Habari ndugu zangu,
Napenda kutumia nafasi hii kuwainua mioyo wanawake wenzangu wenye nia kama niliyokuwa nayo ya kuishi na mume.
Katika imani, subra na uvumilivu inawezekana. Mwenzenu...
Jana katika pita pita zangu mjini nilipita mitaa ya karume kule ilala kwa vile wkt nipo mkoa niliskia soko liliungua basi nikasema kwa vile nipo mjini nakula likizo ngoja nikashangae mji.
Sasa...
Leo nimekuja tofauti, nataka tuongee hili,,mimi binafsi nina tabia za ajabu kidogo ambazo huwafanya wasichana waniogope sana.
Sijui kubembeleza, sina jokes na wasichana ambao si plan kutoka nao...
Wazima wote? Natumaini ni wazima.
Kama kichwa kinavyojipambanua, wanawake kama siyo mabinti wengi wa Kitanzania na Afrika kwa ujumla wanaona fahari mwanaume kusumbuka kwa ajili yake hata kama ni...
Kumbe kutongoza ni kazi ngumu kiasi hiki
Mwenzenu nataka sasa niingie kwenye mahusiano baada ya kukaa sana kwenye mahusiano ya pesa yaani kupiga saana. Hawa malaya nimeona nitongoze Sasa ila...
Habari JF mapenzi.
Ktk pitapita zangu niliwahi kutoka ama kurock na mwanaume wa kimasai.
Kwa kweli niliinjoi mahaba na sijawahi ona mapenzi ya aina hiyo ila kaka mwenyewe alikuwa na hasira sana...
Hivi ilishawahi kukutana na ile situation umekutana na mwanamke barabarani, kila unapojaribu kuzungumza naye, yeye haoneshi attention yoyote ya kuzungumza ama kuvutiwa na wewe! imani yangu watu wa...
Nusu yanigeuze chizi, Ilibaki kidogo niwe teja!
Nakumbuka kipindi hicho 2019, Hakuna mwanadada niliewahi kumpenda kama Modesta, Mama yangu alilifahamu hili,
Wazazi wake hawakuwa na kipingamizi...
Kwa wale wafuatiliaji, niliwahi kuwapa story ya mwanadada aliyekuwa haelewani na mmewe kiasi cha kupigwa na manyanyaso kadha wa kadha! Akafikia hatua ya kulipeleka jambo hili kwa mjumbe na ngazi...
Huku mitandaoni single Maza hathaminiki. Maneno meengi ila ukija field sasa mwanamke WA miaka 40 mwenye watoto watatu ni rahisi kuolewa kuliko mwanamke WA miaka 40 Bikra.
Kuzaa sio mwisho wa...
Chonde! Chonde! Akina dada.
Usiombe ukazaa kabla ya kuolewa ukawa single mother.
Ndoto zote za kuwa na mume wa ndoto yako hukoma siku utakapo toka labour ukiwa na mtoto asiye na baba.
Machaguo...
Kama kichwa kinavyojieleza!
Mimi ni kijana nipo katikati ya miaka ya 30's na nina mke na watoto wawili.
Nikiri yakuwa mke wangu ni mzuri sana na mwema sana kwangu, mishahara yetu tunaiweka kwenye...
Mabinti oleweni sehemu zitakazowapa furaha ya maisha usitazame pesa tu kwamba akiwa nazo akuoe basi hakuna shida yoyote.
Tambua pesa haiwezi tibu kila kitu ukikosa furaha mahali ulipo ndoa hiyo...
Shalom,
Wanaume wakisuma hawana maajabu ya uchangamfu they are not pepper but women have concluded wasukuma wanaongoza kwa kuwa na Mujumba Bujumba mukubwa
Taarifa fupi mengine yaendelee
Wadiz
Habari huu uzi unaweza kuwa muendelezo kama uzi wa Riki boy kula Kimasihara maana kila siku tunakutana na manzi.
Katika harakati za kuangalia warembo nikaingia dating site moja. Basi kuna manzi...
Shalom,
Fuatilia kichwa cha habari ndivyo ilivyo uzoefu wangu ana wanaume wanyanduaji wengi wao hawanaga vitambi. Na wengi wao afya mgogoro.
Karibu kwa mjadala na uthibitisho
Ni hayo tu
Wadiz
Kama kichwa kinavyosomeka (Sorry nimeshindwa kuandika kwa kiswahili).
Huyu binti ana 30+yrs na hajawahi kufanya mapenzi (Sababu ni imani yake, no sex mpaka ndoa) sasa nimemuoa ni mwezi 1 sasa ila...
Kwa wadada wenzangu na wake za watu, je unamkumbuka mwanaume aliyekutoa usichana wako, yaani Bikra?
Je, alipo kutoa ulimwambia asante kwa furaha?
Unakumbuka ilikuwa ni wapi?
Je, siku ya kwanza...