Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Nawatakia waislam wote ramadhan kareem na swaumu maqboul......allah atupe mioyo ya imani na uchamungu.Biidhnillah inshaallah.
1 Reactions
2 Replies
930 Views
Wanawake wote wana uwezo mkubwa sana juu ya wanaume tatizo kubwa wanawake wengi wameshindwa kutumia uwezo wao na ushawishi wao kuhakikisha anamuweka mwanaume sawa na kufanya vile anapenda kwa...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Ukiwauliza dada zetu wangependa kuolewa na mwanamme wa aina gani? Wengi watakujibu kuwa wanapenda mwanamme mwenye msimamo thabiti kwenye maamuzi yake. Lakini cha kushangaza ni kuwa pindi...
1 Reactions
9 Replies
1K Views
Nimekutana na mjadala huu mahali.Katika mjadala huo mjadala ulikuwa,je baada ya kufunga ndoa ni wakati gani ulikua unapata usingizi mzuri usiku? . . . . . . . . . . . . . . . . . . . . Je kabla ya...
0 Reactions
42 Replies
5K Views
Ubaguzi wa rangi ni jambo linalochukiwa na wengi wa watu walio na akili timamu. Hata hivyo, katika nyanja nyingi linahalalishwa bila wengi wetu kuelewa. Kwa mfano, kwa nini Obama anasemwa kuwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
The moment Dennis Rodman meets his father after 42-year estrangement Former NBA star Dennis Rodman has finally met his estranged father after 42 years of separation. Philander Rodman Jr., who...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hii si kwa binaadamu tu,hata wanyama,ndege na wadudu mpaka watumie hakili ya ziada ndo wawapate wapenzi.why kwanini???
0 Reactions
21 Replies
5K Views
Wanawake wa siku hizi wamekuwa na tabia ya kuwasachi waume zao pindi wanapowaambia kuwa hawana pesa, mimi binafsi yamenikuta, mwanzoni alikuwa aki search na akikuta anakomba zote au ananiachia...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Imebainika kwamba, ni vigumu kwa mwanaume kugundua kuwa mkewe anatoka nje ya ndoa, kama mwanamke huyo anatoka kwa ajili ya kutafuta fedha. Ni kwa sababu, wanawake wanapotoka nje ya ndoa zao kwa...
8 Reactions
26 Replies
3K Views
Naomba kujua, mbinu gani ni sahihi ili kujua umri sahihi wa mpezi, nauliza kwa kuwa, ni vigumu kujua 'junior' au 'senior' hasa maeneo ya mijini. Hii itasaidia kuepusha mahusiano baina ya kijana na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Wana MMU wenzangu hebu leo tujaribu kuangalia hili katika mahusiano hasa wale ambao wako ndoani ama ambao wanamahusiano yanayowapeleka kuishi pamoja. Hivi karama ya uchapaji kazi na utunzaji wa...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Mume wangu ni mwanasiasa mwenye wadhifa wa juu ndani ya CCM. Maisha yetu kwa ujumla ni ya amani na upendo, ukiachia mbali matatizo madogomadogo. Usiku wa kuamkia jumamosi iliyopita. nilikuwa...
1 Reactions
114 Replies
8K Views
‎10 years ago..life had no complexity! You need to make a move to a girl,pick one of whitney or celine's tracks,attach part of the lyrics kwenye a 500 sh card,relax at home subiria majibu in...
0 Reactions
28 Replies
3K Views
Hivi ikitokea mpenzi wako kaamua kukufanyia bonge la surprise kwa kukununulia zawadi, We umetulia una watch TV mpenzi wako yupo chumbani mara akaja kutoka chumbani akakuambia "Supriiiiiiiiiiiise...
5 Reactions
29 Replies
2K Views
hello wana jf. nina rafiki yangu msichana alikorofishana na bf wake ambae anampenda, sasa anataka kuomba msamaha lakini anashindwa aanze vipi coz alimtext message ambazo anavosema mwenyewe sio...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Hello wana JF. Nina rafiki yangu mmoja ambaye kwa sasa yuko nchi ya jirani anasoma. Amemuacha nyumbani mke wake na watoto wao watatu. Mke wake ni mama wa nyumbani na anashughuli zake za...
0 Reactions
31 Replies
4K Views
habar wana jf!nawapenda sana kwa ushaur ambao mumekuwa mkiutoa hapa! mimi ni mwanamke mwny miaka 24 nimeolewa miaka 6 iliyopita! nina mtoto wa miaka 3 mume wngu ana miaka 48 aliponiowa alikuwa...
1 Reactions
73 Replies
6K Views
Huyu dada alikutana na huyu mtu kwenye pati ya harusi,wote walikua waalikwa.Jamaa akamwomba huyu dada contact dada akakataa,jamaa akawa anamsumbua dada wa watu mpaka akaiona pati chungu,lakini...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Ofisini kwetu kuna wafanyakazi wanawake ambao baadhi yao nimewakuta na wengine wamenikuta; na kati yao kuna wanaovutia na wasiovutia kabisa. Kati ya walioajaliwa nyuma yangu kuna mmoja ambaye...
0 Reactions
28 Replies
2K Views
Nimezaliwa,nikafikisha umri wa kwenda shule,nikaenda.Nimesoma mpaka hukoooo nimemaliza,nimekuja sijui nimejiajiri au nimeajiriwa. . . . . . . . . . . . . . . . . . . Nimeoa na nimepata watoto nao...
0 Reactions
62 Replies
4K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…