Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Habari zenu wana MMU.We husika na kichwa cha habari hapo juu moja kwa moja kama kinavyo jieleza kama ni kweli au si kweli....... FUNGUKA HILO NENO SASA.....................
0 Reactions
34 Replies
40K Views
Hivi shanga zina mchango gani katika shughuli nzima ya mapenzi na huwa zinamtia nani zaidi mzuka kati ya mwanamke na mwanaume
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Kila nikipata mpenzi tunakaa kidogo tu tunaachana, hata kama namjali kwa pesa, kumjulia hali mara kwa mara kutoka nae ( kumtoa out) yaani kwa kila binti ninaempata hata nimtendee wema kiasi gani...
5 Reactions
43 Replies
910 Views
Msaada wenu unahitajika hapa
3 Reactions
2 Replies
233 Views
Wajibu wangu ni kupiga mbiu mamlaka timizeni wajibu wa kuilinda jamii. Mkisikia ushoga upo basi jamii underground wanayaona na kuyafunika kuna Tetesi zisizo na mashaka za miaka mingi, bodaboda na...
28 Reactions
209 Replies
14K Views
KULA SANA BATA HATA KUKU WOTE LAKINI KAMWE USIWASAHAU NDUGU ZAKO. "Kama MUNGU amekujalia uwezo mzuri wa kiuchumi, weka nguvu kwa ndugu zako pia. Usiwasahau ndugu zako kwasababu ipo siku...
20 Reactions
43 Replies
1K Views
Nimekua pamoja na huyu binti kwa miaka miwili na ziada. Marafiki na baadhi ya ndugu kila upande wanajua mahusiano yetu. Kilichopelekea kuachana nae ni hali yangu duni kiuchumi. Kwa kipindi cha...
50 Reactions
177 Replies
7K Views
Tofauti nasie Me, Mwanamke anaposaliti kuchepuka ,ameamua kufanya hivo Kihisia, na hii inamaana Akili yake yote inakua imeshajikubali na ipo tayari kwa lolote. Sasa Basi, Unapotokea umegundua...
102 Reactions
232 Replies
31K Views
Kwa wanaume na wanawake, Mnawachukuliaje wanawake na wanaume wafupi?? Maana humu comments nyingi . Mnawasema vibaya kwani wanashida gani?? Tuambieni tujue
8 Reactions
83 Replies
2K Views
Wakuu mwakeyeee, wengine sibhota, mwagumaaa? Kuna dada mama ntilie nilikuwa nakula chakula kwake na nilikuwa nampelekea wateja sana ambao walihtaji chakula wakiwa ofisini kwangu basi nilihakiksha...
4 Reactions
32 Replies
2K Views
Nchi hii labda kama hujazunguka utakimbilia kuoa wahehe na wabena Ukipata bahati ya kutembelea maeneo haya ni lazima utajitafakari upya Dodoma - Warangi Manyara - Wambulu (wairaqw) Singida -...
7 Reactions
94 Replies
5K Views
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu...
7 Reactions
13 Replies
1K Views
Nilikua napitia mtandaoni nikakutana na hii kitu, kweli imenishangaza sana! Cha kushangaza zaidi ni michango ya wanawake wenzie. Hizi ndoa ni hi kuishi kwa akili sana.
5 Reactions
6 Replies
578 Views
Habari za mchana. Naomba niende kwenye mada, niliwai kua na bf flani ivi ni bodaboda nilimpenda sana kipindi hicho japo yeye alikua ni mtu Wa kuchukulia poa kitu kinachoitwa mausiano. Kwa Mara...
11 Reactions
141 Replies
22K Views
Wanawake ni aslilimia kubwa unaweza kuingia kimahusiano kwa njia ndogo ya imani zao mfano ukimwambia nitakuoa yani hapo umemvuruga kabisa. wengine imani zao wanaamini wanaume wenye imani zao ni...
1 Reactions
16 Replies
447 Views
SIpo single ila nipo yaani unakuwa hujielewi kama upo single au haupo. Sasa ni hivi na mshikaji wangu. Sio mpenzi tunapendaga kwenda outings kula lunch nakunywa . Kazi zetu sio za kujipangiwa ...
3 Reactions
53 Replies
806 Views
Nilibahatka kuoa binti wa kimasai, nilikuwa sina maisha napitia changamoto ya maisha lakini yeye wala hakunikimbia. Kitu alichoniambia nimtafutie shilingi elfu 35,000/= ya kufanya ujasiriamali ya...
28 Reactions
156 Replies
5K Views
Being in love is the best feeling ever🥰 Kuna ki feeling flani kizuri sana ukipendwa unapo penda,najua wengi tumeshawahi pitia hii hali either kwa mahusiano ya zamani au tilionayo kwa sasa. Kuna...
6 Reactions
94 Replies
6K Views
Iko hivi tumekuja nyumbani na kwao huyu mpenzi wangu kutambulishana, lakini muda wote ananisumbua nimpe na mimi kiukweli naogopa tukianza milio si itakuwa dharau kubwa kwa wakwe! Mwanaume hatulii...
19 Reactions
117 Replies
7K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…