada na ndugu yetu HEAVEN ON EARTH jana usiku.
Akiwa anaelekea nyumbani kwake jana usiku alivamiwa na...
Hope mko poa,
Mimi Arusha ndio home, naishi Lemara ila kwa sasa nipo Dar es salaam.
Hii sikuku ikabidi niende tuu home Jumamosi, nilikuwa pande za Njiro bar moja inaitwa blacklist tulikuwa na...
You know what babe,
Your Voice
Your Smile,
Your Touch,
The way you do your Homework,
The way you look at me and take gasp without being noticed aahahahahahaaaa I just love you boo... yeah I...
Ni hivi juzi tu simu imeita, napokea anajitambulisha mimi shemeji yako mke wa rafiki yako A, mimi namwambia aaah sawa shem,vipi kwema, anasema sio kwema rafiki yako kutwa na wanawake anahonga pesa...
Wasalaamu wakuu niende kwenye mada,katika vitu ambavyo wanaume wengi tumekuwa tukidanganyana ni kuwa mwanaume hawezi kulia kwa ajili ya mwanamke hata mimi nilikuwa miongoni mwao lakini nimekuja...
Kama umri wako ni zaidi ya miaka 30 na huna mpenzi anayeeleweka wa kuanzisha na wewe familia jaribu kujichunguza.
Inawezekana unatabia mbaya, maudhi, kujisikia au una tatizo lingine la kimuundo...
Wengi huumizwa na mapenzi kwani hao wapenzi wao wamewapata kwa ku fake maisha.. mtu anajimwambafai kuwa hela zipo,burudani ndio kisima,shida hazijawahi kusumbua wakati kiuhalisia si sahihi...
Leo Nina siku ya nne tangu nifike hapa Dar es salaam nikitokea mkoani kwetu Shinyanga.
Siku ya njana baada ya kukamilisha shughuli zangu zilizonileta hapa nikaona niende Mwananyamala kwa wauza...
Ebhana kwa wadau wa JF ambao ni wahenga kidogo waliokuwa kwenye balehe miaka ya 80 na 90, watanielewa ipasavyo!
Miaka hiyo bhana kupata demu haikuwa issue bali issue ilikuwa kumla huyo demu...
Huyu mdada toka nimemfahamu mwaka 2016 namfuatilia na kumsihi anipe nafasi nami ni-enjoy uzuri wake; nimekuwa nikimsihi sana anipe lau nafasi moja kuupoza moyo wangu.
Ananaambia nisubiri kwanza...
Kuna mwanamke ana tattoo kwenye ziwa ,nampenda na natamani awe mke wangu,lkn nikiwaza ule mtatoo siku nikimpeleka kumtambulisha kwa ndugu zangu wakaiona ile tattoo si itakuwa taflani?
hivi nyie...
Wadau shalom,
Tunaelekea miezi 2 sasa tangu tuamie kwenye nyumba yetu, ni sehemu ambayo bado haijajengwa sana, nyumba nyingi bado hazijaisha ni masaiti yanayokaliwa na walinzi, mimi na mr wote...
Katika mtaa niliyo bahatika kujenga banda langu la kuishi nime-"wachapa" mno wanawake. Si wake za watu, si mabinti za watu wala mabeki tatu, wote nimeburuza
Kila anayejibebisha anapata bakora...
Habari wakuu
Ni matumaini yangu mnaendelea vizuri na mapumziko ya wiki. Ijumaa hii iliyopita wakati natoka kazini nilipitia Magomeni kwa dhumuni la kwenda fundi wa redio ya kitorori changu...