Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wasaalam, niende kwenye mada,miezi mitatu nyuma katika kutafuta maisha kijana nikapigiwa simu ngeni,mwanamke akanambia kapewa namba yangu na mtu hii ni kutokana na mishe zangu za vibiashara...
4 Reactions
104 Replies
8K Views
Hapa karibuni niliingia kwenye mahusiano na dada mmoja wa makamo hivi, alikuwa kwenye miaka 43+ na mimi kwenye 25+. Before hatujaanza kudate aliniuliza kwanini nimeamua kumpenda mwanamke kama...
10 Reactions
96 Replies
14K Views
Mwaka 2012 nikiwa niko chuo mwaka wa mwisho nilirudi nchini na nilienda field mgodini Bulyanhulu, nikiwa pale Namanga feli napumzika nasubiri muda wa kivuko niondoke kwenda upande wa pili ili...
25 Reactions
70 Replies
12K Views
Jamani jamani, baada ya kufanya engagement kuna hawa mabinti wawili hapa job wamenichunia, kila mmoja kwa wakati wake!! Sikuwahi kumtongoza hata mmoja kati yao! Zaidi ya kusalimiana tu na...
7 Reactions
52 Replies
3K Views
Hii ndio wiki ambayo utasikia watu wamelazwa kwasababu ya mapenzi. Walipokutana chuoni Mara ya kwanza waliambiana sijaoa wala sina mpenzi , hivyo wakakubaliana kuishi mume na mke na pengine kuja...
5 Reactions
19 Replies
2K Views
Jamani wana Jamiiforums wenzangu nimebaki njia panda. Nilienda kumtambulisha mchumba wangu kwa wifi zake (dada zangu) juzi jumatatu huko kwetu sinza mida ya jioni baada ya kutoka kazini kwa kuwa...
5 Reactions
304 Replies
26K Views
Kama mada inavyojieleza wadau. Nina rafiki yangu ambaye anamiliki Mini supermarket. Na pale amemuweka mke wake aisimamie. Mara kwa mara mimi hufika pale kwa ajili ya kufanya manunuzi na...
9 Reactions
92 Replies
10K Views
Wanabodi, Sherehe za wahitimu 2019 zimegubikwa na kasheshe za hapa na pale. Mabaharia waliosomesha na kutoa huduma vyuoni wamelia baada ya kushuhudia mahusiano mapya kipindi hiki cha sherehe...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Mimi nina rafiki yangu ambaye ana uhusiano na mwanamke fulani hivi na alishamtambulisha kwangu.Na kiukweli huyo mwanamke ana mpenda sana rafiki yangu nakumbukaga wakati my friend huyo mwaka wa...
2 Reactions
70 Replies
7K Views
Kweli uzuri wa mkakasi ndani kipande cha mti. Huyu dem anakaa mitaa ya Temeke pile Sasa tulikutana kwenye mitaa ninayokaa yeye akawa anaulizia nyumba moja hivi ikabidi niombe namba lakini pia...
6 Reactions
80 Replies
16K Views
Habari zenu wazee wa mmu, Nina mfanyakazi mwenzangu ambae pia ni best yangu sana kwa kuwa hata mipango ya maisha huwa tunapeana mbinu mbili tatu ili tuweze kuzidi kunyanyuka kimaendeleo. Mimi...
23 Reactions
149 Replies
14K Views
Watani zangu bna Hela ipo .mnamiliki simu Kali ila kuandika sms ni shida. Yaani ukidate mchaga sahau romantic sms.hata akiandika haina mvuto full macapital letters yamemiksiwa na small letters...
22 Reactions
162 Replies
15K Views
Mwanamke bila msimamo huwa ni sawa na choo cha kulipia, yeyote mwenye pesa ya kukidhi hitaji la kutoa haja yake, huingia na kutoa kisha huondoka na kuacha harufu na uchafu wake. Usichana ni sawa...
10 Reactions
45 Replies
6K Views
Wakuu Hawa ni Watu Ambao Wanaweza Kumla Mwanamke Wako Bure Kabisa. -Ex Wake -Baba Mchungaji -Bosi Wake -Rafiki Yake Wa Kiume -Baba Mwenye Nyumba -Dokta mtoa mimba -Muuza Chipsi -Bodaboda -Mangi...
30 Reactions
165 Replies
18K Views
Kama kichwa cha uzi kinavyojieleza.Awali ya yote hakuna mzazi yeyote mwenye akili timamu anaependa mwanae aharibikiwe,hivyo atafanya lolote liwezekanalo katika kumsaidia mwanae akue na kuwa mtu...
9 Reactions
24 Replies
3K Views
ukweli nampenda huyu mwanamke na naamini nae ananipenda, natamani tuje kuishi pamoja(mke na mume), mimi natoka familia masikini(naweza sema sana) ila mwenzangu amezidi. nimejitoa kua kwa...
10 Reactions
101 Replies
9K Views
Habari viongozi, na watu wote. Naomba kwanza ku-declare my side ni kwamba siwezi kumwacha mke wangu niliezaana nae hata mtoto mmoja tu kisa amechepuka. Kuna ndugu yetu humu ndani amemfukuza jana...
9 Reactions
95 Replies
6K Views
Tunaposhangilia wanawake waliofanikiwa! Tusiwabeze waliopigwa na maisha kwa kukosa nafasi za uteuzi au ajira! Tusiache kuwapongeza hawa wanawake waliotemwa na mfumo kwa kugomea rushwa ya ngono...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Mimi nimeanza kazi 2018. Nilipofika tu kuna mwanaume mtu mzima akaanza kunitokea. Baada ya kunisumbua kwa muda mrefu nikampa masharti kuwa sitaki sex mpk ndoa, akakubali. Amekuwa akishinikiza...
3 Reactions
76 Replies
4K Views
Tuache mchezo Kinondoni sio sehemu ya kujivunia kuwa na mpenzi, au mchumba mana sio Kwa Malaya walivyojazana vile kama njugu ukija Moscow makahaba Wamejazana, uje studio makahaba ukikimbilia baa...
23 Reactions
61 Replies
8K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…