Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

mwenzio nacheka kwa uchungu, niliolewa mume wangu baada ya miaka sita ya ndoa yetu mume wangu akanitaarifu ya kwamba anataka kuoa mke wa pili, japo iliniuma sikushangaa sana kwani dini yetu...
0 Reactions
16 Replies
9K Views
Wana Jf habari za leo,muwaje na shughuli zenu za kila siku?Nawaombeni kila mmoja kwa kutumia uzoefu wake juu ya masuala ya uhusiano anijibu, ni aina gani ya wanaume wanakuwa kivutio kikubwa kwa...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Habari ndugu zangu. Juzi nilisafiri kwa basi toka arusha kuelekea mbeya kwa shughuli zangu binafsi. Tulifika makambako jioni jioni, dereva akasimama ili tuchimbe dawa halafu safari iendelee...
0 Reactions
29 Replies
4K Views
Personally, I have lost count!!!!
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Wapendwa Marafiki, Wajukuu na wote wenye mapenzi mema, salaam Ilikuwa weekend mbaya sana kwa ODM, Baada ya kushtushwa na msiba wa watanzania wenzetu kwenye ajali ya meli haukupita muda...
53 Reactions
345 Replies
25K Views
Wanaume wanaweka magari yao tinted ili kubebea wanyama pori. je kwanini wadada wengine wanaweka tinted kwenye magari?
3 Reactions
20 Replies
2K Views
karibuni nilikutana na mdogo wangu wa kike kwenye daladala. Alikuwa na rafiki yake wa kike wakitokea chuo (sikitaji). Baada ya muda yule shost alishuka nikabaki na mdogo wangu. Tuliposhuka...
1 Reactions
37 Replies
3K Views
Wapwa kila kukicha maisha yanazidi kuwa magumu sana Vitu vimekuwa ghali sana tofauti na siku za nyuma, unajikuta unasema bora ya jana. Kwa mm nae kula kwa mama ntilie na kunywea bar za vumbi a.k.a...
1 Reactions
24 Replies
4K Views
Our sexuality is affected so easily by self-esteem, emotional insecurities, pressures, criticisms, and expectations. So to effectively ruin sex for your spouse, follow these steps: 1. Expect sex...
5 Reactions
101 Replies
7K Views
Marriage without stress is a possibility, divorce can be avoided. When the lord turned again the captivity of His people they became like them that dreamed, Psalms 126 vs 1.Your trial is turned to...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
mume wangu huwa anawasiliana meseji za mapenzi na wasichana...halafu la kushangaza ni wa aina tofauti tofauti,nikimwuliza anasema sio wapenzi wake.tena ananiambia niachane na simu yake...nifanyeje...
0 Reactions
61 Replies
6K Views
ndugu wana JF,leo nimeamua kuomba msaada wenu wa kiushauri,,,,!ni mwezi wa 2 sasa tangu nilipofika kwa kaka yangu akiwa anaishi na mke wake,mtoto mmoja na shemeji yake yani mdogo wa mke...
0 Reactions
41 Replies
6K Views
Hivi mtu akiuliza maswali haya ina maana gani katika mahusiano? Je uhusiano unaweza kuimarishwa kwa maswali haya au ni dalili ya matatizo? Kama watu wanamawasiliano mazuri kwanini haya maswali...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Wapendwa, Najiuliza hivi bado kuna wanaume wanaodanganywa kwa kubambikiziwa mashemeji/madada wa bandia kama anavyolalamika Mbaraka Mwinshehe hapa? Je kuna limitation yoyote ya shemeji/ madada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Jamani naombeni ushauri wa dhati katika hili, ni jambo langu mwenyewe. Kuna mdada nampenda sana na nina mwaka mmoja tupo katika mapenzi. Mara kwa mara amekuwa akinishutumu kuwa eti bibi zangu...
0 Reactions
37 Replies
4K Views
Kisa hiki cha kweli kimenisikitisha binafsi na hata jamii yetu ya Kiafrika , Kimetokea hapa wilayani Arumeru katika kijiji maarufu kwa ufugaji wa ng'ombe wa maziwa. Babu amempa mimba mtoto wa...
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Anasema tangu waoane na mume wake imepita miaka 6 na sasa wana watoto 2. Mume wake alikuwa akiishi Dar akifanya biashara wakati yeye akifanya kazi ya ualimu huko MZ. Baadae mume alimfanyia...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Mara ya mwisho tulikutana sehemu..na kila mtu akachukua namba ya mwenzako...na tokea hapo kila mtu akawa na hisia za kimapenzi na mwenzake....siku namtafuta akaniambia yuko na mtu niliumia...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Baada ya upweke wa miezi kadhaa nimekutana na mwanaume mmoja hivi (ni divorcee) na tumeanza kudate, tatizo marafiki zangu wananicheka wanadai ni mzee sana cuz ananizidi miaka 15. Is it that bad au...
0 Reactions
19 Replies
1K Views
mfano cku mungu akasema kila mmoja akamsalimie mpz wake wa kwanza (first lover) ..........hakuna atakaye mkuta wake home mana kila ukifika utakuta naye hayuko kaenda kumsalimia wake na yy huko...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…