Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Kila mtu na mtuwe-Isha Ramadhani.mpg - YouTube
5 Reactions
212 Replies
10K Views
Unapomchukia adui yako, haisaidii, sana sana unampa nguvu dhidi yako, dhidi ya usingizi wako, dhidi ya hamu yako ya kula, dhidi ya msukumo wako wa damu, dhidi ya afya yako, na dhidi ya furaha...
3 Reactions
14 Replies
3K Views
Nini tafsiri yako ya mafanikio (yako) kimaisha kiasi kwamba unaamini kwa kufikia hayo utakuwa umefanikiwa!
14 Reactions
119 Replies
15K Views
Kiukweli wadau wote wa hapa kijiwe cha mmu nyie ni rafiki zangu na ninawapenda sana,nimeona si vibaya nikatoa upendeleo juu ya hili swala kwenu kwa wale wanaotafuta kazi kama una bachelor or adv...
4 Reactions
146 Replies
7K Views
Soma huu wimbo na kama yamekukuta haya,unaweza ukatoa chozi,na hapo kwenye red...dah! "Someone Like You" by Adele I heard that you settled down That you found a girl and you're married now. I...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Hapa nimetulia kwenye computer lab ya shule moja nimeenda kudowea net sasa wakati nikiwa naendelea wanafunzi wako bizy na hii mitandao .sasa sijui kama kweli watakua wanasoma au ndio hii mitandao...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
When I got home that night as my wife served dinner, I held her hand and said, I've got something to tell you. She sat down and ate quietly. Again I observed the hurt in her eyes. Suddenly I...
10 Reactions
86 Replies
6K Views
Hiyo siyo kauli yangu mimi Mtambuzi, bali ni kauli ambayo inawezekana hata wewe umewahi kuisikia au kuitoa pale unaposikia au kupata tetesi kuwa kuna mtu anatembea na mkeo au mpenzi wako. Mimi...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
MKAZI wa jijini Mwanza, Thomas Jilala (22), anashikiliwa na Jeshi la Polisi mkoani Ruvuma kwa tuhuma za kumuua anayedaiwa kuwa mpenzi wake, Levina Kiwili (26), mkazi wa Mfaranyaki katika Manispaa...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
habar zunyu baana. Dunia imefikia kubaya! Kuna dada mmoja rafk yangu huwa tunaongea mambo mbali2. Jana kaniita akiomba ushaur akiwa hajui la kufanya. Dada ni mdogo ndo amemaliza f4 mwaka huu...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
We are all good and always happy with our married lives, but in that room there are many things nobody know... some people snore, talk in their sleep, good manners, bad manners etc i will start...
2 Reactions
17 Replies
2K Views
Kwa Miaka ya hivi karibuni, kumekuwa na ongezeko kubwa la vijana kukupenda kutunzwa na kulelewa na mimama badala ya kuchapa kazi kwa mikono yao na kujiongezea kipato. Binafsi nina orodha ya majina...
0 Reactions
53 Replies
8K Views
naomba ni-share na wanajamvi hiki kisa kinachonitesa kwa saa... Hapo zamani za mwaka 1987 nikiwa nimemaliza fom 4 alitokea kijana mmoja akaniambia ananipenda, let me call him mr. X, wakati huo na...
1 Reactions
25 Replies
4K Views
Mara kwa mara wanaume tumekua tukilaumiwa na wanawake kuwa ni chanzo cha vurugu ktk mapenzi na hata ndoa pia. Kwa upande mwingine,wanaume tumekua tukiwashutumu wanawake kuwa ndo waanzilishi wa...
1 Reactions
11 Replies
3K Views
Baada ya ku sort issue na Y na kumueleza ukweli kuhusu X,ilimuuma sana na baadaye akaahidi kunisamehe,as days goes on nikaona sijitendei haki ya kuwa na Multiple relations,nikaaamua kuwa muwazi...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
What are the qualities that, in your view lie behind the success of your husband, wife or fiancee in life be it in business or relationship?? 1.LOVE 2.CARING 3.UNDERSTANDING 4.SUPPORT...
5 Reactions
200 Replies
10K Views
Imetokea huku kijijini kwetu Pugu-Majohe. Mkaka kakatwa vidole vyote vya mkono kwa kula mke ya mtu, mume kakuta sms imeandikwa 'bebi tukutane Kisarawe' na kila siku alikuwa anashuku mawasiliano...
1 Reactions
21 Replies
3K Views
Yaani asikuambie mtu,mapenzi ni kitu kingine kabisa.iwapo tuliachana naye kwa maneno makali na kujiapiza hamna anayemuhitaji mwenzake lakini kila nikiskia huu wimbo wa "chukua yote yako" huwa...
1 Reactions
34 Replies
12K Views
Kinababa hufurahi sana wakisikia kuwa wamefanana na baba zao, hali kadhalika nasi kina mama hufurahia kusikia watoto wetu wamefanana na Baba zao. Hii inatujengea imani kwa wanao tuzunguka kuwa...
0 Reactions
20 Replies
5K Views
Wana JF, nimegundua threads nyingi members wanaleta zinahusu matatizo na namna matatizo hayo yanasababisha matokeo katika maisha yao (au jamii, au taifa, ulimwengu etc), zaidi matokeo mabaya...
7 Reactions
14 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…