Habari wakuu.
Hii imenikuta juzi tu hapa.
Mara kwa mara siku za weekend napenda kwenda club huku South Africa sasa bana kuna kidemu fulani hivi nishakipitiaga miezi iliyopita mara moja tu. Sasa...
Zamani nilikuwa nasikia wazee wakisema kuwa kabila la wapare lina mila za ajabu sana na moja ya mila zao hizo ni ile ya wazee wa kipare kutembea na binti zao kabla hawajaguswa na watu wengine...
UKISIKIA ULIVYOSEMWA KIPINDI HAUPO TENA NA AMBAO ULIJUA WANGEKUTETEA HATA USIPANIC( HAMAKI), NDIVYO ILIVYO KWENYE JAMII MASKINI ✍️
Moja ya sifa kubwa ya maskini wa fikra ni kuongelea wengine...
Hivi kwanini wanachuo wengi wanawachukuliwa kama wadangaji au malaya? Hii sio sawa. Jamii inatakiwa ielimishwe sio kila mwanachuo ni malaya. Ni hali tu ya kuwa smart na mavazi tu nothing else.
Naomba kuuliza eti pesa au biashara haviendani na uzinzi au kujaamiana na watu flani flani au kujamiiana na mtu flani specifically
Je ni kweli pesa huwa inakimbia ukianza kufanya uzinzi
Au ukiwa...
Kwema Wakuu!
Hii inavunja moyo kwa wanaume walioamua kuoa single Mothersl.
Haiwezekani binti umelelewa tangu ukiwa mtoto, ukasomeshwa na Baba mlezi(wakambo) ukamaliza mpaka chuo cha usimamizi wa...
MARAFIKI ZETU MTUSAMEHE SANA
Siku zote ukimya wa marafiki unaumiza kuliko kelele za maadui. Lakini marafiki zetu mtuelewe kwamba ukimya wetu haumaanishi kujitenga, kuringa wala kuvimbiana...
nduguu zangu aisee unaweza kukata tamaa mke wako asifanye kazi yeyote abaki nyumbani tu,
mi nakaa mitaa flani wanapobomoa bomoa uku dsm, kuna jirani yangu anafanya kazi uhamiaji na ni mtu mzito...
Habari wana MMU,
Nina mpenzi wangu ambaye tuna muda kidogo. Hapa kati niligundua anachepuka baada ya kuona msg kwenye simu yake,nilipomuuliza akakataa katakata na ugomvi juu nkajishusha yakaisha...
Habari zenu, sihitaji kashfa wala matusi hapa maana kuna watakatifu humu koo zao hazina singo mama wala walioachana..
Jf wanapita watu wengi mnoo!!! waliojiunga na wasiojiunga naomba kuuliza hivi...
Umekutana na binti mjini Dar, binti huyu wazazi wake ni wanasiasa tangu enzi za chama kushika hatamu. Wana eneo la heka tano na zimezungushiwa uzio.
Mapenzi yenu yameiva mpaka mnaona. Siku ya...
jamaa yangu huyu tupa tupa kupata kuna mungu alikuwa anajiita dume la mbegu ,dangote aka bill gates. kipindi cha nyuma alikuwa na ukwasi kutokana na shughuli zake rasmi na zisizo rasmi.wengi...
Mademu Niliowala mpaka sasa wanatosha aisee kwa sasa ngoja nitafute pesa kwanza kama kuwala nitawala tena Baadae,
Kuna baadhi ya Viumbe huwa navitamani sanaa ila kwa sababu ya utofauti wa...
Ayesha akiwa na mume wake Steph
Mke wa mchezaji mahiri na wa Basketball,; Steph Curry, katika mahojiano na chombo kimoja cha habari amedai kwamba anashangaa na wakati mwingine anasikitika kwanini...
Asili ya mwanamke ni pambo za tabia njema,uadilifu na uaminifu toka enzi na enzi ,mwanamke akibeba zege watasema kama dume vile ila mwanaume akipika hawasemi kama mwanamke vile
Wanawake baadhi wa...
Ni msg nimeiona kwenye simu ya mdogo wangu wa kike miaka 18 ameituma kwa rafiki yake wa kiume.
Baada ya kufuatilia aliye tumiwa ni mwanaune wa miaka 38.
Nisaidieni nimshauri vipi huyu dogo...
People understand please i don't want married man in my life ish
Understand that i need single man. For now i don't want someone to inbox me.
And another thing you have been told inbox me with...
Salam wakuu. Hakika nimepata mgagasiko WA nafsi na roho katika hili. Dada zetu na mama zetu mmekua mkitumia miili yenu kama sehemu ya ahsante pale mnapo tendewa jambo Fulani jema au haya kusaidiwa...
Wanawake wako tofauti sana na sisi wanaume,
Mwanaume anaweza kuchepuka si tu kwamba hampendi mke wake hapana ila anaweza kuchepuka tu kwa sababu ya tamaa mfano,
Kasikia kwa rafiki zake wakisifia...
Wale viumbe wanakuwaga hatari sana alafu asilimia 90 ya mama ntilie wote wana chura flani na hipsi teketeke,
Kuna mmoja alikuwa na mgahawa karibu na gheto kwangu, sasa ile kwenda kula kila siku...