Mahusiano, mapenzi, urafiki

Tubadilishane mawazo kuhusu familia, mahusiano, mapenzi, urafiki, n.k na kushauriana

Love Connect

Unatafuta mchumba? Mpenzi? Hili ndilo jukwaa sahihi. Litumike vema vinginevyo hoja zitafutwa!
Threads
7.8K
Posts
220.7K
Threads
7.8K
Posts
220.7K

JF Prefixes:

Have u eva asked urself as to why people decide to go for plastic surgery? Well every one wants to feel atractive. We need to be sure that we are presentable. But some people do lack a sense of...
0 Reactions
2 Replies
806 Views
Mulobwike bhandu bhosa? Heri ya mwaka mpya? I wish ya'll happy new year. Jamani huku uswahilini kwetu hakupungukiwi viroja. Kuna jirani yangu ameoa, ila anakwaa ukweni, yaani nyumbani kwa mama wa...
0 Reactions
49 Replies
9K Views
June 23, 2011 - 10:06AM Overweight women, are less successful than their slimmer peers, according to recent university research that blames a lack of education, rather than workplace...
0 Reactions
38 Replies
7K Views
Hii nimeisikia leo Radio flani tanga: Kuna njemba moja alioa msichana mmoja mzuri tu, huyu dada mama yake alikuwa RPC(Mkubwa wa Polisi), ndoa yao ilifana sana. Baada ya miezi michache matatizo...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Mimi Magulumagu..... Sina post ya maana kwa sasa, je nimefulia, sina sera, ni mpenzi wa JF how usiniulize...Siipendi CCM kivipi usitake nitapike....Nawachukia rais wetu Kikwete maana muongo na...
0 Reactions
37 Replies
3K Views
Hivi kwa nini mabinti/wanawake/madada wasioolewa wanapenda kudate na waume za watu. Ni fashion, au waume za watu ni watamu. yaani mabinti sasa wamekuwa kero kwangu. Msaada tafadhali.
1 Reactions
19 Replies
2K Views
Kuwaorodhesha wanawake ulio tembea nao, tena unafanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii. Inasikitisha
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Kuwaorodhesha wanawake ulio tembea nao, tena unafanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii huku ukiwataja kwa majina yao halisi na majina ya ukoo. Unayefanya hivi ni baba mtu mzima mwenye mke na...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni na makali ya mgao wa umeme wakuu!!naomba kueleweshwa hili suala,kwa nin kila mdada anapopgwa sound na man kwa mara ya kwanza lazima aseme eti ana mpz wake na tena wanapendana sana hata kama...
1 Reactions
39 Replies
3K Views
habari zenu wana jamvi.mimi nipo ughaibuni huku nasoma,sasa kuna msichana mmoja tuna uhusiano wa karibu miezi kumi sasa.kabla yangu mimi huyu msichana kashawahi kuwa na relationships mbili,wa...
0 Reactions
43 Replies
6K Views
Wanawake wapo wa aina nyingi na wanatofautiana kwa kiwango kikubwa. Lakini nataka kujua mwanamke wa aina gani anafaa kuoa? Anayefanya kazi--askari, daktari, mwalimu,mwanasiasa,mfanyabiashara ...
0 Reactions
52 Replies
6K Views
Umetoka out na mkeo/girlfriend,then anakuuliza;'Honey,how do I look today?'.Ukimcheki unaona wazi wazi kachukiza ile mbaya,unamjibuje?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Kuwaorodhesha wanawake ulio tembea nao, tena unafanya hivyo kwenye mitandao ya kijamii. Inasikitisha
0 Reactions
2 Replies
950 Views
Mimi nilikuwa ktk mahusiano na na mtu kwa muda wa miaka 3,ila ktk miaka hiyo nimekuwa na matukio mengi hasa katika swala la mahusiano mwenzangu aliwahi kuwa katika mahusiano zaidi yangu! Kwanza...
0 Reactions
33 Replies
3K Views
Tulikua na kijana wa kazi kutoka iringa,tuliishinae kwa takribani miezi kumi na tatu lakini alikuja kudhihirisha tabia zake za ulevi kupita kiasi,kiasi cha kusahau majukumu yake.mwisho wa siku...
0 Reactions
23 Replies
2K Views
Habari zenu wapendwa wa mmu, ningependa mnipe ushauri kwa kilichonikuta mwenzenu, nina girlfriend wangu ambaye uhusiano we2 una mwezi1 sasa, ashawahi kuniambia kuwa aliachana na ex boy wake...
0 Reactions
14 Replies
1K Views
WanaJF kama kawaida hii ndio kona yetu ya kubadilishana mawazo. Leo kuna jamaa yangu yamemkuta makubwa..Ni hivi: Anaye mke wake mjamzito wameishi pamoja sasa karibu miaka mitano.Mwanzoni mwa ndoa...
0 Reactions
81 Replies
6K Views
Mimi ni kijana wa kiume nina umri wa miaka 24 nafanya kazi ktk ofisi ya Serikali nisingependa kuitaja kwa usalama wangu. Nimekuwa nikisumbuliwa na bosi wangu wa kike aliyenizidi miaka 9 kiumri na...
0 Reactions
55 Replies
4K Views
Naomba kuuliza wajameni, mtoto wa kike ukiwa na mahusiano na mtu unampenda kwa moyo wako wote, ukamficha baadhi ya mali zako ni sahihi kuwa unampenda au unajidanganya tu na nafsi yako? Mali hizo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Matatani kwa wizi katika nyumba ya kulala wageni Monday, June 20, 2011 4:20 PM KIJANA mmoja aliyefahamika kwa jina la Jackson[ 22] mkaazi wa Manzese, amejikuta akiwa katika wakati mgumu baada...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…