Nilikuwa nasoma jarida moja la Kenya juzi,leo nikakutana na kisa kile kile kwenye jarida la Drum,kisa chenyewe ni kuwa,mabinti na wanawake huwatosa wanaume ambao jamii inawaona mahandsome kwa...
Me list yangu ni hii,nawe njoo na yako.
1]manyara
2]tanga
3]kagera
4]mwanza
5]arusha
6]mara
7]tabora
8]dodoma
9]iringa
10]ruvuma
11]dar es salaam
12]mtwara
13]mbeya
binafsi nimekubali kuwa na guy ambaye najua anamsichana wake mud mrefu na nimewapa uhuru wa kuonana popote pale wanapojisikia ilimradi jamaa aniambie ukweli tu, na ninafanya hivyo huku nikiwa sina...
Just speak your mind; Kama umepewa 5000 Million shilings cash to end the relationship with whoever you are dating, hata kama mapenzi yenu ni ya miaka 5 au zaidi.....will you accept the offer.
Ndugu wanajamii wa jamiiforum mimi ni mwanachama mpya.
Leo naleta mbele yenu hii mada tajwa hapo juu.
Mara nyingi nimekuwa nikiwasikia watu wengi wakisema kuwa ili kuepukana na kuwa na uhusiano...
Baada ya takribani mwezi mmoja wa aliodhani wanawasiliana,
kumbe alikuwa anawasiliana.
Ilifika muda wakagombana...na maongezi yalikuwa hivi.
Me: tena hiyo namba yangu uifute
ke: ungejua...
Studies further show that couples who delay sex until their wedding night have more stable and happier marriages than couples who have pre-marital sex.
According to Asiphe Ndlela, a psychologist...
nina mipango ya dhati kuwa na mwenzi...
mwezi nov mwakani...
ila sina rafiki wakike ambaye niko nae kwa mahusiano ya kimapenzi
... wala mchumba mpaka sasa...
naomba ushauri wako ww mwenye...
Mshkaji alinialika Kona bar...kaktikati ya stori na laga mar akatokea binti mmoja mzuri na heshima zake akatufuata akaomba kujumuika nasi na bila hiyama akasema kuwa yuko mzigoni nyuma buku mbele...
jamani juzi nilikosa raha baada ya kushindwa kufanya tendo la ndoa na mke wangu baada ya mwenye duka kuniuzia condom zilizo expire. kwa vile mke wangu alikuwa kwenye siku za hatari na sisi wenyewe...
Dada mmoja alikuwa kwenye mishemishe zake,mara akaona kanga inaning'inia dukani ikamvutia na kwenda kuinunua. Bila kuisoma jina akampelekea mama mkwe wake,kisha akaondoka zake. Huku nyuma mama...
Nilikuwa naye kwa miaka 4 kipindi tukiwa masomoni yy secondary mm University miaka kadhaa nyuma. Hatukuwai kufanya sex kwa makubaliano hadi aitimu masomo yake kwani hakuwa amewai kuduu kwa kuwa...
Habari zenu wanaume wenzangu.
Mwenzenu nina tatizo jamani, siwezi kuwa kwenye uhusiano na msichana kwa muda mrefu. Tatizo ni kuwa huwa nawachoka sana wasichana ninaokuwa nao. Sio kwamba ni...
Kwenye uwanja wa wa mahaba kapo katabia ka kuficha "feelings" kwa khofu ya kuachwa majeruhi na yule umpendaye........kwa hiyo kamchezo hako hufanya binti au kijana acheze mchezo uitwao "mind...
Unamkewako wa ndoa unaishi naye vizuri tu ndani ya nyumba na anakutimizia haja zako zote na unamwamin sana naye pia anakuamin lakin kwa upande wako unamwanamke mwingine nje ya ndoa na hupendi mkeo...