Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Wanajamvi habarini... Kuna mwaka fulan yalinikuta sitosahau!!! Ilikuwa jioni nitoka kijiji jirani kwa mshikaji wangu. Wakati narudi home mida ya jioni kigizagiza ndo kinaanza, kwa mbali nikaona...
6 Reactions
17 Replies
2K Views
Habarn wandugu Naona kuanzia wiki iliyopita watu wamekua wakiwasakama Sana wanaume wa dar kisa Hawa vijana wetu kutoka KINONDONI Kwanza kabisa naomba niwatoe hofu wakaz wa dar,. Kipolisi hakuna...
4 Reactions
5 Replies
2K Views
WanaJF, nisaidieni kwa hili maana amekomalia apo tu. Nafikiria mbali sana lakini sina imani nae naweza nikawa nalipa hiyo kodi then wanavua chupi wengine
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Ni siku tatu sasa tumemaliza mazishi ya watu wawili; Mwanamke na Mwanaume na wote walikufa siku moja kwa tofauti ya masaa tu. Maneno mengi yalisemwa ila kubwa na lililoteka hisia za wengi ni...
45 Reactions
102 Replies
11K Views
Narudia tena kwa wale wenzangu na Mimi wenye ndoto za kuoa mabinamu zetu tukutane hapa! Unajua raha ya kuoa binamu Mali haendi mbali na hakuna tatizo lolote la kuzulumiwa mtoto hata kama utasafiri...
2 Reactions
62 Replies
5K Views
Wajua mimi ni mtu ambaye sina rafiki permanent nina mazoea sana ya kuongea na kila mtu, na ninapenda mno stori na utani na masihara ili mradi nifurahi Kwa kifupi mimi kwa siku kununa ni nadra sana...
1 Reactions
27 Replies
2K Views
Heshima kwenu mmu.Unajua siku hizi watu wengi wanashindwa kula chakula cha wapenzi wao kisa mboga kaizoea so anataka kubadilisha. Hiyo haisaidii coz utajifanya kula nje ya ndoa na utarudi unahara...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Baada ya kumaliza Chuo mwaka jana life ikapiga vibaya mno, kila muda nilikuwa nawaza jinsi gani nitasaidia familia yangu (Ni mtoto wa kiume mkubwa) Ilikuwa inauma sana pale ambapo unaamka asubuhi...
106 Reactions
312 Replies
14K Views
Salamu wanajamvi.polen na shughul za maisha kwa wale wanaoumwa polen sana na Mungu awawekee mkono mpone haraka.Polen Watanzania wote na wapenda aman wa nchi hii ktk hali hii ngumu ya vururgu...
1 Reactions
60 Replies
4K Views
Najiuliza................. Ni kweli mpango wa kando a.k.a nyumba ndogo husaidia kupunguza stress za nyumbani kwako?? Kama si kweli mbona unakwenda kumsimulia mpango wa kando mambo/matatizo yako...
10 Reactions
422 Replies
20K Views
Ndugu zanguni yamenikuta na naomba ushauri wenu,Mimi ninaishi na mume wangu yapata miaka miwili sasa,nina mpenda sana Mume wangu na ninaamini kuwa naye ananipenda pia.Ila kuna tatizo linanisumbua...
5 Reactions
149 Replies
11K Views
Alikuwa ni zaidi ya mama.......... Sikumbuki umri wangu kamili wakati ule, lakini bila shaka nilikuwa na umri wa miaka kama sita hivi. Nakumbuka sisi nyumbani tulikuwa miongoni mwa familia za...
21 Reactions
41 Replies
5K Views
Jamani mimi nina mchumba wangu mwaka wa 7 sasa,kwetu hajulikani rasmi na nina mpango siku moja nikamtambulishe,lakini inavyoonesha home hawamkubali sana na mimi mwenyewe wazo la kumuoa nahisi...
0 Reactions
70 Replies
6K Views
Wanabodi salama? Najua ni BLUE MONDAY..lakini sio issue sana mradi jamvi lipo naamini hakuna kinachoharibika... Kumekuwepo na 'myth' kwamba LOVE IS BLIND...ikimaanisha kuwa mara nyingi mapenzi ni...
17 Reactions
236 Replies
10K Views
.... Enzi hizo bwana wakati nasoma nilikutana na watu aina nyingi. Mpaka nikawa nashangaa were the weird type made especially for me? 1. Kuna siku moja bwana nimejikalia mwenyewe all alone pub ya...
0 Reactions
30 Replies
3K Views
Nimeikumbuka hii miezi kadhaa iliyopita kabla ya fastjet kuwepo nilipata shuhudia tukio flan nikiwa kwenye safari moja pale mwanza,basi nikiwa nimemaliza semina ya cku6 kule mwanza nikawa pale...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Ni ushauri tu kuna hii tabia ya wakaka /wababa/wazee wanaotoa matangazo yao ya kutafuta wachumba humu mtu anatiritika sifa za amtakae then kuna hiki kipengele mnakipenda sana sijui ndo wimbo wa...
16 Reactions
94 Replies
6K Views
Fumanizi husababisha hisia zenye maumivu, hasira, kutokuaminiana, woga, aibu na kujilaumu. Lakini kufumania au kufumaniwa hakupaswi kuwa sababu ya kuwa mwisho wa ndoa yenu, ingawa kunaweza kuwa...
5 Reactions
34 Replies
7K Views
Nilikutana na binti mmoja chuoni nikampenda sana na yeye alinipenda tukamua kuwa wapenzi na kwakuwa alinipenda,ilimbidi aniweke wazi kwa kila kitu.Aliniambia alikokuwa alikuwa na mpenzi wake ila...
0 Reactions
40 Replies
6K Views
Ndugu wana JF, poleni na majukumu ndugu zangu. Moja kwa moja katika mada kama kichwa cha habari kinavyo jieleza. Kumekuwa na sintofahamu baina ya hawa dada zetu hasa pale tunapo omba gemu na wao...
5 Reactions
15 Replies
809 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…